Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 909
- 3,476
Huyo jamaa amethibitisha kuwa Mwanamke hajui Ana chotaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo jamboi ni la kufikirisha sanaCHa ajabu nini?
Kwahiyo wengi ni wangapi?Wanawake 400 ndo unawaona wengi sana
Bodaboda wanasiri sana kuna jamaa angu boda aliniambia muda wa wake za watu kuchepuka ni kuanzia saa 4-7 mchana.Hili jambo ni kuomba Mwenyezi Mungu akujalia Mwanamke mwenye hofu ya Mungu na hekima.
Kuna wanawake ni mama wa nyumbani ila ni wachepukaji wa hatari. Wewe ukienda kazini mwenzio anatumia hata nusu saa kuchepuka.
Ukikaa na bodaboda ama wahudumu wa lodge watakupa siri nyingi.
Kabisa maana hao wanawake wameolewa na wanaume wenye uchumi mzuri.Huyo jamaa amethibitisha kuwa Mwanamke hajui Ana chotaka
Wakati huo ni muda wa kupika na kula?Bodaboda wanasiri sana kuna jamaa angu boda aliniambia muda wa wake za watu kuchepuka ni kuanzia saa 4-7 mchana.
Mkuu,Yalotokea kwa huyu kiongozi wa equatorial ni ya kujifunza
Hii haki sawa kwa wanawake mwisho wake NI huko kujirahisisha
Kama unauwezo wa kuoa na kuitunza familia japo kwa Milo miwili kwa siku usiruhusu mwanamke atoke nje ya lengo ulomletea kwako muweke nyumban alee watoto na wajibu wake wa kutunza mji wewe usimame Kama baba tofauti na hivyo ni kutia mkono kizani
Unakuta mjuba usiku mmelala mzungu wa nne asubuhi mke anampelekea bosi wake kipochi manyoya walivyokuwa wa hovyo wengine hata vyupi hawavai anabinuliwa kila staili Kama mcheza ex
NIMESHANGAA SANA MWANAUME MMOJA KATEMBEA NA WANAWAKE 400+ HALAFU TOFAUTI TOFAUTI BADO JAMBO LA KUFIKIRIKA SANA
Mkuu kutembea na mke wa rafiki hiyo haitishi unatembea na mke wa makamu wa raisi huko labda karibu kaenda mbali mpaka kutembea na mke wa Kaka yake na yule mwingine cjui mke Nani lakini mjamzitoMkuu,
Najaribu kukuelewa lakini nashindwa...
1. Ni kwamba katembea na wanawake wengi au?? Tuache unafiki, ni vile tu sisi wengine hatuna ushahidi, lakini ukituliza akili na kupiga hesabu utagundua hata wewe unaweza ukafikisha 400, isipokuwa tofauti ni kwanza hauji record.
2. Ana mda gani tangu aanze hayo mambo?? Hii itatupa picha kujua kwa mwezi ametembea na wangapi..
Sio kitu kizuri, lakini kwa nini tunanyooshea watu vidole?? Sisi je, tumejichunguza?? Kosa ni kosa mkuu, yeye katembea na 400, haiondoi kosa la wewe kutembea na wanawake 5 au 2 tofauti tofauti.
Ndo maana hata mimi nimeuliza.. naona mijadala mingi iko kwenye namba, yaani 400 watu wanaona wanawake wengi, lakini je, mimi na wewe tulituliza akili na kuhesabu, tutajaza abood bus ngapi??Mkuu kutembea na mke wa rafiki hiyo haitishi unatembea na mke wa makamu wa raisi huko labda karibu kaenda mbali mpaka kutembea na mke wa Kaka yake na yule mwingine cjui mke Nani lakini mjamzito
Nikuulizee na wewe mkuu hizo tabia unazo unavua surual ndoa za watu
Mkuu ukisema circle inakuwa ngumu kueleweka coz cheo NI dhamana tu Kama NI circle wwe huna Kaka huna huna marafiki wa karibu unapata kiburi gani cha kutembea na wake za watu mpaka unafikia hatua ya kujirecordNdo maana hata mimi nimeuliza.. naona mijadala mingi iko kwenye namba, yaani 400 watu wanaona wanawake wengi, lakini je, mimi na wewe tulituliza akili na kuhesabu, tutajaza abood bus ngapi??
Halafu kingine, kutokana na hadhi yake, hao aliotembea nao ndo circle yake mkuu.. kila mtu anatembea na mtu ambaye kwa hadhi yake ni rahis kumpata.
Kwa hiyo tusijikite sana kwenye namba, tujikite kwenye moral issues, lakini mimi na wewe pia tuna yetu, ni vile tu hayajawekwa hadharani, tena yanaweza yakawa mazito kuliko hata ya Jamaa