Huwa sielewi Ufaransa huwa inawafanya nini? Makoloni yake yote huwa yana visa vya vita vya wenyewe kwa wenyewe.Mkuu picha ni ya zamani ila ili watoto wasome, hizo ndio biashara zao
Wana umasikini sana ila pia wanaamini sana ushirikina
Ukiona soko lao la mboga na matunda
Vendors wengi wanauza matunguli na sanamu kwa ajili ya juju
Ila kwa sasa ndio kabisa nchi haikaliki
Jirani zetu kwa tamaa ya hela walitaka kupeleka wanajeshi ila walipoona mapanga na bunduki zimeshikwa na machokoraa wakasitisha tamaa zao
Yaani kwa sakata la hii nchi unaweza jiuliza maswali na ukakosa jibu. Nani anawapa hawa jamaa silaha? na zinafikaje hapo? hiyo nchi haikuwa na jeshi? hao polisi wameshindwa kutumia maarifa na nguvu zao zote kuyamaliza hayo magenge?
Ni kweli mzeeYaani kwa sakata la hii nchi unaweza jiuliza maswali na ukakosa jibu. Nani anawapa hawa jamaa silaha? na zinafikaje hapo? hiyo nchi haikuwa na jeshi? hao polisi wameshindwa kutumia maarifa na nguvu zao zote kuyamaliza hayo magenge?
Wakubwa hawaichukulii kwa uzito nchi hiyo na inazidi kudidimia kila uchao bila msaada wowote na sauti za karipio kutoka ktk mamamlaka za ulimwenguni. Ni swala la muda tu naunga mkono hoja kuzembea kutibu kwa sasa baadae baada ya kujisimika itakuwa ngumu kuwatoa hapo.
Hao ni wahalifu tu,ogopa mjinga mmoja akiwa na silahaOyaa Kwa hiyo nchi imemshindwa jamaaa Hadi Rais anajiuzulu....🤣🤣🤣
Kaka sometimes uwa nataka kukubaliana na wale wabaguzi wa rangi wanaosema waafrika sio binadamu kamiliUkitafakari Haiti , ukitafakari Afrika, na Waafrika ... Unabaki kuduwaa na kiwakodolra. Macho Wazungu!
Wafukuzwe Afrika na popote waliko. Nikitizama DRC,Rwanda,Burundi, Huko central afrika, yani kila koloni lao linashida.ni wanyonyaji sana mpaka wanakausha damu.Afadhali mbu anakunyukua halafu anakufinya unashtuka.
Wanaofuatia baada ya wafaransa ni Ureno.Katika kinyang'anyiro cha Afrika waliambulia kitu kiduchu lakini walitawala kwa ukatili sana.Wafukuzwe Afrika na popote waliko. Nikitizama DRC,Rwanda,Burundi, Huko central afrika, yani kila koloni lao linashida.
Haiti is a failed state. Jamaa kosa alilofanya ni kwenda kuomba polisi wakenya waletwe haiti kupambana namagenge basi hata kurudi kwake ikawa haiwezekani.Serikali ya Haiti imesambaratika baada ya aliyekuwa kiongozi wake kujiuzulu kwa shinikizo la makundi ya mitaani yakiongozwa na Vitel'homme Innocent
Kiongozi huyo wa makundi ya kihalifu anashutumiwa kufanya matendo ya kigaidi maeneo mengine ya Carribean mbali na Haiti.
Wew kutukana wenzio fundi.Tokea uanze kuwa Mwanaume Mpiga Mluzi umekuwa Mpumbavu sana. au unataka nami Nikupigishe Miluzi ukatibiwe MNH?
Anayo maslahi nayo.Haiti nadhani us hana maslahi nayo mbona hatumi jeshi mpaka wanaomba polisi kenya!
Ugaidi ni kusambaza vurugu ama hofu kwa jamii kwa lengo binafsi kwa kutumia mgongo wa siasa ama dini.Matumizi mabaya ya neno GAIDI, UGAIDI. Hao ni wahuni wa mitaani; ugaidi bila al-deen haupo!
Wanasoma mkuu.Huu ni uongo sasa, Education gani na ya nini kwenye nchi yenye vita na kuongozwa na magenge ya kihalifu? Unasomaje, mwalimu ana roho gani, na hao wanafunzi wanatoka wapi?
Askari na jeshi lenyewe wanamgeuka raisi.Yaani kwa sakata la hii nchi unaweza jiuliza maswali na ukakosa jibu. Nani anawapa hawa jamaa silaha? na zinafikaje hapo? hiyo nchi haikuwa na jeshi? hao polisi wameshindwa kutumia maarifa na nguvu zao zote kuyamaliza hayo magenge?
Wakubwa hawaichukulii kwa uzito nchi hiyo na inazidi kudidimia kila uchao bila msaada wowote na sauti za karipio kutoka ktk mamamlaka za ulimwenguni. Ni swala la muda tu naunga mkono hoja kuzembea kutibu kwa sasa baadae baada ya kujisimika itakuwa ngumu kuwatoa hapo.
Hata mimi kuna muda nataka kusadikisha hiyo kauli.Kaka sometimes uwa nataka kukubaliana na wale wabaguzi wa rangi wanaosema waafrika sio binadamu kamili
Ushauri wako ni mzuri baada ya kwamba haiwezekani hicho kusiwa kuhama na kujisogeza karibu wenzao wengine kama cuba na venezuela.Ili iwe mbali sana na Marekani.Askari na jeshi lenyewe wanamgeuka raisi.
Hivi hujui rais wa nyuma kabla ya huyu aliyekimbia nchi aliuawa chumbani kwake na mlinzi wake binafsi!?
Yani Haiti kuna genge la wenye pesa wanaamuru nchi iendaje,rais ukiingia madarakani ukitaka kubadili mifumo na sera za nchi ni sawa unakata ugali wa wale wakuu.
Na hao wakuu wako huko California mzee,mwishowe wataku assassinate na kuunda na kufadhili makundi kuudhohofisha utawala wako.
Hiyo nchi anahitajika mkuda mmoja ambaye kama itatoka sapoti kali apindue meza.
Yani HOUTHI YEMENI au IRAN ndio wa kuwapeleka huku.
Hii nchi inahitajika sapoti ya taifa lenye nguvu na atokee kiongozi kichaa kichaa kidogo.Ushauri wako ni mzuri baada ya kwamba haiwezekani hicho kusiwa kuhama na kujisogeza karibu wenzao wengine kama cuba na venezuela.Ili iwe mbali sana na Marekani.
Hebu nenda Kafie mbele huko acha Kunipotezea muda sawa?Wew kutukana wenzio fundi.
.... give them a gun and they will kill themselves.....if God...created us all the same ...why we are white...and them are black ....."Let's agreed that Blacks cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Yan kama mwanaume vileHebu nenda Kafie mbele huko acha Kunipotezea muda sawa?