Yes,, fanya uchunguzi rahisi wa matajiri wasomi wenye PHD/ Masters/ Degree wangapi Vs wasiokuwa wasomi (Shule ya msingi/ sekondari,, au ambao hawajasoma kabisa)Your argument is too subjective , je? Ulifanya research ukapata hizo data?
Wasomi wengi wa computer science wengi wao ni billionaires kwenye dunia ya leoYes,, fanya uchunguzi rahisi wa matajiri wasomi wenye PHD/ Masters/ Degree wangapi Vs wasiokuwa wasomi (Shule ya msingi/ sekondari,, au ambao hawajasoma kabisa)
Tupe mfano halisi Kwa TanzaniaWasomi wengi wa computer science wengi wao ni billionaires kwenye dunia ya leo
Prisca Mgori,Silla Usiri, Neema Mduma, na hata mmiliki wa Jamii ForumsTupe mfano halisi Kwa Tanzania
Computer science inatoa watu sanaTupe mfano halisi Kwa Tanzania
Hazina ugumu wowote, unajijengea ugumu kichwani mwako tu.Eeeh watu wa mechanical engineering mkae kwa kutulia kozi yenu ni cha mtoto.
EE na tanzu zake kama Electronics, Telecommunucation, Control Engineering, Automation, Computer Engineering na Computer Science ndio kozi jiwe kabisa katika elimu ya juu.
BASI wa China wasingekutengenezea hiyo simu yako ya bei rahisi na TV yako.Eeeh watu wa mechanical engineering mkae kwa kutulia kozi yenu ni cha mtoto.
EE na tanzu zake kama Electronics, Telecommunucation, Control Engineering, Automation, Computer Engineering na Computer Science ndio kozi jiwe kabisa katika elimu ya juu.
Kwamba kuwa msomi ni mpaka uwe na degree/ phd/ masters? Vipi wenye c3rtificates? Technical educations , diploma?Yes,, fanya uchunguzi rahisi wa matajiri wasomi wenye PHD/ Masters/ Degree wangapi Vs wasiokuwa wasomi (Shule ya msingi/ sekondari,, au ambao hawajasoma kabisa)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inaumaaa, ila bas tyuuh.Unasoma halafu uanenda kuomba ajira kwenye viwanda vya wahindi na waarabu,tena unakuta dogo wa kiarabu ana miaka 22 tu ndio msimamizi wako anakuamrisha tu.
Nampongeza Transistor yeye kasoma VETA tu lakini kajiajiri
Nisome tena, utanielewa tu.We ajuza unasemaje š
Dunia ya wapi hiyo?Eeeh watu wa mechanical engineering mkae kwa kutulia kozi yenu ni cha mtoto.
EE na tanzu zake kama Electronics, Telecommunucation, Control Engineering, Automation, Computer Engineering na Computer Science ndio kozi jiwe kabisa katika elimu ya juu.
Anzisheni uzi wenuKwamba kuwa msomi ni mpaka uwe na degree/ phd/ masters? Vipi wenye c3rtificates? Technical educations , diploma?
anyways hoja imekuwa ngumu kwako tuishia hapa .Anzisheni uzi wenu
Kwanini usitoketoke nje? Kwamba ukae ndani muda wote unasomaComputer science au software engineering ukiweza vizuri Iwe utapata ajira au usipate utaupiga umasikini teke..
Kuiweza inafaa uachane na Mambo mengi sana maishani ni kukaa Ndani muda wote nje uondekane Kwa nadra na usiwe na Mambo mengi kichwani
Ndio course pekee inaweza kukufanya bilionea/milionea kibongobongo lakinioneaš„² hautalala njaa kamwe
muda mwingi ni coding na debugging..Kwanini usitoketoke nje? Kwamba ukae ndani muda wote unasoma