GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Inakadiriwa kuwa idadi ya Wayahudi wote duniani ni milioni kumi na tano. Wanaoishi Israeli ni asilimia 41 tu. Waliosalia, asilimia 41 wapo Marekani na asilimia 18 nchi zinginezo.
Idadi ya Wayahudi ni ndogo sana. Ni asilimia 0.2 ya watu wote duniani.
Pamoja na uchache wao, mchango wao ni mkubwa sana katika maendeleo ya dunia. Karibia kila ugunduzi mkubwa duniani una "mkono" wa Myahudi.
Hizi ni baadhi tu ya gunduzi zilizofanywa na watu wenye asili ya Uyahudi(mnisamehe ninanakili mtandaoni bila kutafsiri):
1. Lipstick
2. The Ballpoint Pen
3. Television remote control
4. Traffic lights
5. The atomic bombs
6. The thermonuclear bombs
7. Genetic engineering
8. Hollywood.
9. Nuclear chain raactor
10. Sound movies
11. Cafeterias
12. Virtual reality
13. Videotape
14. Circumcision
15. Capitalism
16. Communis
17. Discount stores
18. The shopping cart
19. Prozac
20. Chemotherapy
21. Radiation
22. Ready to wear clothing
23. Valium
24. The polio vaccination
25. The artificial kidney dialysis machine
26. The cardiac pacemaker
27. Google
28. The wire transmission facsimilie (FAX)
29. The micro processing chip
30. Optical fiber cable
31. Laser
32. Cellular technology
33. Facebook
34. Drip irrigation
35. Scale model electric transe
36. The pager
37. Scale model
38. The adding machine
Hizo ni chache tu kati ya nyingi.
Miongoni mwa Wayahudi mashuhuri ni pamoja na:
1. Albert Einstein - General Relativity
2. Carl Sagan - astronomer
3. Niels Bolar - atomic structure
4. Fritz Haber - sunthesi of ammonia
5. Edward Teller - hydrogen bomb
6. Leo Szilard - nuclear chain reaction
7. Jonas Salk - Polio vaccine
8. Michael Dell - founder of Dell Computer
9. Larry Ellison - Founder and CEO of Oracle
10. Steve Ballmer - CEO of Microsoft
11. Mark Zuckerberg - Facebook founder
12. Karl Max - marxism
Hayo ni machache tu!
Kama ndivyo, Wayahudi wasingelikuwepo hapa duniani maisha yangekuwaje sasa duniani?