Dunia inazidi kuwaamini wanawake kwenye Uongozi wa juu wa Nchi

Dunia inazidi kuwaamini wanawake kwenye Uongozi wa juu wa Nchi

Raisi akiwa mwanamke ni nzuri sana hawana nguvu hivo uhuru unakua mkubwa sana na pia huwa anaongozwa nyuma ya pazia mfano tanzania tu alipokuepo Maghufuri nchi ilikua na adabu lakni saizi kila mtu anaweza kuamua kufanya anachotaka.



Fanya fujo uone! (FFU).

[emoji14][emoji14][emoji14]

Sijui kwanini mzoea vya kunyonga vya kuchinja huwa haviwezi?!
 
Back
Top Bottom