Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
Magufuri alianza kampeni miaka 5 Mara tu bàada ya kuapishwa sasa Na nyie CDM Na wenzenu mkianza jumatatu kama mlivyopanga itakua ngoma from 2025 japo kunA kiza kineneNipo tayari pia ndugu. Tufanye haya kwa faida ya Tanzania ijayo.
Kukiwa na Kiza kinene ndo ishara ya kukaribia kukucha. Hakunaga urahisi kwenye kufanya mabadiliko ya kweli.Magufuri alianza kampeni miaka 5 Mara tu bàada ya kuapishwa sasa Na nyie CDM Na wenzenu mkianza jumatatu kama mlivyopanga itakua ngoma from 2025 japo kunA kiza kinene
Rejea mada hapo juu. Sishangazwi na msimamo wako, ila Nina uhakika mabadiliko wanayopigania CHADEMA na ACT wewe ndo utakuwa wa kwanza kupongeza na kushukuruTatizo la bongo, siasa ni ujasiriamali.
Ndio maana, binafsi naona bora kila mtu ashinde mechi zake..
Haiwezekani mimi ujasiriamali wangu uniendee vibaya huji kunisaidia, then nyie yakiwaendea vibaya tusaidiane.
NO.
Hakunaga mabadiliko yaliyopatikana kirahisi duniani. Chadema na ACT lazima waoneshe mfanoKweli tupu.
Are you trying to say that Ccm has truly won 99% of all constituencies in this election???It is blasphemy to compare this to what was in South Africa. Are you trying to say CHADEMA and ACT are the only people people right. Are saying those who vote CCM are whites/makaburu and those who support upinzani are downtrodden.
Tatizo la bongo, siasa ni ujasiriamali.
Ndio maana, binafsi naona bora kila mtu ashinde mechi zake..
Haiwezekani mimi ujasiriamali wangu uniendee vibaya huji kunisaidia, then nyie yakiwaendea vibaya tusaidiane.
NO.
1. Wakati wa harakati za kupinga ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini ni watu wachache sana wenye ujasiri walioongoza harakati zile. Wengi wakiwemo waliokuwa wanafanya kazi kwenye mashamba na makampuni ya wazungu waliona sio sawa na walipinga harakati za kina Mandela na Walter Sisulu. Wengi waliona ingawa wanafanya kazi na kupata mishahara basi hakuna shida kumbe hawakujua harakati zile zingewanufaisha wao na vizazi vyao Leo hii harakati zimeisha na wao na vizazi vyao wanaona mabadiliko makubwa.
2. Wakati wa harakati za uhuru kwenye nchi za Africa ikiwemo Tanzania, sio watu wote waliunga mkono. Wengi waliona ni sawa kutawaliwa na wazungu. Ila baada ya Uhuru wengi walijitokeza kuwapongeza kina Nyerere na watu waliopigania uhuru na walifaidika wao na vizazi vyao.
3. Wakati wa mapinduzi ya Ufaransa, kuna wengi ambao waliunga mkono utawala wa kifalme ufaransa na waliona wapigania mapinduzi Kama watu wanaopoteza mda na wangepigwa na kuumizwa na askari na wasingepata kitu. Ila Leo hii baada ya Mapinduzi ya ufaransa, vizazi vyao vinafurahia maisha.
4. Wakati Martin Luther King wa Marekani anapigania haki za weusi pamoja na kina Malcom X kuna watu waliwaona kama watu wanaopoteza muda na kukataa kuwaunga mkono wakifikiri kuwa wangeuliwa na kukatizwa maisha ya duniani. Ila baada ya harakati za Martin Luther King na Malcom X Kufanikiwa vizazi vya wale waliokuwa wakiwakebehi ndio hawa leo wanafurahia maisha mazuri Marekani.
Tunajifunza nini?
