Dunia kusimama kuelekea mpambano wa kukata na shoka kati ya Anthony Joshua na Wladimir Klitschko

Asee Joshua amekutana na changamoto ya kweli... Na hataisahau..
Naamini amejifunza kitu kwenye pambano hilo.
 
Mtoto ameshinda pambano ndivyo tunaweza kusema AJ amempiga mpinzani wake Kwa knockout round ya 11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…