[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kwanini kigogo yeye kama wa ndani ya kitengo hakuwaambia hayo ili mjipange?Kwani matokeo ya kura yaliyotangazwa ni kura zilizohesabiwa vituoni au ni matokeo waliyokuwa wameyaandaa baadhi ya watu wa Tiss wakishirikiana na NEC na ccm???
Kama kura zilizopigwa hata hazikuhesabiwa huyo kigogo angepata matokeo wapi???
Hata maandamano pia ni demokrasiaKatika jamii iliyostaarabika, ukiona hujaridhika na jambo unafuata taratibu za kisheria, kijamii au kisiasa kutafuta utatuzi.
Uchaguzi ulikuwa huru na umefanyika kwa amani.
Kama kuna mgombea hajaridhika. Anatakiwa akashitaki mahakamani. Kama anaona mlango wa mahakama hauingiliki, basi afanye maongezi na upande wa pili kutafuta kile kinachoweza kumridhisha.
Ukiandamana tu bila kufanya jitihada za maongezi, hakuna mstaarabu yeyote duniani atakayekuunga mkono. Swali la kwanza utaulizwa, je ulifanya hatua gani kabla ya kuandamana? Ukisema hajafanya hatua nyingine yoyote, unaonekana mshari.
Kwahiyo, ushauri wangu, hawa ambao hawajaridhika wawasiliane na Humphrey Polepole wapange kufanya maongezi. Au wanaweza kumtafuta mzee kama Butiku akawasaidia kufikisha ujumbe wao kwa Bashiru.
Tanzania ni nchi ya amani. Tuilinde.
Sawasawa lakini kabla ya kuamua kuandamana, watu wastaarabu huanza na njia za mazungumzo kwanza. Yakishindikana unaweza kujustify maandamano.Hata maandamano pia ni demokrasia
Utakuwa wewe ni mgeni Tanzania... Ila kama ni mwenyeji utakubaliana na mimi kwamba CCM na serikali hawana huo mda wa mazungumzo.Sawasawa lakini kabla ya kuamua kuandamana, watu wastaarabu huanza na njia za mazungumzo kwanza. Yakishindikana unaweza kujustify maandamano.
Mbowe anasema walitegemea tume itawapa haki. Lissu anasema walijulishwa kuwa tume ina kura imeziandaa!Nenda road mkuu!
Wenye ari ya maandamano ya mabadiriko huwa hawatangazi siku maalumu, huwa wanaibuka tu hata saa nane za usiku unakuta wapo road wamekinukisha.
Hapa kwetu mnasubiri kupangiwa siku maalumu ili hata polisi wajiandae kuwafurusha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lisu kapiga kelele weeee mpka sauti imemkauka kwamba jamani andamaneni! Hakuna hat nzi anamsikiliza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo naona kawa mpole nafikir ameshajua rangi halisi ya watz.
Inatakiwa kwanza to demonstrate kuwa jitihada za kupata dialogue zilifanyika.Utakuwa wewe ni mgeni Tanzania... Ila kama ni mwenyeji utakubaliana na mimi kwamba CCM na serikali hawana huo mda wa mazungumzo.
Una hakika na andiko lako au unafurahisha nafsi Yako!!!Katika jamii iliyostaarabika, ukiona hujaridhika na jambo unafuata taratibu za kisheria, kijamii au kisiasa kutafuta utatuzi.
Uchaguzi ulikuwa huru na umefanyika kwa amani.
Kama kuna mgombea hajaridhika. Anatakiwa akashitaki mahakamani. Kama anaona mlango wa mahakama hauingiliki, basi afanye maongezi na upande wa pili kutafuta kile kinachoweza kumridhisha.
Ukiandamana tu bila kufanya jitihada za maongezi, hakuna mstaarabu yeyote duniani atakayekuunga mkono. Swali la kwanza utaulizwa, je ulifanya hatua gani kabla ya kuandamana? Ukisema hajafanya hatua nyingine yoyote, unaonekana mshari.
