Dunia nzima hakunaga Mabadiliko yaliyowahi kuletwa na Watu Wengi

Dunia nzima hakunaga Mabadiliko yaliyowahi kuletwa na Watu Wengi

Martin Luther King Jr had a cause to fight for it was not personal.

Mandela, Mahatma Gandhi nao walikuwa na "cause worth of fight for"

Hawa wanajiita wapinzani kama wangekuwa "wabunge wateule" sidhani hii angenda ya kuandamana kwenda ofisi za Kata, Ofisi za Halmashauri ingekuwa na mashiko kwa sasa.

Ni kweli kabisa hatuhitaji mass approval kujua the right cause. Israel wakitaka kuingia nchi ya ahadi, ni makachero wawili tu (16.67) kati ya 12 ambayo walikuwa na right cause.
CDM watafakari walipojikwaa kama NCCR na CUF ambavyo vilikuwa na nguvu 1995-2005.

Kwa asilimia kubwa, wanasiasa wengi Tanzania sio wote ni wabinafsi na wanajali "wallet zao" na sio solution developers dhidi ya changamoto za kijamii wanazopitia Watanzania.

So far, tokea CDM wabadili gia angani 2015 kwa "kuvuta" na baadae "aliewatoa" kuwatosa, walipoteza core values za chama kama taasisi na moral authority ya kutuaminisha Watanzania wao ni wapigania haki za Watanzania.

ZZK ndiye mmoja ya watu ambao nao wameshindwa kujenga taasisi, wamempokea BKM ambae toka mwanza hakuwa nao na sasa amekaa kimya baada ya wao kumuamini kama mpeperusha bendera ya chama chao.

CCM wana wabunge wengi, ila honestly wengi wao wameshindwa kabisa kukaa na Executive Branch ili kutengeneza real strategy za namna nchi hii ikue kiuchumi, biashara zifanyike kwa kuzalisha uwekezaji wa kimkakati wa ndani. Wengi wamekuwa wakijipendekeza kwa mzee baba ili kupata uteuzi. Na wakipata, basi wanabaki kumsifia day in day out.

With JPM tuna the right leader who believes in a cause and who can take us through the right trajectory. isipokuwa hahitaji kuwa so much surrounded na "praise team"; iko haja atumie akili kama ya Farao wa Misri kutafuta mtu/watu wenye akili toka public na private sector ili kwenye maeneo mengi ambayo yanaweza kujenga uchumi jumuishi na endelevu awa- entrust hao kwa ajili ya Tanzania bora kwa kizazi cha sasa na vizazi vijavyo.
Mkuu wanakila sababu kupinga DHULMA HII YA WAZI KABISA.

Ningeshangaa wangebaki kimya.

Matokeo ya Urais hayapingwi mahakamani

Tume sio huru ( inachaguliwa na Rais)

Kura zimeibiwa live na ushahidi upo

Nchi nzima wabunge wa upinzani wawili?

Uliona wapi hii duniani kwa nchi ya demokrasia?

Unategemea tubaki kimya?

Umeona Antony Mavunde alivyozomewa na kukataliwa na wananchi Dodoma mjini jana?

Angalia hapo chini

Kama huamini mahakama, bado zipo njia nyingine za dialogue.

Unafanya dialogue na mwizi si utakuwa unakubaliana na wizi wake mtu mwizi hakuna kufanya naë dialogue ni kumkataa mwanzo mwisho na kutumbilia mbali maamuzi yake ya wizi hakuna namna nyingine
 
Sawasawa lakini kabla ya kuamua kuandamana, watu wastaarabu huanza na njia za mazungumzo kwanza. Yakishindikana unaweza kujustify maandamano.

Huwezi kuzungumza na mwizi kama vyombo vilivyopewa dhamana ya kusimamia haki vinashiriki kwenye wizi wa kura waziwazi unafanya mazungumzo gani hapo
 
Nenda road mkuu!

Wenye ari ya maandamano ya mabadiriko huwa hawatangazi siku maalumu, huwa wanaibuka tu hata saa nane za usiku unakuta wapo road wamekinukisha.

Hapa kwetu mnasubiri kupangiwa siku maalumu ili hata polisi wajiandae kuwafurusha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Lisu kapiga kelele weeee mpka sauti imemkauka kwamba jamani andamaneni! Hakuna hat nzi anamsikiliza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo naona kawa mpole nafikir ameshajua rangi halisi ya watz.
Nani kakwambia wenye hari hawatangazi??? Tupe mfano halisi wa unayoongea???

