Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hapo ni Haiti yaani acha tamaduni hata majina ya babu zao hawajuiAkinamama mpaka wazee kumbe huwa wanavaa bukta.Kwanini hawafuati utamaduni wa weusi wenzao wakavaa vitenge na kanga.
Huu ni uongo sasa, Education gani na ya nini kwenye nchi yenye vita na kuongozwa na magenge ya kihalifu? Unasomaje, mwalimu ana roho gani, na hao wanafunzi wanatoka wapi?
Serikali ya Haiti imesambaratika baada ya aliyekuwa kiongozi wake kujiuzulu kwa shinikizo la makundi ya mitaani yakiongozwa na Vitel'homme Innocent
Kiongozi huyo wa makundi ya kihalifu anashutumiwa kufanya matendo ya kigaidi maeneo mengine ya Carribean mbali na Haiti.wahaliu waliovaa suti.
Sio ajabu Kwa sababu Dunia inaongozwa na wahalifu waliovaa suti chini ya mwavuli wa vyama vya siasa.
Pamoja na hivyo hatujawahi kuwa raisi wa aina hii.Sio ajabu Kwa sababu Dunia inaongozwa na wahalifu waliovaa suti chini ya mwavuli wa vyama vya siasa.
Vita na mauaji makubwaa duniani yanasababishwa na watawala wanaoonekana kuwa ni watu wema machoni mwa watu na kupigiwa makofi.
Mkuu picha ni ya zamani ila ili watoto wasome, hizo ndio biashara zaoHuu ni uongo sasa, Education gani na ya nini kwenye nchi yenye vita na kuongozwa na magenge ya kihalifu? Unasomaje, mwalimu ana roho gani, na hao wanafunzi wanatoka wapi?
Nimejifunza kitu hapo.Maisha mazuri yatapatikana vipi bila kufanya kazi za uzalishaji.Mkuu picha ni ya zamani ila ili watoto wasome, hizo ndio biashara zao
Wana umasikini sana ila pia wanaamini sana ushirikina
Ukiona soko lao la mboga na matunda
Vendors wengi wanauza matunguli na sanamu kwa ajili ya juju
Ila kwa sasa ndio kabisa nchi haikaliki
Jirani zetu kwa tamaa ya hela walitaka kupeleka wanajeshi ila walipoona mapanga na bunduki zimeshikwa na machokoraa wakasitisha tamaa zao
Kweli kabisa na sisi mwanasiasa anasimama hana la kusema wala ubunifu bali anaishia kusifia kofia za ccm eti kofia oyeeeNimejifunza kitu hapo.Maisha mazuri yatapatikana vipi bila kufanya kazi za uzalishaji.
Kila mtuj akiuza tunguli na nyanya mafungu mafungu uchumi hauwezi kukua na ndipo mnapigana mapanga kila leo.
AiseeeeUlitaka umuone jamaa ndani ya suti km mzungu ndio umuone anafaa kuwa kiongozi?
Hili ni tatizo kubwa kwetu sisi weusi kujadili mtu kutokana na mavazi au muonekano.
Hawa wakwetu huku wanaovaa suti wananini cha ziada zaidi ya rushwa na kuuza uhuru wetu kwa wenye pesa?
Hawa wakwenu huku wanatetea nini kwa manufaa ya nchi?Pamoja na hivyo hatujawahi kuwa raisi wa aina hii.
Utasemaje siku akikaribishwa UN kutoa hotuba kwa niaba ya nchi yake.Atatetea nini kwa ajili ya manufaa ya nchi na walimwengu kwa jumla.
Sasa unaunga mkono wachukue mapanga kama Haiti.Hawa wakwenu huku wanatetea nini kwa manufaa ya nchi?
Au ndio hivyo kuuza bandari kwa waarabu na migodi kwa wachina na wazungu?
Au km hv ambavyo wazawa wanafanyishwa kazi viwandani kwa wahindi saa 1 hadi 12 kwa malipo ya alfu 4 kutwa?
Hayo ndio maslahi ya nchi?
Pamoja na hivyo hatujawahi kuwa raisi wa aina hii.
Utasemaje siku akikaribishwa UN kutoa hotuba kwa niaba ya nchi yake.Atatetea nini kwa ajili ya manufaa ya nchi na walimwengu kwa jumla.
Nchi haiwezi kuwa na mabadiliko Kwa kutegemea Kila mtu aseme.Sasa unaunga mkono wachukue mapanga kama Haiti.
Hujapendekeza nini cha kufanyika.
Kuchukua mapanga inawezekana ikawa pia ni njia ya kuelekea kwenye mabadiliko yenye tija.Sasa unaunga mkono wachukue mapanga kama Haiti.
Hujapendekeza nini cha kufanyika.
Una video yake?Baba wa Taifa la Tanzania aliwahi kukosea na kumdharau Marehemu Bob Marley wakati wa sherehe za Uhuru wa Zimbabwe kwa sababu tu ya mwonekano wake wa nje lakini alipopewa nafasi ya kuomba wimbo wake alitoa ujumbe mzito sana kwa waafrika kutobaguana na kupigania uhuru wao.
Baba wa Taifa aliinuka na kwenda kumshika mkono.
Unaweza ukamuona mtu katika mwonekano tofauti na uliouzoea ukamdharau bila kujua uwezo wake na ushawishi kwenye jamii.
Una video yake
Sawa.Endelea na matusi yako tu.Miaka ya 1980 wewe ulikua bado hukazaliwa labda mama yako ndio alikua amezaliwa .
Miaka Hiyo video inawekwe ikulubna makumbusho kama Nyaraka za serikali. Na mitando haikuwepo Kwa wingi. Hata serikali Tanzania haikua na Television labda Zanzibar
Nyie kila kitu Marekani,hata akiamua kusaidia tu bado mnasema ana maslahi yake sasa acha wafeHaiti nadhani us hana maslahi nayo mbona hatumi jeshi mpaka wanaomba polisi kenya!
Si ana kiherehere cha kutuma majeshiNyie kila kitu Marekani,hata akiamua kusaidia tu bado mnasema ana maslahi yake sasa acha wafe