Kwahiyo, ushauri wangu, hawa ambao hawajaridhika wawasiliane na Humphrey Polepole wapange kufanya maongezi. Au wanaweza kumtafuta mzee kama Butiku akawasaidia kufikisha ujumbe wao kwa Bashiru.
Tanzania ni nchi ya amani. Tuilinde.
Huna sera wewe!1. Wakati wa harakati za kupinga ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini ni watu wachache sana wenye ujasiri walioongoza harakati zile. Wengi wakiwemo waliokuwa wanafanya kazi kwenye mashamba na makampuni ya wazungu waliona sio sawa na walipinga harakati za kina Mandela na Walter Sisulu. Wengi waliona ingawa wanafanya kazi na kupata mishahara basi hakuna shida kumbe hawakujua harakati zile zingewanufaisha wao na vizazi vyao Leo hii harakati zimeisha na wao na vizazi vyao wanaona mabadiliko makubwa.
2. Wakati wa harakati za uhuru kwenye nchi za Africa ikiwemo Tanzania, sio watu wote waliunga mkono. Wengi waliona ni sawa kutawaliwa na wazungu. Ila baada ya Uhuru wengi walijitokeza kuwapongeza kina Nyerere na watu waliopigania uhuru na walifaidika wao na vizazi vyao.
3. Wakati wa mapinduzi ya Ufaransa, kuna wengi ambao waliunga mkono utawala wa kifalme ufaransa na waliona wapigania mapinduzi Kama watu wanaopoteza mda na wangepigwa na kuumizwa na askari na wasingepata kitu. Ila Leo hii baada ya Mapinduzi ya ufaransa, vizazi vyao vinafurahia maisha.
4. Wakati Martin Luther King wa Marekani anapigania haki za weusi pamoja na kina Malcom X kuna watu waliwaona kama watu wanaopoteza muda na kukataa kuwaunga mkono wakifikiri kuwa wangeuliwa na kukatizwa maisha ya duniani. Ila baada ya harakati za Martin Luther King na Malcom X Kufanikiwa vizazi vya wale waliokuwa wakiwakebehi ndio hawa leo wanafurahia maisha mazuri Marekani.
Tunajifunza nini?
Chadema na ACT watakebehiwa sana na watanzania ( baadhi) kuhusu kuandamana, wataambiwa andamaneni nyie, nendeni na wake zenu na watoto wenu. Mara sie hatutaki kupigwa risasi. Ila siku madai yanayodaiwa na Chadema na ACT yakifanikiwa ni watanzania hawahawa na vizazi vyao ndio watakuja kufaidika na mabadiliko yanayodaiwa Leo na watakuja kuwasifu sana Chadema na ACT kwa hizi harakati zao za leo.
Rai yangu kwa Chadema na ACT.
Endeleeni kupigania mnaloliamini, Tupo watanzania tunaowaunga mkono. Kwa wale ambao hawawaungi mkono na wanawakebehi, wala msijali, watakuja kuwashukuru siku moja. Mlilolianza wala msirudi nyuma hadi likamilike.
No Hate No Fear!
Mnasubiriwa barabarani acheni mbwembwe!Hunishangazi kwa maneno yako. Nilikuwa wa kwanza kumshauri Lissu na Chadema juu ya nini cha kufanya humu. Uzuri ushauri wangu wameuchukua na waneufanyia kazi Leo.
Napenda kukuhakikishia tu, mabadiliko wanayopigania Chadema na ACT, wewe na uzao wako wote ndo mtakuwa wa kwanza kufaidika nayo.
Martin Luther King Jr had a cause to fight for it was not personal.1. Wakati wa harakati za kupinga ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini ni watu wachache sana wenye ujasiri walioongoza harakati zile. Wengi wakiwemo waliokuwa wanafanya kazi kwenye mashamba na makampuni ya wazungu waliona sio sawa na walipinga harakati za kina Mandela na Walter Sisulu. Wengi waliona ingawa wanafanya kazi na kupata mishahara basi hakuna shida kumbe hawakujua harakati zile zingewanufaisha wao na vizazi vyao Leo hii harakati zimeisha na wao na vizazi vyao wanaona mabadiliko makubwa.
