Dunia itasemaje huyu jamaa akishika madaraka nchini Haiti

Dunia itasemaje huyu jamaa akishika madaraka nchini Haiti

Ulitaka umuone jamaa ndani ya suti km mzungu ndio umuone anafaa kuwa kiongozi?
Hili ni tatizo kubwa kwetu sisi weusi kujadili mtu kutokana na mavazi au muonekano.
Hawa wakwetu huku wanaovaa suti wananini cha ziada zaidi ya rushwa na kuuza uhuru wetu kwa wenye pesa?
Yani Mimi Nikiona kiongozi wa Tanzania kavaa suti tu namuona fisadi
 
Anayo maslahi nayo.
Na ili kupata maslahi yake Haiti haitakiwi iwe na amani inatakiwa iwe na machafuko.
Hivi hujui kama silaha watumiazo hao waasi ikiwemo kina BBQ ni US made!?
Kweli kabisa silaha zote zinatoka u.s.a wale huwa wanafata masrahi tu, ni majambazi ya dunia.
 
Hahah kinavyoonekana hichi kichwa kinatia mashaka, nisije nikaisingizia bangi.
Wanakuwaga watu simple sana..ila mambo yao ni umakini mno kwenye mishe za Mtaa..jamaa anaonekana tu si mtu poa kwenye mishe za kina Godfather of Harlem😀😀😀
 
Sio ajabu Kwa sababu Dunia inaongozwa na wahalifu waliovaa suti chini ya mwavuli wa vyama vya siasa.

Vita na mauaji makubwaa duniani yanasababishwa na watawala wanaoonekana kuwa ni watu wema machoni mwa watu na kupigiwa makofi.
Mkuu upo sahihi..Dunia imenifundisha ukiitwa Mwanaume uwe na akili kubwa sana kwenye mishe zako.
 
Back
Top Bottom