Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Far Left/Progressive/Fanatics ni kundi la watu wabovu sana.
Kwa nchi kama Marekani chama cha Democrat ni mfano wa watu wa mrengo wa kushoto.
Watu hawa ndio wana harakati wa mambo machache yafuatayo:
■kufanya abortion iwe halali
■Kusambaza vitabu vya ushoga na utupu kwa wanafunzi wa primary
■Kuwageuza watoto jinsia kabla ya umri wa miaka 18
■Kuhalalisha waliobadili jinsia kushiriki michezo inayohusu wenye jinsia (jinsia mpya) mfano mvulana alie jibadili kuwa na jinsia ya kike acheze michezo ya inayohusu wasichana/wavulana.
■Kuruhusu uhamiaji holela bila kujali usalama wa taifa.
■Kugeuza utamaduni wa mama na majukumu yake katika familia.
■Kuhalalisha wanaume na wanawake walipwe sawa bila ya kujali nguvu kazi na elimu. Mfano mbeba zake wa kike hawezi beba zege kama mwanaume kwa haraka na wingi sasa kwa nini walipwe sawa?
■Ku-support uminywaji wa budget za polisi kwa claim kuwa polisi ni wananyanyasa.
■Feminism. Hii imepelekea kundi la wanawake wenye viburi, dharau, single mothers na kuharibika kwa ndoa.
■Kuforce harakati na uhalali wa ushoga bila ya kujali hisia na msimamo wa watu wengine.
■Kushirikiana na makundi ya kuwapigania haki bila ya kujali asili ya makundi haya. Mfano Intifada (wachukia ukiristo na wayahudi), Black Lives Matter (wapigaji wa pesa za michango, wachukia wazungu), etc
Kiuhalisia jamii chini ya Leftism/mrengo wa kushoto ni chaos. Nguvu kazi kwa vijana itapotea, misingi ya ndoa itapotea, usalama utakuwa mbovu sana, ethics zitapotea, ongezeko la vitendo vya ugaidi, etc