Chadema na ACT watakebehiwa sana na watanzania ( baadhi) kuhusu kuandamana, wataambiwa andamaneni nyie, nendeni na wake zenu na watoto wenu. Mara sie hatutaki kupigwa risasi. Ila siku madai yanayodaiwa na Chadema na ACT yakifanikiwa ni watanzania hawahawa na vizazi vyao ndio watakuja kufaidika na mabadiliko yanayodaiwa Leo na watakuja kuwasifu sana Chadema na ACT kwa hizi harakati zao za leo.
Rai yangu kwa Chadema na ACT.
Endeleeni kupigania mnaloliamini, Tupo watanzania tunaowaunga mkono. Kwa wale ambao hawawaungi mkono na wanawakebehi, wala msijali, watakuja kuwashukuru siku moja. Mlilolianza wala msirudi nyuma hadi likamilike.
No Hate No Fear!
Katika jamii iliyostaarabika, ukiona hujaridhika na jambo unafuata taratibu za kisheria,
Wengi wakiwemo waliokuwa wanafanya kazi kwenye mashamba na makampuni ya wazungu waliona sio sawa na walipinga harakati za kina Mandela na Walter Sisulu.
Hiyo rufaa unaikata kwa mahakama ipi? Kesi ya nyani umpe ngedereKatika jamii iliyostaarabika, ukiona hujaridhika na jambo unafuata taratibu za kisheria, kijamii au kisiasa kutafuta utatuzi.
Uchaguzi ulikuwa huru na umefanyika kwa amani.
Kama kuna mgombea hajaridhika. Anatakiwa akashitaki mahakamani. Kama anaona mlango wa mahakama hauingiliki, basi afanye maongezi na upande wa pili kutafuta kile kinachoweza kumridhisha.
Ukiandamana tu bila kufanya jitihada za maongezi, hakuna mstaarabu yeyote duniani atakayekuunga mkono. Swali la kwanza utaulizwa, je ulifanya hatua gani kabla ya kuandamana? Ukisema hajafanya hatua nyingine yoyote, unaonekana mshari.
Kwahiyo, ushauri wangu, hawa ambao hawajaridhika wawasiliane na Humphrey Polepole wapange kufanya maongezi. Au wanaweza kumtafuta mzee kama Butiku akawasaidia kufikisha ujumbe wao kwa Bashiru.
Tanzania ni nchi ya amani. Tuilinde.
Hayo uliyoandika. No1 mpaka No 4. Tanzania ilisha yapitia na sasa tupo huru na vizazi sisi na vijavyo tunaendelea vyema na vita ya uchumi. Ninyi wachumia tumbo mnaturudisha nyuma eti mnadai uhuru, nyie ni Mandela, Nyerere, ni Martin Luther, ni Mahatma Gandhi! Na mnataka tuwaunge mkono! Marehemu Mkapa aliwaita Wapumbavu! Eti mnapigania uhuru! Na ni wapumbavu kweli - maana tulisha pata uhuru tangu 1961!1. Wakati wa harakati za kupinga ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini ni watu wachache sana wenye ujasiri walioongoza harakati zile. Wengi wakiwemo waliokuwa wanafanya kazi kwenye mashamba na makampuni ya wazungu waliona sio sawa na walipinga harakati za kina Mandela na Walter Sisulu. Wengi waliona ingawa wanafanya kazi na kupata mishahara basi hakuna shida kumbe hawakujua harakati zile zingewanufaisha wao na vizazi vyao Leo hii harakati zimeisha na wao na vizazi vyao wanaona mabadiliko makubwa.
2. Wakati wa harakati za uhuru kwenye nchi za Africa ikiwemo Tanzania, sio watu wote waliunga mkono. Wengi waliona ni sawa kutawaliwa na wazungu. Ila baada ya Uhuru wengi walijitokeza kuwapongeza kina Nyerere na watu waliopigania uhuru na walifaidika wao na vizazi vyao.
3. Wakati wa mapinduzi ya Ufaransa, kuna wengi ambao waliunga mkono utawala wa kifalme ufaransa na waliona wapigania mapinduzi Kama watu wanaopoteza mda na wangepigwa na kuumizwa na askari na wasingepata kitu. Ila Leo hii baada ya Mapinduzi ya ufaransa, vizazi vyao vinafurahia maisha.