Nimeshasema hapo kwenye uzi watu kama nyie mpo wengi na ni lazima muwepo kwenye kila jamii inayotaka mabadiliko hamshangazi ila mbadiliko yanapotokea nyie ndo huwa wanufaika wa kwanza na huandika hadi vitabu kusifu mabadiliko
 
Hata kina Mandela na Walter Sisulu waliambiwa maneno haya. Steve Bicco aliuawa kwenye harakati zile ila Leo apartheid imekufa South Africa. Hakunaga jipya duniani
Sawa mwamba twajua unatupenda sana watanzania andamana kamanda tupo nyuma yako
 
Hata kina Mandela na Walter Sisulu waliambiwa maneno haya. Steve Bicco aliuawa kwenye harakati zile ila Leo apartheid imekufa South Africa. Hakunaga jipya duniani
It is blasphemy to compare this to what was in South Africa. Are you trying to say CHADEMA and ACT are the only people people right. Are saying those who vote CCM are whites/makaburu and those who support upinzani are downtrodden.
 
Mm ningependa wote wenye nia ya kuleta ukombozi Tanzania Wawe tayari kufa...yan j3 kila mtu atoke hom akijua sirudi
 
Tundu Lissu alikuwa anasoma makadirio ya tafiti zilizoonyesha kuwa atashindwa uchaguzi kwa asilimia zaidi ya 80%. Tafiti hizo zimeandikwa na magazeti mengi nchini. Hakuna kipya.

Swala la kura za Urais linafahamika, lakini wanapinga Udiwani, Ubunge na Urais. Kwahiyo wanaweza kutumia mahakama kama wana vidhibiti.

Sasa asilimia 80 ya watu milioni 29 waliojiandikisha ni milioni 12, hata aibu huna, wizi ni laana mbaya sana hata Mungu hapendi haiwezekani kunyamazia wezi ati kwa kisingizio cha amani kwa wizi huo hata amani bora ikosekane tukomeshe wizi huo ili liwefundisho siku zimazo chama tawala kiwe kinategemea kura za kwenye box siyo wizi nchi itkuwa haipati maendeleo tukiwakishwa na wezi wa kura.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mlikuwa mnajishebedua humu mlifikiri mnashindania umonitor wa darasa la nne?
 
Martin Luther King Jr had a cause to fight for it was not personal.

Mandela, Mahatma Gandhi nao walikuwa na "cause worth of fight for"

Hawa wanajiita wapinzani kama wangekuwa "wabunge wateule" sidhani hii angenda ya kuandamana kwenda ofisi za Kata, Ofisi za Halmashauri ingekuwa na mashiko kwa sasa.

Ni kweli kabisa hatuhitaji mass approval kujua the right cause. Israel wakitaka kuingia nchi ya ahadi, ni makachero wawili tu (16.67) kati ya 12 ambayo walikuwa na right cause.
CDM watafakari walipojikwaa kama NCCR na CUF ambavyo vilikuwa na nguvu 1995-2005.

Kwa asilimia kubwa, wanasiasa wengi Tanzania sio wote ni wabinafsi na wanajali "wallet zao" na sio solution developers dhidi ya changamoto za kijamii wanazopitia Watanzania.

So far, tokea CDM wabadili gia angani 2015 kwa "kuvuta" na baadae "aliewatoa" kuwatosa, walipoteza core values za chama kama taasisi na moral authority ya kutuaminisha Watanzania wao ni wapigania haki za Watanzania.

ZZK ndiye mmoja ya watu ambao nao wameshindwa kujenga taasisi, wamempokea BKM ambae toka mwanza hakuwa nao na sasa amekaa kimya baada ya wao kumuamini kama mpeperusha bendera ya chama chao.

CCM wana wabunge wengi, ila honestly wengi wao wameshindwa kabisa kukaa na Executive Branch ili kutengeneza real strategy za namna nchi hii ikue kiuchumi, biashara zifanyike kwa kuzalisha uwekezaji wa kimkakati wa ndani. Wengi wamekuwa wakijipendekeza kwa mzee baba ili kupata uteuzi. Na wakipata, basi wanabaki kumsifia day in day out.

With JPM tuna the right leader who believes in a cause and who can take us through the right trajectory. isipokuwa hahitaji kuwa so much surrounded na "praise team"; iko haja atumie akili kama ya Farao wa Misri kutafuta mtu/watu wenye akili toka public na private sector ili kwenye maeneo mengi ambayo yanaweza kujenga uchumi jumuishi na endelevu awa- entrust hao kwa ajili ya Tanzania bora kwa kizazi cha sasa na vizazi vijavyo.
What do you mean by saying cause to fight??? With your sanity do you really think kuwa upinzani wa Tanzania hawana cause to fight????

