Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Hata kina Mandela na Walter Sisulu waliambiwa maneno haya. Steve Bicco aliuawa kwenye harakati zile ila Leo apartheid imekufa South Africa. Hakunaga jipya dunianiKwamba wapumbavu wachache wa CDM wana uhalali zaidi ya watanzania wengi, wewe kaandamane utapigwa virungu ukimaliza piga picha watumie zako USA.
Nipo tayari pia ndugu. Tufanye haya kwa faida ya Tanzania ijayo.Upo sahihi kabisa Niko tyari kuhesabiwa jumatatu tunakiamsha
Ndugu, ndo kwanza kumekucha!! Usishangilie hakika!Hahahhaha... Tulikuonya humu ile wiki iliyopita kwamba hizi ngebe zenu zitaisha tu!
Yani wiki ile ulikuwa unasema polisi haiwezi kuwashinda umati wa raia, leo unasema tena watu wengi hawajawahi kuleta mabadiriko?
Mwambie Lisu aekti anaenda kununua nyanya kariakoo tena watu watamfuat[emoji23][emoji23][emoji12]
Mkuu upo kitaa gani unanikinukisha?Nipo tayari pia ndugu. Tufanye haya kwa faida ya Tanzania ijayo.
Hakuna kikunukisha, ni maandamano ya amani.Nimerudi Songwe. Kituo kimojawapo cha mabadiliko. Mtapata salamu jumatatu.Mkuu upo kitaa gani unanikinukisha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamjawahi kuacha kujifariji,Ndugu, ndo kwanza kumekucha!! Usishangilie hakika!
Uzuri haya unayoyakebehi yatakufaidisha wewe na vizazi vyako vyote hadi cha 10 pale yakikamilika.
Kama huamini mahakama, bado zipo njia nyingine za dialogue.Ni mahakama ipi utapinga matokeo ya uraisi??? Ni mahakama ipi itawasikiliza wapinzani Tanzania??? Hizi walizowafunga chadema kwa kumuua akwilina huku kila mtu akiwa anajua akwilina alipigwa Risasi na polisi????
Msimamo wako haunishangazi, wewe ni mmoja wa wanufaika wa utawala huu dhalimu, huwezi kuona sawa kupigania haki kwa Chadema na ACT. Ila najua wakifanikiwa sio wewe tu utafaidika, hadi kizazi chako cha nne kitafaidika na misingi mipya watakayoiweka Chadema na ACT.
Hata wewe kwa ukweli wa nafsi yako, una amini magufuli anaweza fanya dialogue???? Acha masikhara ndugu.Kama huamini mahakama, bado zipo njia nyingine za dialogue.
Nilifikiri yanaanza juzi kama mgombea wako alivyoshauri, kumbe tungojee wiki ijayo?Hakuna kikunukisha, ni maandamano ya amani.Nimerudi Songwe. Kituo kimojawapo cha mabadiliko. Mtapata salamu jumatatu.
Hunishangazi kwa maneno yako. Nilikuwa wa kwanza kumshauri Lissu na Chadema juu ya nini cha kufanya humu. Uzuri ushauri wangu wameuchukua na waneufanyia kazi Leo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamjawahi kuacha kujifariji,
Kuna mwandishi kampiga Lisu kwamba vipi ulisema utapeleka watu barabarani inakuwaje juzi ukiwa nyumbani kwako unataka watu waende huku wewe ukiwa uko tu nyumbani.?
Akaishia kutapatapa tu
Kwani matokeo ya kura yaliyotangazwa ni kura zilizohesabiwa vituoni au ni matokeo waliyokuwa wameyaandaa baadhi ya watu wa Tiss wakishirikiana na NEC na ccm???Nilifikiri yanaanza juzi kama mgombea wako alivyoshauri, kumbe tungojee wiki ijayo?
By the way, vipi kigogo alisema ana kituo chake cha matokeo hivyo nec na Magu wakae mkao wa kuumbuliwa, huku wewe ukishangilia sana, vipi kashatoa tokeo nani kashinda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda road mkuu!Hunishangazi kwa maneno yako. Nilikuwa wa kwanza kumshauri Lissu na Chadema juu ya nini cha kufanya humu. Uzuri ushauri wangu wameuchukua na waneufanyia kazi Leo.
Napenda kukuhakikishia tu, mabadiliko wanayopigania Chadema na ACT, wewe na uzao wako wote ndo mtakuwa wa kwanza kufaidika nayo.