Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
China imezidi kuikalia kooni Marekani kwenye vita ya teknolojia ya AI hivi kwamba Marekani imeanza kuhofia kukosa ushawaishi na kuanza kuyapiga mikwara mataifa mengine duniani
Iko hivi: Kwa mujibu wa Reuters, Marekani inaandaa kuishinikiza takribani nchi 35 zinazohusishwa na mpango wake wa Pax Silica kuchagua upande katika ushindani wa AI kati ya Marekani na China
Rasimu ya ujumbe wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inaonya dhidi ya nchi kushiriki kwa wakati mmoja katika miungano inayokinzana.
Kwa lugha rahisi Marekani inamaanisha:

“Ukitaka kushirikiana nasi kwenye mfumo wetu wa AI, chips, semiconductors na critical minerals, usiwe pia sehemu ya mfumo wa China.”
CREDIT: https://www.reuters.com/world/china...ust-pick-sides-ai-race-with-china-2026-08-14/