The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kwa nini mkuuHatari hiyoo.
Kama ana akili na wewe ni bwege nani atakusikiliza? ππKizazi hiki wanaume tumekuwa mabwege Sana. Utakuta haya mambo yameanza kwenye familia zetu kwanza. Mwanamke anakuwa mkuu wa familia na sauti yake inasikika iko juu wakati wote.
Hakuna mwanamke ana akili kumpita mwanaume na ndio maana vyovyote iwavyo sisi ndo tunaanzisha mahusiano Kwa kumtongoza na maneno laini laini na anashindwa kung'amua tunapowadanganya sema tu wamepewa mamlaka za kishetani katika zama hizi na zinalindwa na mabeberu watetezi wa demokrasiaKama ana akili na wewe ni bwege nani atakusikiliza? ππ
Namkumbuka zaidi Gloria Aroyo na sio muktadha wa mada hii kwamba Leni ni WA kwanza bali kuonyesha jinsi Dunia inavyozisi kuwaamini wanawake na ushahidi ni huu kwamba mara ya 3 hii Ufilipino inaenda kuongozwa na mwanamama.Carozan Aquino alishakua raisi mwanamke wa Ufilipino 1986-1992 na ndio alikua mwanamke wa kwanza kushika position hiyo na pia ndio first female president in Asia,
Mwanamke mwingine aliyewahi kua rais wa Ufilipino ni Gloria Arroyo 2001-2010
So,Philippines sio jambo la ajabu wala haitokua ni mara ya kwanza kwa mwanamke kua President.
Utamaduni tuu..Hakuna mwanamke ana akili kumpita mwanaume na ndio maana vyovyote iwavyo sisi ndo tunaanzisha mahusiano Kwa kumtongoza na maneno laini laini na anashindwa kung'amua tunapowadanganya sema tu wamepewa mamlaka za kishetani katika zama hizi na zinalindwa na mabeberu watetezi wa demokrasia
Africa tuna Ellen Johnson piaCarazon Aquino alishakua raisi mwanamke wa Ufilipino 1986-1992 na ndio alikua mwanamke wa kwanza kushika position hiyo na pia ndio first female president in Asia,
Mwanamke mwingine aliyewahi kua rais wa Ufilipino ni Gloria Arroyo 2001-2010
So,Philippines sio jambo la ajabu wala haitokua ni mara ya kwanza kwa mwanamke kua President.
Akili siyo hiyo mkuu!!! Kuwa wa kwanza darasani Bado haijitoshelezi kuwa eti mtu ana akili. Akili ni ule uwezo wa kupambana na mazingira yanayokuzunguka. Na ndio maana wengi katika wanaofaulu darasani wanafeli katika maisha halisi ya mtaani. Mkuu Kama ulikuwa haujui Anza Leo kujua kuwa wanawake wote wanamapungufu ya akili. Na hili limetiliwa mkazo katika dini zetu,utakuja kugundua ukipitia maandiko kuwa hakukuwepo na nabii yeyeto mwanamke wakati huo.Utamaduni tuu..
Kila siku mnapitwa huko darasni afu unasemaje? Leta hapa matokeo ya form 4 na 6 kwa miaka japo 3 nyuma uone moto wa wanawake unless kuna akili nyingine unayoizungumzia kama ya kutongoza ππ
Mambo ya maandiko tena,tunaenda Kwa facts..Akili siyo hiyo mkuu!!! Kuwa wa kwanza darasani Bado haijitoshelezi kuwa eti mtu ana akili. Akili ni ule uwezo wa kupambana na mazingira yanayokuzunguka. Na ndio maana wengi katika wanaofaulu darasani wanafeli katika maisha halisi ya mtaani. Mkuu Kama ulikuwa haujui Anza Leo kujua kuwa wanawake wote wanamapungufu ya akili. Na hili limetiliwa mkazo katika dini zetu,utakuja kugundua ukipitia maandiko kuwa hakukuwepo na nabii yeyeto mwanamke wakati huo.
Na Ili ujue kuwa mwanamke sio sawa na mwanaume subiri kipindi Cha matatizo.
Pink revolution,Niko nyuma yake ila kwa uzuri lakini π€£π€£Huyu mama wa kifilipino amemwaga sera watu wakamtathimini wakaona anafaa.
Inapotokea kuridhi bila kupambana na kupitishwa kwenye msuguano wa hoja kinzani, ni aghalab mwanamke kuweza kusimama imara na kuwa kiongozi bora.
Mambo ya maandiko tena,tunaenda Kwa facts..
Kwa hiyo wanaosoma hawawezi kupambana na mazingira? Uko Dunia ya chuki kwa wanawake
Ukiniambia suala la fact kitu pekee nakitanguliza ni maandiko,siwachukii wanawake Ila ni mtu naamini Ili Dunia iwe salama basi Kila kitu kirejee mahala pake. Mwanamke aitunze familia yake,akae nyumbani kwake atulizane. Mwanaume apambane kuhakikisha familia yake anaikomboa kutokana na ugumu wa maisha,awatimizie mahitaji ya msingi na jambo hili Kwa mwanaume ni wajibu.Mambo ya maandiko tena,tunaenda Kwa facts..
Kwa hiyo wanaosoma hawawezi kupambana na mazingira? Uko Dunia ya chuki kwa wanawake maana unaishi kwenye hisia
Pumba,soma hiyoo πRaisi akiwa mwanamke ni nzuri sana hawana nguvu hivo uhuru unakua mkubwa sana na pia huwa anaongozwa nyuma ya pazia mfano tanzania tu alipokuepo Maghufuri nchi ilikua na adabu lakni saizi kila mtu anaweza kuamua kufanya anachotaka.
aisee hamna namna inabidi wajifunze kupika tuHongera zao, wanaume wa kifilipino wao kazi yao ni kuigiza movie tu, uongozi hawawezi...