Dunia nzima hakunaga Mabadiliko yaliyowahi kuletwa na Watu Wengi

Nipo tayari pia ndugu. Tufanye haya kwa faida ya Tanzania ijayo.
Magufuri alianza kampeni miaka 5 Mara tu bàada ya kuapishwa sasa Na nyie CDM Na wenzenu mkianza jumatatu kama mlivyopanga itakua ngoma from 2025 japo kunA kiza kinene
 
Kukiwa na Kiza kinene ndo ishara ya kukaribia kukucha. Hakunaga urahisi kwenye kufanya mabadiliko ya kweli.
 
Tatizo la bongo, siasa ni ujasiriamali.

Ndio maana, binafsi naona bora kila mtu ashinde mechi zake..

Haiwezekani mimi ujasiriamali wangu uniendee vibaya huji kunisaidia, then nyie yakiwaendea vibaya tusaidiane.

NO.
Rejea mada hapo juu. Sishangazwi na msimamo wako, ila Nina uhakika mabadiliko wanayopigania CHADEMA na ACT wewe ndo utakuwa wa kwanza kupongeza na kushukuru
 
It is blasphemy to compare this to what was in South Africa. Are you trying to say CHADEMA and ACT are the only people people right. Are saying those who vote CCM are whites/makaburu and those who support upinzani are downtrodden.
Are you trying to say that Ccm has truly won 99% of all constituencies in this election???

let me tell you the truth , it’s not blasphemy at all because there is no difference to what was been done by the Boers to what is being done by Ccm.
 
Huelewei hata siasa ni nini wewe,poor you.
Tatizo la bongo, siasa ni ujasiriamali.

Ndio maana, binafsi naona bora kila mtu ashinde mechi zake..

Haiwezekani mimi ujasiriamali wangu uniendee vibaya huji kunisaidia, then nyie yakiwaendea vibaya tusaidiane.

NO.
 
Ubarikiwe sana kwa ujumbe huu wenye matumaini.
1. Wakati wa harakati za kupinga ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini ni watu wachache sana wenye ujasiri walioongoza harakati zile. Wengi wakiwemo waliokuwa wanafanya kazi kwenye mashamba na makampuni ya wazungu waliona sio sawa na walipinga harakati za kina Mandela na Walter Sisulu. Wengi waliona ingawa wanafanya kazi na kupata mishahara basi hakuna shida kumbe hawakujua harakati zile zingewanufaisha wao na vizazi vyao Leo hii harakati zimeisha na wao na vizazi vyao wanaona mabadiliko makubwa.

2. Wakati wa harakati za uhuru kwenye nchi za Africa ikiwemo Tanzania, sio watu wote waliunga mkono. Wengi waliona ni sawa kutawaliwa na wazungu. Ila baada ya Uhuru wengi walijitokeza kuwapongeza kina Nyerere na watu waliopigania uhuru na walifaidika wao na vizazi vyao.

3. Wakati wa mapinduzi ya Ufaransa, kuna wengi ambao waliunga mkono utawala wa kifalme ufaransa na waliona wapigania mapinduzi Kama watu wanaopoteza mda na wangepigwa na kuumizwa na askari na wasingepata kitu. Ila Leo hii baada ya Mapinduzi ya ufaransa, vizazi vyao vinafurahia maisha.

4. Wakati Martin Luther King wa Marekani anapigania haki za weusi pamoja na kina Malcom X kuna watu waliwaona kama watu wanaopoteza muda na kukataa kuwaunga mkono wakifikiri kuwa wangeuliwa na kukatizwa maisha ya duniani. Ila baada ya harakati za Martin Luther King na Malcom X Kufanikiwa vizazi vya wale waliokuwa wakiwakebehi ndio hawa leo wanafurahia maisha mazuri Marekani.

Tunajifunza nini?
Chadema na ACT watakebehiwa sana na watanzania ( baadhi) kuhusu kuandamana, wataambiwa andamaneni nyie, nendeni na wake zenu na watoto wenu. Mara sie hatutaki kupigwa risasi. Ila siku madai yanayodaiwa na Chadema na ACT yakifanikiwa ni watanzania hawahawa na vizazi vyao ndio watakuja kufaidika na mabadiliko yanayodaiwa Leo na watakuja kuwasifu sana Chadema na ACT kwa hizi harakati zao za leo.

