Dunia nzima inakubali hakuna kozi ngumu chuo kikuu kama Electrical Engineering and Allied Sciences

jangoma

Member
Joined
Sep 24, 2023
Posts
64
Reaction score
216
Eeeh watu wa mechanical engineering mkae kwa kutulia kozi yenu ni cha mtoto.

EE na tanzu zake kama Electronics, Telecommunucation, Control Engineering, Automation, Computer Engineering na Computer Science ndio kozi jiwe kabisa katika elimu ya juu.
 
Unasoma halafu uanenda kuomba ajira kwenye viwanda vya wahindi na waarabu,tena unakuta dogo wa kiarabu ana miaka 22 tu ndio msimamizi wako anakuamrisha tu.
Nampongeza Transistor yeye kasoma VETA tu lakini kajiajiri
 
Hizi akili ni za watoto wa sekondari ,,,,,watu mnajisifia na makozi magumu halafu wakija mtaani wanaona hapasomeki wanaanza kua wakwapuzi tu kwenye miradi,,,,,kikubwa mfuko unanona vipi unajisifia makozi mazito mtaani unakuja kimbizwa na wakina musukuma
 
Unasoma halafu uanenda kuomba ajira kwenye viwanda vya wahindi na waarabu,tena unakuta dogo wa kiarabu ana miaka 22 tu ndio msimamizi wako anakuamrisha tu.
Nampongeza Transistor yeye kasoma VETA tu lakini kajiajiri
Elimu yetu bado haijatukomboa,,,imekaa kikoloni sana,,hata wasomi wenyewe ndo hivo wapo na mawazo ya kikoloni,,,,,unahangaika ili baadae uje tu kuajiriwa na asipoajiriwa kwake inakua kama ndo mwisho wa dunia
 
Watanzania tumeathiriwa na umaskini na ukosefu wa ajira tumekuwa wachungu na wenye wivu ,kila kitu lazima tukifikirie kwa upande wa namna kilivokusaidia kiuchumi au lah ,mbona mada kama hizi ni za kawaida kabisa?? Hoja za ubora wa elimu ya tanzania zinatoka wapi? Share experience yako kuhusu ugumu wa kozi ayo mengine hapa sio mahala pake.kuna nyuzi nyingi tu zinajadili hayo
 
Tuw
Eeeh watu wa mechanical engineering mkae kwa kutulia kozi yenu ni cha mtoto.

EE na tanzu zake kama Electronics, Telecommunucation, Control Engineering, Automation, Computer Engineering na Computer Science ndio kozi jiwe kabisa katika elimu ya juu.
Tuwekee source ili tuanzie hapo
 
Watanzania tumeathiriwa na umaskini na ukosefu wa ajira tumekuwa wachungu na wenye wivu ,kila kitu lazima tukifikirie kwa upande wa namna kilivokusaidia kiuchumi au lah ,mbona mada kama hizi ni za kawaida kabisa?? Hoja za ubora wa elimu ya tanzania zinatoka wapi? Share experience yako kuhusu ugumu wa kozi ayo mengine hapa sio mahala pake.kuna nyuzi nyingi tu zinajadili hayo
wachungu na wivu wa system za kipuuzi za kikoloni,,,,kwani watu wanapambana kujaza mavyeti ili vije kua mapambo......mapambano ni ya maokoto
 
Back
Top Bottom