Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Nchi imelala, inasubiri wengine waendelee ndipo ikaombe misaada. Hizi ni akili mfu za CCMChina imezidi kuikalia kooni Marekani kwenye vita ya teknolojia ya AI hivi kwamba Marekani imeanza kuhofia kukosa ushawaishi na kuanza kuyapiga mikwara mataifa mengine duniani
Iko hivi: Kwa mujibu wa Reuters, Marekani inaandaa kuishinikiza takribani nchi 35 zinazohusishwa na mpango wake wa Pax Silica kuchagua upande katika ushindani wa AI kati ya Marekani na China
Rasimu ya ujumbe wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inaonya dhidi ya nchi kushiriki kwa wakati mmoja katika miungano inayokinzana.
Kwa lugha rahisi Marekani inamaanisha:
βUkitaka kushirikiana nasi kwenye mfumo wetu wa AI, chips, semiconductors na critical minerals, usiwe pia sehemu ya mfumo wa China.β
CREDIT: https://www.reuters.com/world/china...ust-pick-sides-ai-race-with-china-2026-08-14/
Nchi imelala, inasubiri wengine waendelee ndipo ikaombe misaada. Hizi ni akili mfu za CCM
Tukiweka ushabiki kandoApo kitakacho amua ni uchumi wetu,maoni ya watawala na si ubora wa izo ai
Sio kwa ubaya kwa dunia ya sasa Japan ipo nyuma sana ya China kwenye generative AI ambayo Afrika inaihitajika sana. China ina ecosystem kubwa sana ya AI
Huna akiliSio kwa ubaya kwa dunia ya sasa Japan ipo nyuma sana ya China kwenye generative AI ambayo Afrika inaihitajia sana. China ina ecosystem kubwa sana ya AI
Japan ina uwezo mkubwa katika motors, sensors, actuators, precision machinery na industrial robots, lakini AI ya kizazi kipya inahitaji kuunganisha hardware hiyo na models, software, data na cloud infrastructure
Hapo ndipo China na Marekani wamekuwa wakisonga kwa kasi zaidi
Huo ndio ukweli, atakayebisha ndio hana akiliHuna akili
Exactly. Biz is biz, Tz should go with what gives them the most value and benefits. Na sio kumfurahisha fulani. Generative AI ni choice bora zaidiBusiness is business.
Usibaki nyuma
Wasaidie kuondoa huo upungufuHamna kitu humo TAIC wana changamoto lukuki kwenye AI
- Upungufu wa wataalamu wenye skills za juu
- Ukosefu wa computing power
- Data ya Tanzania haitoshi na haijapangiliwa vizuri
- Fedha za research na startups
Win win cooperation na giants wa AIWasaidie kuondoa huo upungufu