Dunia nzima inakubali hakuna kozi ngumu chuo kikuu kama Electrical Engineering and Allied Sciences

Dunia nzima inakubali hakuna kozi ngumu chuo kikuu kama Electrical Engineering and Allied Sciences

Eeeh watu wa mechanical engineering mkae kwa kutulia kozi yenu ni cha mtoto.

EE na tanzu zake kama Electronics, Telecommunucation, Control Engineering, Automation, Computer Engineering na Computer Science ndio kozi jiwe kabisa katika elimu ya juu.
💩
 
muda mwingi ni coding na debugging..
inahitaji muda mwingi sana uwe umetulia na knowledge ni mpya zinabadilikabalika hivyo lazima uwe unasoma daily kulingana na version na releases...
Unasoma muda mwingi huku hauna pesa ya kula? Kuna kozi zingine zinatakiwa wasome watu wenye uwezo kifedha.
 
Unasoma muda mwingi huku hauna pesa ya kula? Kuna kozi zingine zinatakiwa wasome watu wenye uwezo kifedha.
duuh sio kusoma darasani..
pia siyo wote wanaosoma hawana hela ya kula..
Computer science theory tu ndio huwa zinafundishwa darasani tofauti na coz nyingine karibu kila kitu unapitia kidogo..
Computer science ukishakuwa na basic knowledge computation theory vitu vingine mfano programming unasoma mwenyewe ila inahitaji moyo haswa ule moyo kweli kweli sio kutania...na ujifanyia Updates za kila mara
 
Imekusaidia nn kwenye haya maisha, iwapo ambaye hajasoma ana maisha mazuri kuliko msomi
Hilo pekee ulilosema linakutoa kwenye kundi la wasomi, na moja ya faida za usomi ni uwezo wa kupambanua mambo
 
Ni siku nyingine inaisha sijatumia KIPEUO CHA PILI.
Umetumia banaaaa,
Performance ya digital communication link (kwenye simu yako, king'amuzi) kwenye kudesign tunachek Q(sqrt(Eb/N0))
Electric power yenye unatumia tunapima kwa peak_current/sqrt(2)*peak_voltage/sqrt(2) 😂
 
Yes,, fanya uchunguzi rahisi wa matajiri wasomi wenye PHD/ Masters/ Degree wangapi Vs wasiokuwa wasomi (Shule ya msingi/ sekondari,, au ambao hawajasoma kabisa)
Mo dewji- Bachelor degree in international business and finance
Jack Ma - bachelor degree in English
Jeff bezos - computer scientist
Elon musk - engineer
Mack Zuckerberg - computer programmer
Aliko dangote - Bachelor degree in businesse studies and administration
Bill gates - software developer
etc
Alafu kuna Wewe huwezi kutengeneza hata kikombe endelea kusema elimu haina umuhimu
 
Back
Top Bottom