Dunia nzima inakubali hakuna kozi ngumu chuo kikuu kama Electrical Engineering and Allied Sciences

Eeeh watu wa mechanical engineering mkae kwa kutulia kozi yenu ni cha mtoto.

EE na tanzu zake kama Electronics, Telecommunucation, Control Engineering, Automation, Computer Engineering na Computer Science ndio kozi jiwe kabisa katika elimu ya juu.
Hazina ugumu wowote, unajijengea ugumu kichwani mwako tu.
 
Eeeh watu wa mechanical engineering mkae kwa kutulia kozi yenu ni cha mtoto.

EE na tanzu zake kama Electronics, Telecommunucation, Control Engineering, Automation, Computer Engineering na Computer Science ndio kozi jiwe kabisa katika elimu ya juu.
BASI wa China wasingekutengenezea hiyo simu yako ya bei rahisi na TV yako.
 
Yes,, fanya uchunguzi rahisi wa matajiri wasomi wenye PHD/ Masters/ Degree wangapi Vs wasiokuwa wasomi (Shule ya msingi/ sekondari,, au ambao hawajasoma kabisa)
Kwamba kuwa msomi ni mpaka uwe na degree/ phd/ masters? Vipi wenye c3rtificates? Technical educations , diploma?
 
Eeeh watu wa mechanical engineering mkae kwa kutulia kozi yenu ni cha mtoto.

EE na tanzu zake kama Electronics, Telecommunucation, Control Engineering, Automation, Computer Engineering na Computer Science ndio kozi jiwe kabisa katika elimu ya juu.
Dunia ya wapi hiyo?

Kwny civil Eng kuna somo linaitwa RCC unalifahamu?
 
Computer science au software engineering ukiweza vizuri Iwe utapata ajira au usipate utaupiga umasikini teke..

Kuiweza inafaa uachane na Mambo mengi sana maishani ni kukaa Ndani muda wote nje uondekane Kwa nadra na usiwe na Mambo mengi kichwani

Ndio course pekee inaweza kukufanya bilionea/milionea kibongobongo lakinionea🥲 hautalala njaa kamwe
 
Kwanini usitoketoke nje? Kwamba ukae ndani muda wote unasoma
 
muda mwingi ni coding na debugging..
inahitaji muda mwingi sana uwe umetulia na knowledge ni mpya zinabadilikabalika hivyo lazima uwe unasoma daily kulingana na version na releases...
 
Back
Top Bottom