4. Wakati Martin Luther King wa Marekani anapigania haki za weusi pamoja na kina Malcom X kuna watu waliwaona kama watu wanaopoteza muda na kukataa kuwaunga mkono wakifikiri kuwa wangeuliwa na kukatizwa maisha ya duniani. Ila baada ya harakati za Martin Luther King na Malcom X Kufanikiwa vizazi vya wale waliokuwa wakiwakebehi ndio hawa leo wanafurahia maisha mazuri Marekani.
Tunajifunza nini?
Chadema na ACT watakebehiwa sana na watanzania ( baadhi) kuhusu kuandamana, wataambiwa andamaneni nyie, nendeni na wake zenu na watoto wenu. Mara sie hatutaki kupigwa risasi. Ila siku madai yanayodaiwa na Chadema na ACT yakifanikiwa ni watanzania hawahawa na vizazi vyao ndio watakuja kufaidika na mabadiliko yanayodaiwa Leo na watakuja kuwasifu sana Chadema na ACT kwa hizi harakati zao za leo.
Rai yangu kwa Chadema na ACT.
Endeleeni kupigania mnaloliamini, Tupo watanzania tunaowaunga mkono. Kwa wale ambao hawawaungi mkono na wanawakebehi, wala msijali, watakuja kuwashukuru siku moja. Mlilolianza wala msirudi nyuma hadi likamilike.
No Hate No Fear!
You can't comprehend what I utter.
Hawa nao 👇👇👇 unawaweka kwenye kundi la wanamabadiliko.1. Wakati wa harakati za kupinga ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini ni watu wachache sana wenye ujasiri walioongoza harakati zile. Wengi wakiwemo waliokuwa wanafanya kazi kwenye mashamba na makampuni ya wazungu waliona sio sawa na walipinga harakati za kina Mandela na Walter Sisulu. Wengi waliona ingawa wanafanya kazi na kupata mishahara basi hakuna shida kumbe hawakujua harakati zile zingewanufaisha wao na vizazi vyao Leo hii harakati zimeisha na wao na vizazi vyao wanaona mabadiliko makubwa.
2. Wakati wa harakati za uhuru kwenye nchi za Africa ikiwemo Tanzania, sio watu wote waliunga mkono. Wengi waliona ni sawa kutawaliwa na wazungu. Ila baada ya Uhuru wengi walijitokeza kuwapongeza kina Nyerere na watu waliopigania uhuru na walifaidika wao na vizazi vyao.
3. Wakati wa mapinduzi ya Ufaransa, kuna wengi ambao waliunga mkono utawala wa kifalme ufaransa na waliona wapigania mapinduzi Kama watu wanaopoteza mda na wangepigwa na kuumizwa na askari na wasingepata kitu. Ila Leo hii baada ya Mapinduzi ya ufaransa, vizazi vyao vinafurahia maisha.
4. Wakati Martin Luther King wa Marekani anapigania haki za weusi pamoja na kina Malcom X kuna watu waliwaona kama watu wanaopoteza muda na kukataa kuwaunga mkono wakifikiri kuwa wangeuliwa na kukatizwa maisha ya duniani. Ila baada ya harakati za Martin Luther King na Malcom X Kufanikiwa vizazi vya wale waliokuwa wakiwakebehi ndio hawa leo wanafurahia maisha mazuri Marekani.
Tunajifunza nini?
Chadema na ACT watakebehiwa sana na watanzania ( baadhi) kuhusu kuandamana, wataambiwa andamaneni nyie, nendeni na wake zenu na watoto wenu. Mara sie hatutaki kupigwa risasi. Ila siku madai yanayodaiwa na Chadema na ACT yakifanikiwa ni watanzania hawahawa na vizazi vyao ndio watakuja kufaidika na mabadiliko yanayodaiwa Leo na watakuja kuwasifu sana Chadema na ACT kwa hizi harakati zao za leo.
