Dunia nzima hakunaga Mabadiliko yaliyowahi kuletwa na Watu Wengi

Hayo yanafanyika katika jamii iliyostaarabika.
Kwa madudu ya uchaguzi huu, unadhani kuna ustaarabu wowote hapo?
Mjibu mjinga kadri ya ujinga wake.
 
Acha uoga wewe
kwani polepole ndiye ametoa matokea
Butiku ni wanini
 
Chadrma na Act mbona hizo ni taasisi na sio mtu mmoja kama akina Malcom X??
 
Kwamba wapumbavu wachache wa CHADEMA wana uhalali zaidi ya watanzania wengi, wewe kaandamane utapigwa virungu ukimaliza piga picha watumie zako USA.
We kenge wa kijani acha kutukana cdm
 
Katika jamii ambayo haijastaarabika ukiona hujaridhika na jambo unafanyaje?
 
Mimi sielewi umeandika nini? Utaendaje kuandamana na kupoteza maisha ya watu, wakati uchaguzi umefanyika katika misingi ya kidemokrasia? Wengi wamemchagua mgombea wa Chama Cha Mapinduzi, CCM, Dr. John Joseph Pombe Magufuli.

Sasa mjadala wa nini tena? Kama katika conditions kama hizi CHADEMA na ACT wangeshinda nao wangesema tume haikuwa ya haki? Kwanza Zitto na Maali Seif wanatakiwa kujiuzulu unachama, kwani kulingana na katiba ya chama chao hawakupaswa kumpigia debe mgombea uraisbwa chama kingine. Wao wamekiukwa maadili ya chama chao. Hivyo wanatakiwa wajiuzulu.

Sasa kama wao sheria ambazo wenyewe wamejiqekea hawazifuati je wataqeza fuata sheria ambazo zimeqekwa na community?

Toa upuuzi wako hapa. Unapost vitu hata haibu huna?
 
Hata kama upo kiushabiki lazima at least mara chache ifanye akili yako kuwa conscious.
Hakuna uchaguzi uliofanyika ile juzi tarehe 28 ila ni maigizo ya kuionesha dunia ila kumbe matokeo yameandaliwa na TISS.
Hata kama Ccm kwa kushirikiana na TISS mngeiba mlitakiwa kufanya kwa akili Ila sio Kama mlivyofanya vile. Kile kilichofanyika juzi ni uhuni na dharau ya kiwango cha juu kabisa kwa wananchi.

Hata kama tuko wachache, lazima tuandamane tukipinge kile
 
Nawaomba sana askari kesho wasipige watu virungu miguuni,wapige kichwani maana ichokichwa akina akili.
 
Nawaomba sana askari kesho wasipige watu virungu miguuni,wapige kichwani maana ichokichwa akina akili.
Hatuogopi virungu wala risasi. Tunaogopa nchi yetu kubadilika na kuwa taifa la ki fascist.

Vyovyote vile ukiukwaji wa misingi ya kidemokrasia na kudharau maamuzi ya wananchi lazima vipingwe kwa nguvu.
 
Mambo magum haya, Leo yupo jamaa anasema police huko vijijini wanajua ndugu zao hivyo asema wakianza kuwapigia waandamanaji mjini kwa huko ndo wapo police wengi basi nao wataanza kuwapigia ndugu zao waliovijijin maana huko police wachache, so police tz msijiingize kwenye mtego lindeni maandamano ya amani ata ikiwa miezi 6 nyie walinde
 
Mkuu mwandishi samahani ila article ya ni mbovu sana. Haina mahusiano na mifano uliyoitoa. Mifano mingi imejikita katika kupigania uhuru na sio hiki wanachofanya cdm na act ni kwa maslai yao binafsi.
Sidhani kama ulikuwa na imani kuwa Lisu atashinda ni kichaa pekee mwenye imani hiyo. Kuanzia sera hadi historia ina muhukumu TL mbelebya magu.
Lililo kubwa ni kuwa, kazi au wajibu wa mpiga kura ni kumpigia kura mgombea suala la kulinda, kusimamia na kutangazwa ni la mgombea mwenyewe coz kura yangu moja sina ushahidi kama imekupitisha. Kama kura imeibwa ni wewe niliyekupa ndiye unayetakiwa kuirudisha. Hadi sasa, hawajatuambia kura zimeibiwa vipi zaidi ya kutoa matamshi ya kuogopesha na ubabe tu.
Wapambane na hali zao, watoe fact kabla ya kutumia nguvu kubwa ya kutushindikiza kuwa tumeibiwa.
 
Msitegemee huyo dictator uchwara atarudisha mtandao na huku mnataka kuandamana, tunzeni VPN Zenu vizuri. Na 2025 Anagombea tena tusipomfunga brake now.
 
Hatuogopi virungu wala risasi. Tunaogopa nchi yetu kubadilika na kuwa taifa la ki fascist.

Vyovyote vile ukiukwaji wa misingi ya kidemokrasia na kudharau maamuzi ya wananchi lazima vipingwe kwa nguvu.
Mkuu punguza jazba Armstadam na U.S watashughulikia,nyinyi tulieni tu nyumbani.
 
Tatizo la bongo, siasa ni ujasiriamali.

Ndio maana, binafsi naona bora kila mtu ashinde mechi zake..

Haiwezekani mimi ujasiriamali wangu uniendee vibaya huji kunisaidia, then nyie yakiwaendea vibaya tusaidiane.

NO.
Umewahi kujiuliza kwanini unatumia vpn?
 
Tatizo la bongo, siasa ni ujasiriamali.

Ndio maana, binafsi naona bora kila mtu ashinde mechi zake..

Haiwezekani mimi ujasiriamali wangu uniendee vibaya huji kunisaidia, then nyie yakiwaendea vibaya tusaidiane.

NO.
Mawazo ya hivi ni ya kimaskini, mkuu una hela?
Siasa inagusa maisha yetu wote, ndiyo maana nchi zenye mfumo thabiti nyingi zina maendeleo makubwa, yaani ni kitu obvious sana, nchi zote zenye maendeleo acha China ukiziangalia mifumo yao yote inafanana. Huwezi hata kujiuliza ni kwa nini? Siasa imegeuka ujasiriamali sababu miaka 59 baada ya uhuru ndiyo direction ambayo Tanzania imechukua. Leo watu tunataka kubadilisha hilo tunaonekana tumetumwa na sijui mabeberu hahaha. Brainwashed fools ni wengi sana
 
Mtu anayesema amini mahakama hii ni sawa na anayesema tuamini tume ya uchaguzi 😂 ni wazi kila institution iko rigged. Kuanzia mahakama hadi mfagiaji wa mwisho wa ofisi za serikali
 
Msitufanye watanzania wajinga we punguani, Chadema ni chama cha kuwatetea watanzania wanyonge? Au kwa sababu mmekosa ulaji wa kisiasa baada ya wananchi kutambua ni matapeli hamfai ndio muonekane mnatetea wananchi!
 
A very narrow way of thinking,

Hakuna watu wachache wenye uwezo wa kufanya jambo bila support ya wengi.

Kama jamii inakukataa unafikiri utaweza kukamilisha jambo lako??

Tanzania imekataa ulaghai wa vyama vya upinzani. Hakuna la kufanya tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…