Kuengua wagombea wa upinzani kwenye majimbo mbalimbali??? Kuzuia mawakala kuapishwa??? Kubadili vituo vya mawakala wa upinzani??? Kuzuia mawakala kuingia vituoni??? Umevaa miwani wa mbao kiasi huoni huu ukiukwaji mkubwa wa demokrasia na uonevu????

For five years wapinzani wanakamatwa na kupewa kesi za kubambikwa??? Watanzania wanaojaribu kuhoji mambo ya ajabu watatekwaena kuuwawa, watu wanapigwa marisasi??

Mtu anaamua tu kutumia hela za walipakodi anavyotaka, anafukuza watu kazi hawalipi hata pensheni zao walizochangia tangu wanaajiliwa??? Alafu unasema there is no cause to fights???? Wewe ni binadamu kweli au mnyama?????

Ukisoma uzi wangu na kuuelewa haitashangaa kwa maneno uliyoandika mwenyewe.

Nyie mnaofaidika na utawala wowote huwa hamuwazi mbali kuwa kuna siku yatakuja kukukuta wewe au kuwakuta uzao wako.

Unasema kuhusu mahatma ghandi, hujui hata yeye kuna watu kama wewe hapa walimkebehi na kumuita Mkapa uchi tu.

Mabadiliko huwa yanapiganiwa na watu wachache Ila wengi hunufaika nayo ukiwemo wewe.
 
Sasa asilimia 80 ya watu milioni 29 waliojiandikisha ni milioni 12, hata aibu huna, wizi ni laana mbaya sana hata Mungu hapendi haiwezekani kunyamazia wezi ati kwa kisingizio cha amani kwa wizi huo hata amani bora ikosekane tukomeshe wizi huo ili liwefundisho siku zimazo chama tawala kiwe kinategemea kura za kwenye box siyo wizi nchi itkuwa haipati maendeleo tukiwakishwa na wezi wa kura.
Utafiti takes into account voter turn out
 
Hebu pandisha hii kama uzi umeongea vya maana kabisaa.

Hongera Magufuli, Hongera Mwinyi ,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA.
Lazima nyie wengi muwepo ili kuwarudisha nyuma watu wenye moyo wa kweli wa kuleta mabadiliko ya kweli ili nyie na vizazi vyenu pia mnufaike kweli.
 
Waache uselfish.. Walipokuwa wanashinda kina Mbowe, walikuwa hawajitoi.. Leo ugali umehana kina Mbowe wanakua na roho ya kwa nini!
Hata wakijitoa, maadam akaunt namba zao zipo, wataendelea kuingiziwa mshahara kwa kipindi chote cha miaka mitano na hakuna uchaguzi ambao umefanyika.
Wewe ndo selfish, unawaza maslahi binafsi kuliko kuwaza mustakabali wa Tanzania yetu na vizazi vijavyo. Kama Mbowe angekuwa selfish asingefanya siasa kabisa maana kila mtu anajua biashara ndo inamlipa kuliko siasa. Amepoteza biashara kwa ajili ya siasa na bado mbsingizia mambo mengi.

Ila haushangazi, wewe hauna tofauti na wa South Africa waliomkebehi Mandela ila leo wanafaidika na vizazi vyao.
 
Nani kakwambia wenye hari hawatangazi??? Tupe mfano halisi wa unayoongea???

Nimeshasema hapo kwenye uzi watu kama nyie mpo wengi na ni lazima muwepo kwenye kila jamii inayotaka mabadiliko hamshangazi ila mbadiliko yanapotokea nyie ndo huwa wanufaika wa kwanza na huandika hadi vitabu kusifu mabadiliko
Mkuu nenda road acha kupiga ukunga!

Tunisia kijana mmoja akijilipua kwa petrol baada ya polisi kupindua meza yake ya biashara ya matunda, watu wakaingia road bila kuambiwa na yeyote wala kupanga siku maalumu. Hapo hata polis wanakuwa surprised maana wanakuwa hawakujua.

Nyie hapa mnasubiri Mbowe aseme twende siku flani, ili nao polisi wajipange kuwapiga virungu.

Jipangeni tu kwa 2025
 
Msingi wa mjadala mzuri ni kukubaliana na kutokubaliana kwa hoja.
Nikushukuru kwa observation yako na kuwa objective kwenye hoja yako.

