James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Sawa tu. Trump ashinde tuone upepo unageukaje dunianiKwa sasa bunge ni majority republicans, ikiendelea hivi maana yake atakuwa na bunge la ndiyo mzee, na wabunge wa repubicans wanamuabudu balaa. Mahakama Kuu imejaa majudge wa republican. Pia anampango wa kugeuza vyeo vingi vya serikali viwe vya kuteuliwa ili aweke watu wake. Mhula ule wa kwanza alikwamishwa sana na maafisa wa serikali, safari hii amedhamiria kuweka watu wake. Hakutakuwa na wa kumzuia.