Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Maneno yako yamenidokeza kitu. Kwakweli kuna kitu nilikua naandika kuhusu Free Will, Purpose na Destiny. As a believer naona si maandiko mema itabidi niifute tu hii Article.Hata Wewe ni wa kuongea jambo hilo??--- unamkosoa Mungu aliyekupa hadhi ya kuwa binadamu??!!, je kama angekuumba kunguni, panya au funza wa chooni, inzi nk, ili usijitambue na usimlaumu ingekuwa vizuri??-- lazima uelewe maksudi ya Mungu kukuumba wewe na heshima hii akiyokupa ya wewe kuwa binadamu/mtu, yakupasa umtolee shukrani kwani kuna maisha ya milele zaidi ya hayo maisha mafupi ya hapa duniani, wanyama hawatakuwa na maisha ya milele kama wewe, shida za dunia ni trials and tribulations katika maisha yetu, hizo trials baadhi ndio tickets za kuingia kirahisi peponi na pia ni kipimo cha wewe kumshukuru Mungu na kumkumbuka, never give up my friend the hereafter is better.
Think deeper my friend.
Ila kusema ukweli nina mgogoro mkubwa na creator, I might sound Weirdo!! But it's.
I think I have to talk to some people waniokoe roho yangu juu ya imani maana naona nazama😞