2. Wakati wa harakati za uhuru kwenye nchi za Africa ikiwemo Tanzania, sio watu wote waliunga mkono. Wengi waliona ni sawa kutawaliwa na wazungu. Ila baada ya Uhuru wengi walijitokeza kuwapongeza kina Nyerere na watu waliopigania uhuru na walifaidika wao na vizazi vyao.
3. Wakati wa mapinduzi ya Ufaransa, kuna wengi ambao waliunga mkono utawala wa kifalme ufaransa na waliona wapigania mapinduzi Kama watu wanaopoteza mda na wangepigwa na kuumizwa na askari na wasingepata kitu. Ila Leo hii baada ya Mapinduzi ya ufaransa, vizazi vyao vinafurahia maisha.
4. Wakati Martin Luther King wa Marekani anapigania haki za weusi pamoja na kina Malcom X kuna watu waliwaona kama watu wanaopoteza muda na kukataa kuwaunga mkono wakifikiri kuwa wangeuliwa na kukatizwa maisha ya duniani. Ila baada ya harakati za Martin Luther King na Malcom X Kufanikiwa vizazi vya wale waliokuwa wakiwakebehi ndio hawa leo wanafurahia maisha mazuri Marekani.
Tunajifunza nini?
Chadema na ACT watakebehiwa sana na watanzania ( baadhi) kuhusu kuandamana, wataambiwa andamaneni nyie, nendeni na wake zenu na watoto wenu. Mara sie hatutaki kupigwa risasi. Ila siku madai yanayodaiwa na Chadema na ACT yakifanikiwa ni watanzania hawahawa na vizazi vyao ndio watakuja kufaidika na mabadiliko yanayodaiwa Leo na watakuja kuwasifu sana Chadema na ACT kwa hizi harakati zao za leo.
Rai yangu kwa Chadema na ACT.
Endeleeni kupigania mnaloliamini, Tupo watanzania tunaowaunga mkono. Kwa wale ambao hawawaungi mkono na wanawakebehi, wala msijali, watakuja kuwashukuru siku moja. Mlilolianza wala msirudi nyuma hadi likamilike.
No Hate No Fear!
Umeongea Kweli Tupu Bila Kupepesa Macho.1. Wakati wa harakati za kupinga ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini ni watu wachache sana wenye ujasiri walioongoza harakati zile. Wengi wakiwemo waliokuwa wanafanya kazi kwenye mashamba na makampuni ya wazungu waliona sio sawa na walipinga harakati za kina Mandela na Walter Sisulu. Wengi waliona ingawa wanafanya kazi na kupata mishahara basi hakuna shida kumbe hawakujua harakati zile zingewanufaisha wao na vizazi vyao Leo hii harakati zimeisha na wao na vizazi vyao wanaona mabadiliko makubwa.
2. Wakati wa harakati za uhuru kwenye nchi za Africa ikiwemo Tanzania, sio watu wote waliunga mkono. Wengi waliona ni sawa kutawaliwa na wazungu. Ila baada ya Uhuru wengi walijitokeza kuwapongeza kina Nyerere na watu waliopigania uhuru na walifaidika wao na vizazi vyao.
3. Wakati wa mapinduzi ya Ufaransa, kuna wengi ambao waliunga mkono utawala wa kifalme ufaransa na waliona wapigania mapinduzi Kama watu wanaopoteza mda na wangepigwa na kuumizwa na askari na wasingepata kitu. Ila Leo hii baada ya Mapinduzi ya ufaransa, vizazi vyao vinafurahia maisha.
4. Wakati Martin Luther King wa Marekani anapigania haki za weusi pamoja na kina Malcom X kuna watu waliwaona kama watu wanaopoteza muda na kukataa kuwaunga mkono wakifikiri kuwa wangeuliwa na kukatizwa maisha ya duniani. Ila baada ya harakati za Martin Luther King na Malcom X Kufanikiwa vizazi vya wale waliokuwa wakiwakebehi ndio hawa leo wanafurahia maisha mazuri Marekani.