Rai yangu kwa Chadema na ACT.

Endeleeni kupigania mnaloliamini, Tupo watanzania tunaowaunga mkono. Kwa wale ambao hawawaungi mkono na wanawakebehi, wala msijali, watakuja kuwashukuru siku moja. Mlilolianza wala msirudi nyuma hadi likamilike.

No Hate No Fear!
 
Hawa ndio wengi. Wanafanya kazi kwenye "mashamba" ya Magufuli na CCM. Yaani wao ilimradi wanapata mshahara mwisho wa mwezi, hata Magufuli achinje wengine wote, ni sawa tu.
Wengi wakiwemo waliokuwa wanafanya kazi kwenye mashamba na makampuni ya wazungu waliona sio sawa na walipinga harakati za kina Mandela na Walter Sisulu.
 
Atakaye andamana ukipigwa rungu au risasi hakuna kulia ,
Unatakiwa ukae kimya
Mwana kulitafuta mwana kulipata
Ukilia tu tunaokota mawe tunakutwanga kama mwizi
Makamanda uwa awalii kabisa..
 
Katika jamii iliyostaarabika, ukiona hujaridhika na jambo unafuata taratibu za kisheria, kijamii au kisiasa kutafuta utatuzi.

Uchaguzi ulikuwa huru na umefanyika kwa amani.

Kama kuna mgombea hajaridhika. Anatakiwa akashitaki mahakamani. Kama anaona mlango wa mahakama hauingiliki, basi afanye maongezi na upande wa pili kutafuta kile kinachoweza kumridhisha.

Ukiandamana tu bila kufanya jitihada za maongezi, hakuna mstaarabu yeyote duniani atakayekuunga mkono. Swali la kwanza utaulizwa, je ulifanya hatua gani kabla ya kuandamana? Ukisema hajafanya hatua nyingine yoyote, unaonekana mshari.

Kwahiyo, ushauri wangu, hawa ambao hawajaridhika wawasiliane na Humphrey Polepole wapange kufanya maongezi. Au wanaweza kumtafuta mzee kama Butiku akawasaidia kufikisha ujumbe wao kwa Bashiru.

Tanzania ni nchi ya amani. Tuilinde.
Hiyo rufaa unaikata kwa mahakama ipi? Kesi ya nyani umpe ngedere
 
1. Wakati wa harakati za kupinga ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini ni watu wachache sana wenye ujasiri walioongoza harakati zile. Wengi wakiwemo waliokuwa wanafanya kazi kwenye mashamba na makampuni ya wazungu waliona sio sawa na walipinga harakati za kina Mandela na Walter Sisulu. Wengi waliona ingawa wanafanya kazi na kupata mishahara basi hakuna shida kumbe hawakujua harakati zile zingewanufaisha wao na vizazi vyao Leo hii harakati zimeisha na wao na vizazi vyao wanaona mabadiliko makubwa.

2. Wakati wa harakati za uhuru kwenye nchi za Africa ikiwemo Tanzania, sio watu wote waliunga mkono. Wengi waliona ni sawa kutawaliwa na wazungu. Ila baada ya Uhuru wengi walijitokeza kuwapongeza kina Nyerere na watu waliopigania uhuru na walifaidika wao na vizazi vyao.

3. Wakati wa mapinduzi ya Ufaransa, kuna wengi ambao waliunga mkono utawala wa kifalme ufaransa na waliona wapigania mapinduzi Kama watu wanaopoteza mda na wangepigwa na kuumizwa na askari na wasingepata kitu. Ila Leo hii baada ya Mapinduzi ya ufaransa, vizazi vyao vinafurahia maisha.

4. Wakati Martin Luther King wa Marekani anapigania haki za weusi pamoja na kina Malcom X kuna watu waliwaona kama watu wanaopoteza muda na kukataa kuwaunga mkono wakifikiri kuwa wangeuliwa na kukatizwa maisha ya duniani. Ila baada ya harakati za Martin Luther King na Malcom X Kufanikiwa vizazi vya wale waliokuwa wakiwakebehi ndio hawa leo wanafurahia maisha mazuri Marekani.