Rai yangu kwa Chadema na ACT.
Endeleeni kupigania mnaloliamini, Tupo watanzania tunaowaunga mkono. Kwa wale ambao hawawaungi mkono na wanawakebehi, wala msijali, watakuja kuwashukuru siku moja. Mlilolianza wala msirudi nyuma hadi likamilike.
No Hate No Fear!
Umeshauri vizuri sana kwa kadri ya uelewa wako ni wajibu sasa watu kujiuliza je mahakama zetu zipo huru?? Je unaweza kupinga matokea ya uraisi mahakamani kwa mujibu wa katiba yetu?tarehe 2 jumatatu novemba 2020 mchakato wa kupata majibu ya maswali hayo unaanza!# 2/11/2020 tunaandamana#Katika jamii iliyostaarabika, ukiona hujaridhika na jambo unafuata taratibu za kisheria, kijamii au kisiasa kutafuta utatuzi.
Uchaguzi ulikuwa huru na umefanyika kwa amani.
Kama kuna mgombea hajaridhika. Anatakiwa akashitaki mahakamani. Kama anaona mlango wa mahakama hauingiliki, basi afanye maongezi na upande wa pili kutafuta kile kinachoweza kumridhisha.
Ukiandamana tu bila kufanya jitihada za maongezi, hakuna mstaarabu yeyote duniani atakayekuunga mkono. Swali la kwanza utaulizwa, je ulifanya hatua gani kabla ya kuandamana? Ukisema hajafanya hatua nyingine yoyote, unaonekana mshari.
Kwahiyo, ushauri wangu, hawa ambao hawajaridhika wawasiliane na Humphrey Polepole wapange kufanya maongezi. Au wanaweza kumtafuta mzee kama Butiku akawasaidia kufikisha ujumbe wao kwa Bashiru.
Tanzania ni nchi ya amani. Tuilinde.
Kila la heri.Umeshauri vizuri sana kwa kadri ya uelewa wako ni wajibu sasa watu kujiuliza je mahakama zetu zipo huru?? Je unaweza kupinga matokea ya uraisi mahakamani kwa mujibu wa katiba yetu?tarehe 2 jumatatu novemba 2020 mchakato wa kupata majibu ya maswali hayo unaanza!# 2/11/2020 tunaandamana#
Ndugu polepole, wewe subiri tulitie kiberiti hilo V8 lako ndipo tuheshimiane. Pumbavu zako sana.Kwamba wapumbavu wachache wa CHADEMA wana uhalali zaidi ya watanzania wengi, wewe kaandamane utapigwa virungu ukimaliza piga picha watumie zako USA.
Hunan ushauri wowote wa maana na wala usijifikirie kuwa unawezafanya mabadiliko yoyote. Watanzania mamilioni tumeamua. Hivi kwa akili yako uliamini watanzania tungeweza kumchagua wakala wa mabeberu na shoga? Hakuna mtanzania wa kuingia barabarani. Watajua wenyewe namna ya kurudisha fedha za Amsterdam.Hunishangazi kwa maneno yako. Nilikuwa wa kwanza kumshauri Lissu na Chadema juu ya nini cha kufanya humu. Uzuri ushauri wangu wameuchukua na waneufanyia kazi Leo.
Napenda kukuhakikishia tu, mabadiliko wanayopigania Chadema na ACT, wewe na uzao wako wote ndo mtakuwa wa kwanza kufaidika nayo.
Magufuli kawaharibia biashara yao kabisa.Hunan ushauri wowote wa maana na wala usijifikirie kuwa unawezafanya mabadiliko yoyote. Watanzania mamilioni tumeamua. Hivi kwa akili yako uliamini watanzania tungeweza kumchagua wakala wa mabeberu na shoga? Hakuna mtanzania wa kuingia barabarani. Watajua wenyewe namna ya kurudisha fedha za Amsterdam.