Tunajifunza nini?
Chadema na ACT watakebehiwa sana na watanzania ( baadhi) kuhusu kuandamana, wataambiwa andamaneni nyie, nendeni na wake zenu na watoto wenu. Mara sie hatutaki kupigwa risasi. Ila siku madai yanayodaiwa na Chadema na ACT yakifanikiwa ni watanzania hawahawa na vizazi vyao ndio watakuja kufaidika na mabadiliko yanayodaiwa Leo na watakuja kuwasifu sana Chadema na ACT kwa hizi harakati zao za leo.
Rai yangu kwa Chadema na ACT.
Endeleeni kupigania mnaloliamini, Tupo watanzania tunaowaunga mkono. Kwa wale ambao hawawaungi mkono na wanawakebehi, wala msijali, watakuja kuwashukuru siku moja. Mlilolianza wala msirudi nyuma hadi likamilike.
No Hate No Fear!
Hebu pandisha hii kama uzi umeongea vya maana kabisaa.Martin Luther King Jr had a cause to fight for it was not personal.
Mandela, Mahatma Gandhi nao walikuwa na "cause worth of fight for"
Hawa wanajiita wapinzani kama wangekuwa "wabunge wateule" sidhani hii angenda ya kuandamana kwenda ofisi za Kata, Ofisi za Halmashauri ingekuwa na mashiko kwa sasa.
Ni kweli kabisa hatuhitaji mass approval kujua the right cause. Israel wakitaka kuingia nchi ya ahadi, ni makachero wawili tu (16.67) kati ya 12 ambayo walikuwa na right cause.
CDM watafakari walipojikwaa kama NCCR na CUF ambavyo vilikuwa na nguvu 1995-2005.
Kwa asilimia kubwa, wanasiasa wengi Tanzania sio wote ni wabinafsi na wanajali "wallet zao" na sio solution developers dhidi ya changamoto za kijamii wanazopitia Watanzania.
So far, tokea CDM wabadili gia angani 2015 kwa "kuvuta" na baadae "aliewatoa" kuwatosa, walipoteza core values za chama kama taasisi na moral authority ya kutuaminisha Watanzania wao ni wapigania haki za Watanzania.
ZZK ndiye mmoja ya watu ambao nao wameshindwa kujenga taasisi, wamempokea BKM ambae toka mwanza hakuwa nao na sasa amekaa kimya baada ya wao kumuamini kama mpeperusha bendera ya chama chao.
CCM wana wabunge wengi, ila honestly wengi wao wameshindwa kabisa kukaa na Executive Branch ili kutengeneza real strategy za namna nchi hii ikue kiuchumi, biashara zifanyike kwa kuzalisha uwekezaji wa kimkakati wa ndani. Wengi wamekuwa wakijipendekeza kwa mzee baba ili kupata uteuzi. Na wakipata, basi wanabaki kumsifia day in day out.
With JPM tuna the right leader who believes in a cause and who can take us through the right trajectory. isipokuwa hahitaji kuwa so much surrounded na "praise team"; iko haja atumie akili kama ya Farao wa Misri kutafuta mtu/watu wenye akili toka public na private sector ili kwenye maeneo mengi ambayo yanaweza kujenga uchumi jumuishi na endelevu awa- entrust hao kwa ajili ya Tanzania bora kwa kizazi cha sasa na vizazi vijavyo.
Katika jamii iliyostaarabika, ukiona hujaridhika na jambo unafuata taratibu za kisheria, kijamii au kisiasa kutafuta utatuzi.
Uchaguzi ulikuwa huru na umefanyika kwa amani.
Kama kuna mgombea hajaridhika. Anatakiwa akashitaki mahakamani. Kama anaona mlango wa mahakama hauingiliki, basi afanye maongezi na upande wa pili kutafuta kile kinachoweza kumridhisha.