Tunajifunza nini?
Chadema na ACT watakebehiwa sana na watanzania ( baadhi) kuhusu kuandamana, wataambiwa andamaneni nyie, nendeni na wake zenu na watoto wenu. Mara sie hatutaki kupigwa risasi. Ila siku madai yanayodaiwa na Chadema na ACT yakifanikiwa ni watanzania hawahawa na vizazi vyao ndio watakuja kufaidika na mabadiliko yanayodaiwa Leo na watakuja kuwasifu sana Chadema na ACT kwa hizi harakati zao za leo.

Rai yangu kwa Chadema na ACT.

Endeleeni kupigania mnaloliamini, Tupo watanzania tunaowaunga mkono. Kwa wale ambao hawawaungi mkono na wanawakebehi, wala msijali, watakuja kuwashukuru siku moja. Mlilolianza wala msirudi nyuma hadi likamilike.

No Hate No Fear!
Hayo uliyoandika. No1 mpaka No 4. Tanzania ilisha yapitia na sasa tupo huru na vizazi sisi na vijavyo tunaendelea vyema na vita ya uchumi. Ninyi wachumia tumbo mnaturudisha nyuma eti mnadai uhuru, nyie ni Mandela, Nyerere, ni Martin Luther, ni Mahatma Gandhi! Na mnataka tuwaunge mkono! Marehemu Mkapa aliwaita Wapumbavu! Eti mnapigania uhuru! Na ni wapumbavu kweli - maana tulisha pata uhuru tangu 1961!
 
1. Wakati wa harakati za kupinga ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini ni watu wachache sana wenye ujasiri walioongoza harakati zile. Wengi wakiwemo waliokuwa wanafanya kazi kwenye mashamba na makampuni ya wazungu waliona sio sawa na walipinga harakati za kina Mandela na Walter Sisulu. Wengi waliona ingawa wanafanya kazi na kupata mishahara basi hakuna shida kumbe hawakujua harakati zile zingewanufaisha wao na vizazi vyao Leo hii harakati zimeisha na wao na vizazi vyao wanaona mabadiliko makubwa.

2. Wakati wa harakati za uhuru kwenye nchi za Africa ikiwemo Tanzania, sio watu wote waliunga mkono. Wengi waliona ni sawa kutawaliwa na wazungu. Ila baada ya Uhuru wengi walijitokeza kuwapongeza kina Nyerere na watu waliopigania uhuru na walifaidika wao na vizazi vyao.

3. Wakati wa mapinduzi ya Ufaransa, kuna wengi ambao waliunga mkono utawala wa kifalme ufaransa na waliona wapigania mapinduzi Kama watu wanaopoteza mda na wangepigwa na kuumizwa na askari na wasingepata kitu. Ila Leo hii baada ya Mapinduzi ya ufaransa, vizazi vyao vinafurahia maisha.

4. Wakati Martin Luther King wa Marekani anapigania haki za weusi pamoja na kina Malcom X kuna watu waliwaona kama watu wanaopoteza muda na kukataa kuwaunga mkono wakifikiri kuwa wangeuliwa na kukatizwa maisha ya duniani. Ila baada ya harakati za Martin Luther King na Malcom X Kufanikiwa vizazi vya wale waliokuwa wakiwakebehi ndio hawa leo wanafurahia maisha mazuri Marekani.

Tunajifunza nini?
Chadema na ACT watakebehiwa sana na watanzania ( baadhi) kuhusu kuandamana, wataambiwa andamaneni nyie, nendeni na wake zenu na watoto wenu. Mara sie hatutaki kupigwa risasi. Ila siku madai yanayodaiwa na Chadema na ACT yakifanikiwa ni watanzania hawahawa na vizazi vyao ndio watakuja kufaidika na mabadiliko yanayodaiwa Leo na watakuja kuwasifu sana Chadema na ACT kwa hizi harakati zao za leo.

Rai yangu kwa Chadema na ACT.

Endeleeni kupigania mnaloliamini, Tupo watanzania tunaowaunga mkono. Kwa wale ambao hawawaungi mkono na wanawakebehi, wala msijali, watakuja kuwashukuru siku moja. Mlilolianza wala msirudi nyuma hadi likamilike.

No Hate No Fear!
Hawa nao 👇👇👇 unawaweka kwenye kundi la wanamabadiliko.
images (22).jpeg
 
Katika jamii iliyostaarabika, ukiona hujaridhika na jambo unafuata taratibu za kisheria, kijamii au kisiasa kutafuta utatuzi.

