Dunia ni nyumba ya mafunzo

Bodaboda wanasiri sana kuna jamaa angu boda aliniambia muda wa wake za watu kuchepuka ni kuanzia saa 4-7 mchana.
 
Mkuu,
Najaribu kukuelewa lakini nashindwa...
1. Ni kwamba katembea na wanawake wengi au?? Tuache unafiki, ni vile tu sisi wengine hatuna ushahidi, lakini ukituliza akili na kupiga hesabu utagundua hata wewe unaweza ukafikisha 400, isipokuwa tofauti ni kwamba hauji record.

2. Ana mda gani tangu aanze hayo mambo?? Hii itatupa picha kujua kwa mwezi ametembea na wangapi..

Sio kitu kizuri, lakini kwa nini tunanyooshea watu vidole?? Sisi je, tumejichunguza?? Kosa ni kosa mkuu, yeye katembea na 400, haiondoi kosa la wewe kutembea na wanawake 5 au 2 tofauti tofauti.
 
Mkuu kutembea na mke wa rafiki hiyo haitishi unatembea na mke wa makamu wa raisi huko labda karibu kaenda mbali mpaka kutembea na mke wa Kaka yake na yule mwingine cjui mke Nani lakini mjamzito

Nikuulizee na wewe mkuu hizo tabia unazo unavua surual ndoa za watu
 
Ndo maana hata mimi nimeuliza.. naona mijadala mingi iko kwenye namba, yaani 400 watu wanaona wanawake wengi, lakini je, mimi na wewe tulituliza akili na kuhesabu, tutajaza abood bus ngapi??

Halafu kingine, kutokana na hadhi yake, hao aliotembea nao ndo circle yake mkuu.. kila mtu anatembea na mtu ambaye kwa hadhi yake ni rahis kumpata.

Kwa hiyo tusijikite sana kwenye namba, tujikite kwenye moral issues, lakini mimi na wewe pia tuna yetu, ni vile tu hayajawekwa hadharani, tena yanaweza yakawa mazito kuliko hata ya Jamaa
 
Mkuu ukisema circle inakuwa ngumu kueleweka coz cheo NI dhamana tu Kama NI circle wwe huna Kaka huna huna marafiki wa karibu unapata kiburi gani cha kutembea na wake za watu mpaka unafikia hatua ya kujirecord
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…