Dunia kweli duara, leo hii Arusha wanalalamika Majambazi wanavunja maduka mchana kweupe

Dunia kweli duara, leo hii Arusha wanalalamika Majambazi wanavunja maduka mchana kweupe

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Hii Dunia hii ukiona mwenzio ananyolewa wewe kasuke rasta. Watu wa Mikoani wameanza kuitikia Chorus. Arusha maeneo ya Ngalelo. Majambazi wanapita mchana wanaangalia duka wanalopenda wanapora wanaenda na la pili mpaka manne sometimes. Wanaondoka zao.

Najiuliza wananchi wanafanya nini? Wanakuja kulia lia hapa JF. Wakati ingekuwa malalamiko ni kuwa Serikali itakuja saa ngapi kuchukua maiti za Majambazi. Mimi ndo natamani tufikie huko. Yaani wakitia tu mguu. Mnawamwaga ubongo. Mnawapigia Jiji waje kusafisha.

Leo Arusha nao wanalia lia kama watu wa Dar? Machalii wangu hii dunia inazunguka. Sikuwahi tegemea yaliyomkuta Ungo na Kibeku naye yatamkuta.
 
Arusha na dar
Ni kulwa na doto

Hao majambazi waje huku mara, tunawakaribisha sana
 
Back
Top Bottom