Uchaguzi ulikuwa huru na umefanyika kwa amani.

Kama kuna mgombea hajaridhika. Anatakiwa akashitaki mahakamani. Kama anaona mlango wa mahakama hauingiliki, basi afanye maongezi na upande wa pili kutafuta kile kinachoweza kumridhisha.

Ukiandamana tu bila kufanya jitihada za maongezi, hakuna mstaarabu yeyote duniani atakayekuunga mkono. Swali la kwanza utaulizwa, je ulifanya hatua gani kabla ya kuandamana? Ukisema hajafanya hatua nyingine yoyote, unaonekana mshari.

Kwahiyo, ushauri wangu, hawa ambao hawajaridhika wawasiliane na Humphrey Polepole wapange kufanya maongezi. Au wanaweza kumtafuta mzee kama Butiku akawasaidia kufikisha ujumbe wao kwa Bashiru.

Tanzania ni nchi ya amani. Tuilinde.
Umeshauri vizuri sana kwa kadri ya uelewa wako ni wajibu sasa watu kujiuliza je mahakama zetu zipo huru?? Je unaweza kupinga matokea ya uraisi mahakamani kwa mujibu wa katiba yetu?tarehe 2 jumatatu novemba 2020 mchakato wa kupata majibu ya maswali hayo unaanza!# 2/11/2020 tunaandamana#
 
Kila la heri.

Wakati unaandamana jiulize;
1. Je, lengo lako ni kupindua serikali iliyoko madarakani? Kama ndio, je uko tayari kupambana na vyombo vilivyowekwa kisheria kuilinda serikali isipinduliwe? Je uko tayari kukabiliana na kesi ya uhaini?

2. Nini unategemea kitatokea baada ya hayo maandamano? Kama ni uchaguzi mpya, je nani ataitisha huo uchaguzi na kwa mujibu wa sheria ipi? Kama ni tume mpya, je nani ataiunda na kwa kutumia sheria gani?

3. Je, una uhakika watu wote wanaokuja kuandamana wana lengo lilelile unalofikiria wewe kichwani? Hakuna mtu anayetaka kutumia maandamano hayo kufanya uhalifu? Iwapo watakuwepo wahalifu, je uko tayari kuwa sehemu ya watakaochukuliwa hatua ya uhalifu?
 
Kwamba wapumbavu wachache wa CHADEMA wana uhalali zaidi ya watanzania wengi, wewe kaandamane utapigwa virungu ukimaliza piga picha watumie zako USA.
Ndugu polepole, wewe subiri tulitie kiberiti hilo V8 lako ndipo tuheshimiane. Pumbavu zako sana.
 
Hunishangazi kwa maneno yako. Nilikuwa wa kwanza kumshauri Lissu na Chadema juu ya nini cha kufanya humu. Uzuri ushauri wangu wameuchukua na waneufanyia kazi Leo.

Napenda kukuhakikishia tu, mabadiliko wanayopigania Chadema na ACT, wewe na uzao wako wote ndo mtakuwa wa kwanza kufaidika nayo.
Hunan ushauri wowote wa maana na wala usijifikirie kuwa unawezafanya mabadiliko yoyote. Watanzania mamilioni tumeamua. Hivi kwa akili yako uliamini watanzania tungeweza kumchagua wakala wa mabeberu na shoga? Hakuna mtanzania wa kuingia barabarani. Watajua wenyewe namna ya kurudisha fedha za Amsterdam.
 
Vyama vya watu binafsi siasa ni biashara, watu ndio mtaji. Watu wamekataa biashara yao, wakatafute biashara nyingine. Wewe ni shabiki tu, hulambi hata senti 1 ya hizo saccos. Waache wenzako watafute pesa za kumpea Amsterdam salary.Watanzania sio wajinga kiasi hicho, barabarani mkiingia mwisho mita kumi.
 
Hunan ushauri wowote wa maana na wala usijifikirie kuwa unawezafanya mabadiliko yoyote. Watanzania mamilioni tumeamua. Hivi kwa akili yako uliamini watanzania tungeweza kumchagua wakala wa mabeberu na shoga? Hakuna mtanzania wa kuingia barabarani. Watajua wenyewe namna ya kurudisha fedha za Amsterdam.
Magufuli kawaharibia biashara yao kabisa.
 
Back
Top Bottom