Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaweza ikawa ni hatima yako au ikawa si hatima yako vile vile... Watu ambao huwa wanafanya vitu vya kihatima huwa wanafurahia wanachokifanya na kuridhika na matokeo ya wakifanyacho.Kwahiyo Mimi hatima yangu ni ualimu
Is my destiny but I can't do this job because of income
Asante sana Thecoder nitafanyia kazi huu ushauri maanaJitafutie muda wa kukaa mwenyewe katika utulivu wa akili kuna vitu vingi sana utavuvuta ndani yako na huo uwezo ambao wanauona uko nao sasa utaongezeka zaidi.
Kati ya dalili moja wapo ya kugundua kama ulishawahi kuwepo hapa au laa ni hiyo ya kuwa na machaguo ya rika kwamba wewe mwenyewe tu ukikaa na watu wa rika lako unaona kama si watu sahihi ila ukikaa na watu wenye umri mkubwa kuliko wewe unajiona unafurahia sana maongezi lakini pia ukikaa na watu wa rika lako wanakuona kama uko na ukale fulani ambao hauendani na wao so automatic wanakua hawavutiwi sana na wewe.
Jitahidi ufuge.
Karibu sana mkuu... Toleo la pili la vipawa vya hatima litakusaidia wacha tumalize maswala fulani fulani ya usajiri then nitakiweka hapa tuendelee kujifunza.Asante sana Thecoder nitafanyia kazi huu ushauri maana
Kuna muda tena najikuta nakosa interest za kimapenzi na watu wa umri wangu nakuwa nahitaji mtu anazidi umri au nimzidi zaidi na zaidi
Kuna muda nafeel kuchanganyikiwa ila mpaka sasa naona ni kama nimepata jibu
Swali lako ni zuri ila liko na concept mbili tofauti ambazo ni ndefu kuweza kuziungamisha ili uweze kupata kuelewa.mkuu Thecoder mm nina swali hivi nyota ndio hatima.? maana tukisoma mambo ya nyota toka wanajimu yaani utasikia wakisema mwenye nyota ya mizani wanaendana kinyota na ndoo..au mwenye nyota ya mbuzi kazi anazoendana nazo au anaweza kufanya akafanikiwa ni siasa,utawala,uhandisi,survey,architech..sasa mm najiuliza hizo kazi au biashara wanazotaja ndio za hatima wenye nyota hizo na ikiwa mtu hiyo ndio nyota yake halisi kiukweli je,akifanya moja ya hizo kazi zilizotajwa kwenye nyota inayomuhusu je, ni kweli atakuwa anafanya kazi ya hatima yake hivyo atajipata.?je,ni kweli kazi zinazotajwa kwenyw kila nyota zina uhusiano na hatima za watu wenye hizo.? usahihi wake ni upi
Mkuu naweza kukufuata DM !?Swali lako ni zuri ila liko na concept mbili tofauti ambazo ni ndefu kuweza kuziungamisha ili uweze kupata kuelewa.
Ila ni hivi...
Kwanza nyota na hatima ni vitu viwili tofauti vinavyofanya kazi kwa kutegemeana kwa maana hatima ni maisha ambayo mtu anatakiwa ayaishi hapa duniani ili kusaidia kwenye ujenzi wa Dunia lakini pia kuongeza ile mitetemo chanya kwaajiri ya kuufanya ulimwengu uweze kuwa sehemu salama ya kuishi.
Lakini wakati huo huo nyota ni asili ya mtu halisia ambayo hii hufanya kazi kwa kufuata mfumo wa mitetemo uliopo ndani ya mtu.
Na nilikuambia mitetemo ndio ambayo inamuunganisha mtu na ulimwengu wa juu sana.
Kwahiyo kadri unavyonyanyua mitetemo yako na kujiungamanisha na ulimwengu wa juu ndivyo nyota yako nayo inavyokua na uimara kwa maana hapa unakua unanyanyua zile nguvu asili zilizopo ndani yako.
Na hapo ndipo ambapo muunganiko wa nyota na hatima unapokutana, kwa maana mtu hawezi kuombea baraka zimjilie ndani ya hatima yake bila kunyanyua ile mitetemo ya mfumo nyota wake ili kuhakikisha ile mitetemo inakua na nguvu kiasi cha kufanya ujumbe uweze kufika kule alikokusudia kwa haraka.
