Tofauti ya Wayahudi na Jamii zozote
1. Hawajawahi kufata Dini na Imani za kigeni Tangu Miaka 3000 iliyopita.
2. Wao Dini yao haifundishi Maisha ya pepo na kuzimu (Wao Maisha ni hapa Duniani)
3. Hawaamini kumuachia Mungu, wanaamini kila juhudi ya mtu inamaana
Historia inatuambia binadamu wa kwanza waliishi Afrika.
Kama kuna jamii ilipaswa kushukuriwa kwa kila kitu kilichopo hapa duniani, basi ni sisi waafrika manake bila sisi hata hao wayahudi, wazungu nk wote wasingekuepo!
Dunia ingekuwa haina maendeleo! Tusingeona mapinduzi ya sayansi na teknologia yaliyoifanya dunia kuendelea!
Wayahudi ni watu waliobarikiwa katika maswala ya teknologia! Dunia imebarikiwa kwa sababu yao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.