Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari kwa wote!
Imani yangu wote ni wazima.
Kabla ya yote naomba tufanye assumptions chache ili mada iwe nyepesi na tuzungumze vyema.
Assumptions hizo kama ifuatavyo:-
Dunia sababu ni non-ideal kwa maana ya imejaa changamoto nyingi kwa binadamu toka anazaliwa mpaka anakufa. Hapa atakutana na njaa,utafutaji wa mavazi,malazi,magonjwa,mapenzi,n.k.
Vyote hivi ni baadhi ila vinafanya binadamu kukosa amani.
Sasa kumbe sababu kuna changamoto za hapa na pale binadamu uanza kukosa hope na kutafuta wapi ataweza kupata hayo matumaini.
Kichwa Kichafu.
Imani yangu wote ni wazima.
Kabla ya yote naomba tufanye assumptions chache ili mada iwe nyepesi na tuzungumze vyema.
Assumptions hizo kama ifuatavyo:-
- Dunia ni ideal. Ideal nikiwa na maana ya hakuna changamoto/matatizo kwa binadamu.
- Binadamu anaweza kufanya kitu/jambo lolote bila kushindwa(chochote kile anafanikiwa).
Dunia sababu ni non-ideal kwa maana ya imejaa changamoto nyingi kwa binadamu toka anazaliwa mpaka anakufa. Hapa atakutana na njaa,utafutaji wa mavazi,malazi,magonjwa,mapenzi,n.k.
Vyote hivi ni baadhi ila vinafanya binadamu kukosa amani.
Sasa kumbe sababu kuna changamoto za hapa na pale binadamu uanza kukosa hope na kutafuta wapi ataweza kupata hayo matumaini.
Mfano mzuri angalia sasa Covid-19 watu walikuwa wanaishi baadhi ya watu walikuwa hawakumbuki kabisa kama kuna Mungu.
Kuona hadi sasa naandik uzi huu hakuna dawa rasmi iliyothibitika ya huu ugonjwa hapo sasa watu wakakumbuka kama kuna Mungu.
Tuzungumze kidogo je,binadamu angekuwa na uwezo wa kufanya chochote duniani na kufanikiwa angeweza kumkumbuka Mungu?
Nawasilisha.Kichwa Kichafu.