Sasa hiyo nimekuelezea kwa kuzingatia ule upande wa mtu halisi lakini pia huwa kuna muunganiko baina ya mtu na ulimwengu kwa kuzingatia ile asili ya uumbaji na zile nguvu nne za uumbaji na ndio ambazo wewe unazizungumzia hapo kwenye swali lako.
Nilisema nguvu ziko nne za asili ya uumbaji ambazo nguvu hizi ndizo ambazo hutumika pale ambapo mtu anapotaka akiunganishe kitu chochote na ulimwengu.
Mwaka unamiezi 12 ambayo imegawanyika katika majira manne ambayo kila moja huwakilisha nguvu inayotawala kiasili.
Kwahiyo ikitokea ukawa umezaliwa ndani ya mwezi fulani ambao unanguvu fulani ya asili ya uumbaji inayotawala inakua inaaminika kwamba nguvu zako za asili kwa maana ya nyota zinakua zinafungamana na nguvu hiyo ya asili.
Kwahiyo kwa mtindo huo kinachoangaliwa si nyota ila kinachoangaliwa ni muunganiko wako na ulimwengu kitu ambacho huwa kinafanya kazi kwa baadhi ya nyakati ila pia kuna baadhi ya nyakati hakifanyi kazi kwa maana mtu ni mfumo pia, kwa maana anapozaliwa tu huwa anazaliwa akiwa na nguvu hizi zote nne ndani yake ila zinakua na utofauti wa ukubwa kwa maana kuna moja huwa inajitokeza zaidi ya zingine na kiuhalisia unaweza ukawachukua watu wawili waliozaliwa mwezi na trh mfanano kwenye mwaka mmoja ila ukawakuta wote wananguvu za aina tofauti zinazowaungamisha na ulimwengu.
Ndio maana njia hiyo ya kinajimu huwa haiko accurate sana ingawa kuna nyakati huwa inafanya kazi.
Najua humu ndani niko na viporo kadhaa ambavyo niliahidi kuviandikia kwa urefu ili viweze kieleweka naomba na hili swali lako liwe kwenye vile viporo ili niweze kuandika kwa urefu nikupe huo muunganiko uliopo baina ya njia hizo mbili pamoja na udhaifu wake ulipo unapotumia hiyo njia ya pili.
AhsanteKaribu mkuu
NAOMBA ujikite kidogo kwenye mfumo wa mitetemo liwe SoMo Pana,Swali lako ni zuri ila liko na concept mbili tofauti ambazo ni ndefu kuweza kuziungamisha ili uweze kupata kuelewa.

Tutaanzia mwaka hapaNAOMBA ujikite kidogo kwenye mfumo wa mitetemo liwe SoMo Pana,
Tujue ni nini huo mfumo wa mitetemo
Ilitoka wapi Kwa nani nae aliitowa wapi, na inafananaje huo mfumo wa mitetemo , ni kama radi za mvua au shoti za umeme au nuclear fission and fusion?
Kuna aina ngapi za mitetemo ,inayounda asili ya mtu?
Je,Kuna watu ni kiasili Yao ,wameumbwa Kwa mitetemo hasi na Kuna kundi la watu wameumbwa mitetemo Cha ya tangu asili Yao.
NAOMBA kujua uhusiano ulipo kati ya hio mitetemo Cha na, Nyota, ,Hatma ya mtu vinauhusiano vipi na DNA inayo muunda mtu,
Pia, uhusiano wa
Huku duniani Mimba inavyotungwa ,kule rohoni pia Roho inatungwa wakati Mimba inapotungwa duniani au Roho zilikuwepo muda zinaishi au ZIPO tu sehemu kama store ya roho zote zilizotengenezwa Ili zishushe duniani kujalibiwa kutestiwa.
mfano mtu kafoji katumia hatma ya mtu mwingine na akafanikiwa lakini baadae yule mtu anarudishiwa karama yake/nyota yake..Nyota iko kwenye asili halisi ya mtu kwahiyo unavyoishi ndivyo asili yako ilivyo mara nyingi na mfano niliusema kwenye kipengele cha maisha kwamba kuridhika au kutokuridhika kwa mtu katika vile viwango vya umiliki kunatokana na ukubwa wa hatima ya mtu husika.