On my view, JPM ni strategic leader in many aspect, kwanza kutengeneza dhana ya kujitegemea kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu ikiwemo kuendesha uchaguzi wa mwaka huu kwa fedha ya ndani pasi kutegemea fedha za UNDP.

What I see in him ni mtu wa haiba strong character na ili kufanya nae kazi lazima kuwa na depth kwenye reasoning kwa kujadiliana nae kwa nini hili liwe hivi na lisiendelee kuwa lilivyo.

Tatizo la hao waliongukia pua, wengi wao walishindwa kuwa na sense of honor to him as an individual na kwa nafasi aliyonayo kama mkuu wa nchi na Amri Jeshi mkuu.
Hvyo basi dhana kuandamana haina mashiko maana hata wakoloni iwe Tanzania au South Africa na Namibia nchi za mwisho kupaya uhuru, ilikuwa ni msingi wa majadiliano. Nyerere alikwenda UN miaka '60 na hatimae mkoloni akatoka.

Kama wanadhani wameonewa kwenye ubunge na udiwani, kwanini wasikusanye ushahidi wa mawakala na video za hizo kura feki na kupeleka mahakamani??

Unawezaje kujenga uchumi wa watu kuzalisha kwa maandamano? ili kutokea kwenye hayo maandamano upate kodi za kuendesha nchi??

Kama akina Freeman wanataka kuwa sensible, warejee kwenye drawing board; waache kudharau mamlaka ya Rais na utu wa Rais. 2015 wakati bunge linazinduliwa walitoka nje; ni haki yao ya kisheria ila sio utamaduni na staha ya Utanzania. Kama hawakukubaliana nae 2015 wakati anazindua bunge wangebaki bungeni na kumpinga baadae kwa hoja wakati hotuba ya Rais inajadiliwa.

Leo baada ya kuwa wanasusia bunge, wananchi huenda wamewa-vote out kwa ku-vote in watu wapya, wajitafakari njia zao na kuona nini msingi wa kujenga maendeleo kwa vitendo na sio maandamano ambayo hayawezi kuleta ugali wa watoto mezani au vyanzo vya uzalishaji ambao unaleta tija kwenye jamii.
 
Mahatma Gandhi, MLK jr in their cause to fight for, hawakuwa vurugu na hoja zao zilibaki na mashiko to a lot of generations India, US na kwingineko duniani.

Akina Freeman wanavyochagiza twatu kuandamana, say 10 days, 14 days, hao wanaowahimiza kuandamana, ni saa ngapi wanafanya kazi kupata ugali wa watoto na kuwa na sehemu ya kipato kukatwa kulipa kodi ili nchi iendeshwe.

Let's be real. Hata baadhi ya maaskofu wanaoshadadia maandamano, ukiwa na washirika wako barabarani wiki nzima wanakomaa kuandamana, watafanya kazi saa ngapi ya kuingiza kipato ili kutoa zaka na sadaka kama mazao/matunda ya kazi ya mikono yao.

You're so much sensible but let's be reasonable, TL amekuja imebaki miezi 3 uchaguzi. Amekuja na sera gani mbadala na strategy ipi ambazo zingetupa Tanzania bora kuliko ya JPM.

Bila shaka hata nyomi aliyokuwa anapata waliona he doesn't have a cause worth of voting for him, bila shaka wengi wao hawakupiga kura kwa kukaa nyumbani; maana waliona hana jipya zaidi ya mipasho na kumsinga JPM bila yeye kujinasibu ana nini cha kufanya kwa Watanzania akiwa Rais wa nchi.

For now, twenzetu na JPM kwa hii mitano tena; Dhambi ya kumpotezea Dr. Slaa 2015 itawatafuna na mkijua hapo ndipo mlipoangukia na kugeuka na kujenga taasisi yenye right cause, nakubalina, watu wachache wenye right cause wanaweza kuwa very explosive.

Bunge la 2005-2010; lilikuwa na akina Dr. Slaa na wabunge less than 10; they had a right cause to address, watu wengi waliwaelewa; 2010 kura ziliongezeka.
Kati ya 2015-20; what was the right cause they CDM MPS stood for which was connecting to people's socio-economic development? Hakuna.
 
Ungeona wapi bunge la 2015-2020 wakati Magufuli amezuia mijadala kurushwa live???

Watu kuuwawa, kubambikiwa makesi na kutekwa huoni Kama hoja za msingi???

Fao la kujitoa huoni Kama hoja za msingi???

Tatizo la ajira huoni kama ni hoja ya msingi????

Wewe utakuwa una tatizo!! Si bure
 
Back
Top Bottom