Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Kama nakuona vile unavyotilia mkazo umuhimu wa hela katika mchakato mzima wa kuishi kwa furahaš¤£Hela ikiwepo inaongeza furaha zaidi....inaongeza na hamu pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nakuona vile unavyotilia mkazo umuhimu wa hela katika mchakato mzima wa kuishi kwa furahaš¤£Hela ikiwepo inaongeza furaha zaidi....inaongeza na hamu pia.
Mungu akikubariki hata na kidogo usiache kuwakumbuka wasio na hata hicho kidogo.Ninachoweza kusema katika hii dunia, weka misingi mizuri ya kupata hela ili kufurahia maisha; ikiwezekana tafuta marafiki wazuri nje ya nchi wenye connection
Kwa kweliUnaempenda hakupendi au anakupenda kwa manufaa yake binafsi. Anaekupenda unamuona si wa hadhi yako.
Unapokutana na anaekupenda kwa dhati na wewe ukampenda kwa dhati, Kuna jambo litatokea mnaweza kushindwa kuoana. Mkioana mmoja anaweza kufa mapema.
Mnapendana lakini matatizo hayaishi, umasikini umetamalaki badala ya kufurahia mapenzi mnawaza kodi ya nyumba, chakula na ada za watoto.
Pesa siyo shida lakini ndani ya nyumba hakuna naelewanao. Mnaweza kuelewana kuna ndugu wa mke au mume wanawakorofisha.
Furahia maisha unavyoweza, maisha hayatabiriki.
Kweli mkuu, huwa nikipata kidogo huwa natembelea hospitali na wafungwa, hii kukaa bar na wakulungwa huwa sifanyi,ni bora niwe peke yangu au na familia tuMungu akikubariki hata na kidogo usiache kuwakumbuka wasio na hata hicho kidogo.
Ama kwa hakika inatia faraja umpendae akupende pia.Unaempenda hakupendi au anakupenda kwa manufaa yake binafsi. Anaekupenda unamuona si wa hadhi yako.
Unapokutana na anaekupenda kwa dhati na wewe ukampenda kwa dhati, Kuna jambo litatokea mnaweza kushindwa kuoana. Mkioana mmoja anaweza kufa mapema.
Mnapendana lakini matatizo hayaishi, umasikini umetamalaki badala ya kufurahia mapenzi mnawaza kodi ya nyumba, chakula na ada za watoto.
Pesa siyo shida lakini ndani ya nyumba hakuna naelewanao. Mnaweza kuelewana kuna ndugu wa mke au mume wanawakorofisha.
Furahia maisha unavyoweza, maisha hayatabiriki.
Kumbuka watoto yatima pia, ukiweza kuwanunulia sare za shule na viatu ni msaada mkubwa.Kweli mkuu, huwa nikipata kidogo huwa natembelea hospitali na wafungwa, hii kukaa bar na wakulungwa huwa sifanyi,ni bora niwe peke yangu au na familia tu
Kweli kabisaNinachoweza kusema katika hii dunia, weka misingi mizuri ya kupata hela ili kufurahia maisha; ikiwezekana tafuta marafiki wazuri nje ya nchi wenye connection
Sijui huwa ni kwanini, anyways mada nyingine hiyoInatokea mara chache sana.
Kama hali itaruhusu huko mbeleni nitatafuta hata namna ya kuishi nao hata wawili kwa wale wenye vipajiKumbuka watoto yatima pia, ukiweza kuwanunulia sare za shule na viatu ni msaada mkubwa.
Wengine tunaishi tu bora liende, Nadhani Mungu angeanza kutu-Consult kwanza kabla ya kutuleta duniani.
The purpose of life is to live not to existUkiwa mzima wa afya hii linatosha kumshukuru Mungu. Kuna wenye kila kitu lakini wanaugulia maumivu.
Nakuelewa unachomaanisha mkuu; ilinitokea siku za karibuni kwa mwenzangu na ilinibidi nitumie garama niwezavyo kuokoa hali yake, kafanyiwa upasuaji mkubwa leo, baada ya siku 2 mama yake akafariki kutokana na mshtuko, baada ya wiki aliyefanyiwa upasuaji anatakiwa asafirishwe kwa tiba ya mionzi; wapo walioniona kama nimechanganikiwa, lakini nilipambana kutumia rasilimali ninavyoweza ili maisha yaendelee
Hata Wewe ni wa kuongea jambo hilo??--- unamkosoa Mungu aliyekupa hadhi ya kuwa binadamu??!!, je kama angekuumba kunguni, panya au funza wa chooni, inzi nk, ili usijitambue na usimlaumu ingekuwa vizuri??-- lazima uelewe maksudi ya Mungu kukuumba wewe na heshima hii akiyokupa ya wewe kuwa binadamu/mtu, yakupasa umtolee shukrani kwani kuna maisha ya milele zaidi ya hayo maisha mafupi ya hapa duniani, wanyama hawatakuwa na maisha ya milele kama wewe, shida za dunia ni trials and tribulations katika maisha yetu, hizo trials baadhi ndio tickets za kuingia kirahisi peponi na pia ni kipimo cha wewe kumshukuru Mungu na kumkumbuka, never give up my friend the hereafter is better.
Think deeper my friend.
Haya mambo yanasikitisha sana mkuu, yasikie tu kwa mwenzioumenigusa sana mkuu..
2019, 2020 , 2021 katika kila mwaka nimepoteza mtu muhimu katika maisha yangu. Jumla watatu, mmoja ndugu na wawili ni marafiki wa karibu ambao niliwapambania kiasi flani lakini haikuwa ridhki.
Huyu wa mwisho ni moja ya watu wachache ambao ningeweza kuongea nao chochote na kwa masaa bila kujihisi tofauti
nikikumbuka yupo kitandani anaumwa lakini bado ananipigia simu kunijulia hali na kunitia moyo sababu ya vitu flani, nazidi kumkumbuka. Ni mtu ambaye hakujali ukubwa wa matatizo yake ila alikuwa ana tabasamu kila mara na kutafuta furaha hata katika vitu vidogo ambavyo tunavipuuza..
Nitamkumbuka daima japo sometimes najikuta naingia whattsap kucheki previous chats na kusikiliza zile voice notes.. Forever in my heart and Rest In Peace Friend š
mkuu huwezi kujua ni vita ngapi amepigana au anapigana nazo hadi akaamua kusema hivyo, Dunia ina mitihani hii