Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Ipo minongono ya kwamba, Trump ni asset ya Russia. Kuna jinsi fulani walisaidiana kushinda!Trump anaendeshwa na Elon Musk
Trump kichaaToka zelewinsky akatae kuingia mkataba wa hovyo na Marekani wa kuwakabidhi maeneo yenye madini ya earth mineral, Marekani ameigeuzia kibao Ukraine na kudai kuwa Ukraine ndiyo chanzo cha mtafaruku na vita vinavyoendelea, infact dunia iliona jinsi Russia alivyokuwa anandaa majeshi mpaka anaanza kushambulia Ukraine, from a-z,
Je Trump anajidhihirishaje katika uso wa kidunia ya ya siasa zake za ajabu na ubabe wa kitoto!
Trump, Raila na Wassira Hizi siyo Zama Zao 🐼Ipo minongono ya kwamba, Trump ni asset ya Russia. Kuna jinsi fulani walisaidiana kushinda!
Na Mhe. Vicechairman?Trump, Raila na Wassira Hizi siyo Zama Zao 🐼
Ipo minongono ya kwamba, Trump ni asset ya Russia. Kuna jinsi fulani walisaidiana kushinda!
Trump kasimamia ukweli na ulaya uchumi wake uko hoi kwa ujinga wao now wamebaki kubweka tu hata kwenye mazungumzo hawakualikwa.Trump kaamua kuwa kibaraka wa Putin
Pia Trump kashaona hii vita haitakuwa na mwisho na resources (including Pesa) za Marekani zitatumika bila kuwa na faida yeyote Kwa upande wa MarekaniTrump kasimamia ukweli na ulaya uchumi wake uko hoi kwa ujinga wao now wamebaki kubweka tu hata kwenye mazungumzo hawakualikwa.
Icht third reichTrump kaamua kuwa kibaraka wa Putin
Mkulu, yupo sahii kivipi tena? Ww ungekuwa ni Rais wa Ukraine ungekubali kudhalilishwa hivo?Kwa namna yeyote Ile, Trump Yuko sahihi..
Huu Mgogoro wa Rus - Ukraine una hasara zaidi kuliko faida Kwa Dunia yote..
Haipo sawa mkulu.Toka zelewinsky akatae kuingia mkataba wa hovyo na Marekani wa kuwakabidhi maeneo yenye madini ya earth mineral, Marekani ameigeuzia kibao Ukraine na kudai kuwa Ukraine ndiyo chanzo cha mtafaruku na vita vinavyoendelea, infact dunia iliona jinsi Russia alivyokuwa anandaa majeshi mpaka anaanza kushambulia Ukraine, from a-z,
Je Trump anajidhihirishaje katika uso wa kidunia ya ya siasa zake za ajabu na ubabe wa kitoto!
Mtoto hakai na wakubwa.Toka zelewinsky akatae kuingia mkataba wa hovyo na Marekani wa kuwakabidhi maeneo yenye madini ya earth mineral, Marekani ameigeuzia kibao Ukraine na kudai kuwa Ukraine ndiyo chanzo cha mtafaruku na vita vinavyoendelea, infact dunia iliona jinsi Russia alivyokuwa anandaa majeshi mpaka anaanza kushambulia Ukraine, from a-z,
Je Trump anajidhihirishaje katika uso wa kidunia ya ya siasa zake za ajabu na ubabe wa kitoto!
Wanasema if you're not at the table, you're on the menu.Mtoto hakai na wakubwa.
Hiyo hbr ya Trump kutaka madini ya Ukraine umeiokoteza wapi. Tulizeni makalio nyie nyani hakuna mnachofahamuToka zelewinsky akatae kuingia mkataba wa hovyo na Marekani wa kuwakabidhi maeneo yenye madini ya earth mineral, Marekani ameigeuzia kibao Ukraine na kudai kuwa Ukraine ndiyo chanzo cha mtafaruku na vita vinavyoendelea, infact dunia iliona jinsi Russia alivyokuwa anandaa majeshi mpaka anaanza kushambulia Ukraine, from a-z,
Je Trump anajidhihirishaje katika uso wa kidunia ya ya siasa zake za ajabu na ubabe wa kitoto!