Huwezi kubadili mfumo nyota ila unauwezo wa kumnyang'anya mtu mwingine na kutumia ule mfumo nyota wa asili yake na ndio hapa nilisema kwamba wale wanaotaka kufoji hatima huwa wanatumia njia Hii mara nyingi na nikasema huwa kuna watu wanatumika kutimiza hatima za watu.
Kuna namna nyingi za kutumia hatima ya mtu au watu wengine.mfano mtu kafoji katumia hatma ya mtu mwingine na akafanikiwa lakini baadae yule mtu anarudishiwa karama yake/nyota yake..
Yule aliyeiba karama ya mtu huwa anabaki kwenye madhara gani baada ya mtu kuirudisha karama yake? Je atabaki kama alivo successful au atafirisika?
Hongera mkuu, umekutana na waganga ambao wanajielewa kwa maana wengine wangekuroot na hatimae kukuharibu kabisa kabisa.Mkuu Nimesoma kwa makini sana hii mada zako kwa kweli ulichoandika ndicho kinachotokea au ninachopitia kwenye maisha yangu sasa 100%.
Nitaelezea kwa ufupi ila nina Mengi sana! Nakumbuka 2021 mambo yaliniendea kombo (sitaki kazi,uchumi kushuka, e.tc) sasa nikaenda kwa mganga wa kwanza akaniuliza mara ya mwisho kwenda kanisani lini? nikamwambia nina muda sana akasema Tafuta mtumishi wa Mungu mwenye nguvu za Mungu aniwekee mkono kichwani na aniombee...sikuelewa alikua anamanisha nini..nikaenda tu kwa hawa wa makanisa lakini bado mambo yangu hovyo.. Ila alifanya utabiri huyu mganga kwamba nakuja kuwa mtu mkubwa sana na nina wadhifa mkubwa sana na on the way nitakutana na mtu atanishika mkono na kunipelela kwenye hatma yangu....e.tc
Nikaenda kwa mganga wa pili huyu alikua wa kike! Akastuka akaniambia hii mbona haijawahi kutokea tangu naanza uganga Namwona Yesu, Bikira Maria na hawa watu wenye Mabawa/malaika ndio wanakulinda..Hakika wewe ni mtu wa Mungu, akanisalisha Sala ya baba yetu uliyembinguni kilingeni( funny lakini ndivo ilivokua)....akaniambia ninunue biblia na nivae Rosari niwe nafanya maombi na kusoma biblia kwamba mwili wangu haupatani na mambo ya uchawi.
Mganga wa tatu kiume konki; Akaniambia nitafute kanisa la maombi niwe nasali na nivae Rosari Ndipo Mungu atafungua Baraka zangu..akasisitiza nisije kwenda kwa mganga sijui kuaguliwa kwani mwili wangu haupatani na uchawi..
Hapo sasa nikagundua Mungu ananipenda sana kanionekania hadi huko yote ni Alitaka kunirudisha kwenye Asili yangu kwamba mimi Ni wa Nuruni natakiwa kusali sana mpaka nifike kwenye kusudi langu.
Basi sasa nikapata kanisa moja la kinabii hapa Dsm! kabla sijaenda Mungu aliniotesha ndoto 2 kuwa pale ndipo sehemu nakwenda kupona. Kweli nilivofika kwa first time Nabii akaniona na kunisimamisha mbele za watu zaidi ya 3000, akaelezea chanzo cha matatizo yangu na akanitabiria ninakuja kuwa mtu mkubwa sana, utajiri, mali! Na kuna mtu alikua anatumia karama yangu huku mimi nikiteseka yeye akitajirika. Sasa nikarudishiwa karama yangu..e.tc
Ningeelezea mambo mengi ila ngoja niishie hapa. Vijana wengi wa JF huwa hawajui mambo ya kiroho yamavofanya kazi na kumpeleka mtu kwenye hatma yake.
Hicho ulichoelezea ndicho nachopitia 100%.
Shukrani sana! Ila Uzi wako umezidi kunifungua na kunipa sana nguvu aiseeh!Hongera mkuu, umekutana na waganga ambao wanajielewa kwa maana wengine wangekuroot na hatimae kukuharibu kabisa kabisa.
Baki huko na ujitahidi kufuata utaratibu wa huko kwa maana madhabahu iliyotumika kunyanyua nguvu zako ndio inayopaswa kuzingatia.