Ukiandamana tu bila kufanya jitihada za maongezi, hakuna mstaarabu yeyote duniani atakayekuunga mkono. Swali la kwanza utaulizwa, je ulifanya hatua gani kabla ya kuandamana? Ukisema hajafanya hatua nyingine yoyote, unaonekana mshari.
Kwahiyo, ushauri wangu, hawa ambao hawajaridhika wawasiliane na Humphrey Polepole wapange kufanya maongezi. Au wanaweza kumtafuta mzee kama Butiku akawasaidia kufikisha ujumbe wao kwa Bashiru.
Tanzania ni nchi ya amani. Tuilinde.
Truly, umejitahidi kuchambua siasa za upinzani na ninakuunga mkono kwa asilimia fulani kubwa tu. Na ukweli ni kuwa hata hayo maandamano hayatafanikiwa maana wafuasi hawajaandaliwa na wengine hawako tayari kwa hatua hiyo.Martin Luther King Jr had a cause to fight for it was not personal.
Mandela, Mahatma Gandhi nao walikuwa na "cause worth of fight for"
Hawa wanajiita wapinzani kama wangekuwa "wabunge wateule" sidhani hii angenda ya kuandamana kwenda ofisi za Kata, Ofisi za Halmashauri ingekuwa na mashiko kwa sasa.
Ni kweli kabisa hatuhitaji mass approval kujua the right cause. Israel wakitaka kuingia nchi ya ahadi, ni makachero wawili tu (16.67) kati ya 12 ambayo walikuwa na right cause.
CDM watafakari walipojikwaa kama NCCR na CUF ambavyo vilikuwa na nguvu 1995-2005.
Kwa asilimia kubwa, wanasiasa wengi Tanzania sio wote ni wabinafsi na wanajali "wallet zao" na sio solution developers dhidi ya changamoto za kijamii wanazopitia Watanzania.
So far, tokea CDM wabadili gia angani 2015 kwa "kuvuta" na baadae "aliewatoa" kuwatosa, walipoteza core values za chama kama taasisi na moral authority ya kutuaminisha Watanzania wao ni wapigania haki za Watanzania.
ZZK ndiye mmoja ya watu ambao nao wameshindwa kujenga taasisi, wamempokea BKM ambae toka mwanza hakuwa nao na sasa amekaa kimya baada ya wao kumuamini kama mpeperusha bendera ya chama chao.
CCM wana wabunge wengi, ila honestly wengi wao wameshindwa kabisa kukaa na Executive Branch ili kutengeneza real strategy za namna nchi hii ikue kiuchumi, biashara zifanyike kwa kuzalisha uwekezaji wa kimkakati wa ndani. Wengi wamekuwa wakijipendekeza kwa mzee baba ili kupata uteuzi. Na wakipata, basi wanabaki kumsifia day in day out.
With JPM tuna the right leader who believes in a cause and who can take us through the right trajectory. isipokuwa hahitaji kuwa so much surrounded na "praise team"; iko haja atumie akili kama ya Farao wa Misri kutafuta mtu/watu wenye akili toka public na private sector ili kwenye maeneo mengi ambayo yanaweza kujenga uchumi jumuishi na endelevu awa- entrust hao kwa ajili ya Tanzania bora kwa kizazi cha sasa na vizazi vijavyo.
Tundu Lissu alikuwa anasoma makadirio ya tafiti zilizoonyesha kuwa atashindwa uchaguzi kwa asilimia zaidi ya 80%. Tafiti hizo zimeandikwa na magazeti mengi nchini. Hakuna kipya.Hivi wewe kwa huo umri wako hadi leo hujuwi kama uchaguzi wa Rais hauwezi kupingwa mahakamani maana ndiyo msingi wa tatizo, Tundu Lissu wakati anafunga kampeni tarehe 27 jimbo la Kawe alisema anataarifa kuwa tume tayari wameshampa magufuli kura milioni 12 na kweli jana tume imetamka kura hizo hizo milioni 12 kwahiyo wananchi tumeshinda kwenye folen kupiga kura kumbe tume imempa mgombea ushindi wa mezani. Hovyo sana hii nchi.