Dunia ni nyumba ya mafunzo

Dunia ni nyumba ya mafunzo

Hili jambo ni kuomba Mwenyezi Mungu akujalia Mwanamke mwenye hofu ya Mungu na hekima.
Kuna wanawake ni mama wa nyumbani ila ni wachepukaji wa hatari. Wewe ukienda kazini mwenzio anatumia hata nusu saa kuchepuka.
Ukikaa na bodaboda ama wahudumu wa lodge watakupa siri nyingi.
Bodaboda wanasiri sana kuna jamaa angu boda aliniambia muda wa wake za watu kuchepuka ni kuanzia saa 4-7 mchana.
 
Yalotokea kwa huyu kiongozi wa equatorial ni ya kujifunza

Hii haki sawa kwa wanawake mwisho wake NI huko kujirahisisha

Kama unauwezo wa kuoa na kuitunza familia japo kwa Milo miwili kwa siku usiruhusu mwanamke atoke nje ya lengo ulomletea kwako muweke nyumban alee watoto na wajibu wake wa kutunza mji wewe usimame Kama baba tofauti na hivyo ni kutia mkono kizani
Unakuta mjuba usiku mmelala mzungu wa nne asubuhi mke anampelekea bosi wake kipochi manyoya walivyokuwa wa hovyo wengine hata vyupi hawavai anabinuliwa kila staili Kama mcheza ex

NIMESHANGAA SANA MWANAUME MMOJA KATEMBEA NA WANAWAKE 400+ HALAFU TOFAUTI TOFAUTI BADO JAMBO LA KUFIKIRIKA SANA
Mkuu,
Najaribu kukuelewa lakini nashindwa...
1. Ni kwamba katembea na wanawake wengi au?? Tuache unafiki, ni vile tu sisi wengine hatuna ushahidi, lakini ukituliza akili na kupiga hesabu utagundua hata wewe unaweza ukafikisha 400, isipokuwa tofauti ni kwamba hauji record.

2. Ana mda gani tangu aanze hayo mambo?? Hii itatupa picha kujua kwa mwezi ametembea na wangapi..

Sio kitu kizuri, lakini kwa nini tunanyooshea watu vidole?? Sisi je, tumejichunguza?? Kosa ni kosa mkuu, yeye katembea na 400, haiondoi kosa la wewe kutembea na wanawake 5 au 2 tofauti tofauti.
 
Mkuu,
Najaribu kukuelewa lakini nashindwa...
1. Ni kwamba katembea na wanawake wengi au?? Tuache unafiki, ni vile tu sisi wengine hatuna ushahidi, lakini ukituliza akili na kupiga hesabu utagundua hata wewe unaweza ukafikisha 400, isipokuwa tofauti ni kwanza hauji record.

2. Ana mda gani tangu aanze hayo mambo?? Hii itatupa picha kujua kwa mwezi ametembea na wangapi..

Sio kitu kizuri, lakini kwa nini tunanyooshea watu vidole?? Sisi je, tumejichunguza?? Kosa ni kosa mkuu, yeye katembea na 400, haiondoi kosa la wewe kutembea na wanawake 5 au 2 tofauti tofauti.
Mkuu kutembea na mke wa rafiki hiyo haitishi unatembea na mke wa makamu wa raisi huko labda karibu kaenda mbali mpaka kutembea na mke wa Kaka yake na yule mwingine cjui mke Nani lakini mjamzito

Nikuulizee na wewe mkuu hizo tabia unazo unavua surual ndoa za watu
 
Ndo maana hata mimi nimeuliza.. naona mijadala mingi iko kwenye namba, yaani 400 watu wanaona wanawake wengi, lakini je, mimi na wewe tulituliza akili na kuhesabu, tutajaza abood bus ngapi??

Halafu kingine, kutokana na hadhi yake, hao aliotembea nao ndo circle yake mkuu.. kila mtu anatembea na mtu ambaye kwa hadhi yake ni rahis kumpata.

Kwa hiyo tusijikite sana kwenye namba, tujikite kwenye moral issues, lakini mimi na wewe pia tuna yetu, ni vile tu hayajawekwa hadharani, tena yanaweza yakawa mazito kuliko hata ya Jamaa
 
Mkuu ukisema circle inakuwa ngumu kueleweka coz cheo NI dhamana tu Kama NI circle wwe huna Kaka huna huna marafiki wa karibu unapata kiburi gani cha kutembea na wake za watu mpaka unafikia hatua ya kujirecord
 
Back
Top Bottom