Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Tanzania na Ukreni hupataki tena?Naililia marekani ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania na Ukreni hupataki tena?Naililia marekani ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Trump hana interest na mrusi,,,,,.....anajua hawawezi kupiga front zaidi ya 1 na mambo yaende, hapo Ukraine anaenda kubwagwa focus wanahamishia kwa Israel,,kama kweli Israel ataingia kupigana Lebanon lazima mmarekani aachie upande mmoja, na kama akishinda Trump kazi itakua nyepesi kwa Putin ila ngumu kwa Iran na wenzie
Unajua, Trump ni fundi sana wa mazungumzo mduro (double speech).
Anaweza kusema atashughulika na wahamiaji, kumbe kumkichwa anamaanisha kuwaondoa Ukreni wanajeshi na maafisa wote wa Marekani wasijihusishe na vita dhidi ya Putin mdogo wake.
Kwa mujibu wake, usitishaji vita Ukreni utamhitaji apige simu moja tu, inatosha.
Dunia ni salama sana hawa viongozi wawili wakitawala kwa wakati mmoja, jumlisha Kiduku na Kiawa (sucess-driven man) wa China ndiyo kabisaa!Jidanganye, usidhani kule mtu anaongiza nchi kwa matakwa yake. Tuliwahi kusema Boris akiondoka ktk ofisi ya PM UK basi UK itaacha kusapoti Ukraine, akaja mmama fulani na sasa hivi ni huyu Mhindi ila moto uko palepale.
Sio kwa Trump, Trump ni muoga na mlamba miguu wa Putin.Siasa za Marekani huwa hazitabiriki! Ni pande mbili (Dem n Rep) katika sarafu ya shiling moja Hata aingie Rais gani mf.Putin asitegemee unafuu wo wote katika vita vyake na Ukraine! Akaze buti kikweli kweli.
Iran ijiandae kwa sanctions zaidi
Kwetu sisi Waafrika ambao aliwahi kutuambia kuwa tunatoka kwenye shitholes huenda tusipate misaada zaidi.Aliwahi kusema dawa ya umaskini kwa nchi za kiafrika ni kuzi colonize tena.
Lakini huenda kutakuwa na utulivu duniani. Jamaa hapendi vita.
4. Umeongea kama mtu usie elewa GeopoliticsKabla ya mdahalo wa urais wa leo Donald Trump alikuwa ameamuacha Joe Biden kwenye kura za maoni. Lakini mdahalo wa huu umefunga kabisa maneno. Ni wazi kuwa Trump sasa njia ya ikulu ni nyeupe kabisa. Biden alikuwa na hoja nzuri na aliandaliwa vyema ila afya yake na uelewa wake sababu ya uzee vimemuangusha. Si mtu fit kushika madaraka ya urais. Sasa tujiandae na dunia ya Rais Trump, itakuwaje?
1. Hoja kubwa ya Trump ambayo aliikazia na kuilazimisha ni juu ya wahamiaji haramu. Bila shaka atakomaa sana na hii ishu, sijui itakuwaje?
2. Trump ana bifu kali la kibiashara na China, ataongeza kodi na vikwazo vya kibiashara kwa China. China atajibuje? Itakuaje kwa dunia?
3. Vita ya Russia na Ukraine. Trump atawezaje kuizima. Alipoulizwa alikazana tu kuwa angekuwa Rais vita isingetokea, lakini hakusema ataizimaje. Atapunguza misaada ya kijeshi kwa Ukraine?
4. Sema wote Biden na Trump wanaiogopa mno Israel.
5. Jamaa anaweza kukuza uchumi wa Marekani na kushusha Inflation?
Naiona Dunia chini ya Trump kama Rais wa Marekani kama Dunia hatari sana
Wala si uoga bali ni akili. Haikuwepo sababu ya msingi ya Marekani kujilazimisha pale jirani na Urusi.Sio kwa Trump, Trump ni muoga na mlamba miguu wa Putin.
Ikitokea ameshika power atachofanya ni kuikabidhisha rasmi Ukraine kwa Urusi.
Israel imeandikwa katika siri ya AMERICA yeyote atakayeingia lazima AitambueKabla ya mdahalo wa urais wa leo Donald Trump alikuwa ameamuacha Joe Biden kwenye kura za maoni. Lakini mdahalo wa huu umefunga kabisa maneno. Ni wazi kuwa Trump sasa njia ya ikulu ni nyeupe kabisa. Biden alikuwa na hoja nzuri na aliandaliwa vyema ila afya yake na uelewa wake sababu ya uzee vimemuangusha. Si mtu fit kushika madaraka ya urais. Sasa tujiandae na dunia ya Rais Trump, itakuwaje?
1. Hoja kubwa ya Trump ambayo aliikazia na kuilazimisha ni juu ya wahamiaji haramu. Bila shaka atakomaa sana na hii ishu, sijui itakuwaje?
2. Trump ana bifu kali la kibiashara na China, ataongeza kodi na vikwazo vya kibiashara kwa China. China atajibuje? Itakuaje kwa dunia?
3. Vita ya Russia na Ukraine. Trump atawezaje kuizima. Alipoulizwa alikazana tu kuwa angekuwa Rais vita isingetokea, lakini hakusema ataizimaje. Atapunguza misaada ya kijeshi kwa Ukraine?
4. Sema wote Biden na Trump wanaiogopa mno Israel.
5. Jamaa anaweza kukuza uchumi wa Marekani na kushusha Inflation?
Naiona Dunia chini ya Trump kama Rais wa Marekani kama Dunia hatari sana
Mjadala wa Ukraine na Urusi haujawahi kuwa na ukomoWala si uoga bali ni akili. Haikuwepo sababu ya msingi ya Marekani kujilazimisha pale jirani na Urusi.
Hata yeye mwenyewe hapendi adui kumpumulia kisogoni. Kwa nini afanye uchonganishi kwa Ukreni?
Vita inaisha chap, jamaa ni classmates wale 😂Ikitokea, nasema ikitokea, Trump akachaguliwa urais, lazima Putin ahudhurie uapisho wake pale kwenye mnara wa Washington.
Hawa jamaa wawili huenda ni watoto wa baba mmoja. Ni maswahiba hadi Marekani yenyewe inaogopa.
Wakati Marekani inaundwa na kuandika katiba yao hakukuwa na taifa linaitwa Israel.Israel imeandikwa katika siri ya AMERICA yeyote atakayeingia lazima Aitambue
Akipita Trump ,tunaomba na Boris arudi pale uingereza...as long tuna Putin ,dunia itakua salama Sana.Ikitokea, nasema ikitokea, Trump akachaguliwa urais, lazima Putin ahudhurie uapisho wake pale kwenye mnara wa Washington.
Hawa jamaa wawili huenda ni watoto wa baba mmoja. Ni maswahiba hadi Marekani yenyewe inaogopa.
Dunia ya baada ya Covid ni dunia nyingine kabisa.Kwani Ni Mara ya kwanza kuwa raisi?
Kilichomponza Boris Johnson ni kule kufokafoka na kujifanya ana uwezo wa kumdhibiti Russia kwa kidole gumba.Akipita Trump ,tunaomba na Boris arudi pale uingereza...as long tuna Putin ,dunia itakua salama Sana.
NakaziaHuyo Trump alishakuwa rais hapo Marekani na dunia ilikuwa salama kabisa