Dunia ya Soka impe Luka Modric heshima yake

Umesema ukweli... Ika tatizo nyota wanakuambia, kama ana uwezo aende timu ambayo haina wanao sujudiwa ili ang'ae yeye...
 
Mkuu huu ushauri wako...Luka akiufuata anapotea fasta....maana swala la mchezaji kuwa Fundi Pia linaenda sambamba na timu yake kuchukua vikombe ili aingie kwenye vikosi vikubwa kama FIFA ULITIMATE TEAM OF THE YEAR, UEFA TEAM OF THE SEASON NA FIFA WORLD PRO ELEVEN...Na kwa mantiki hii ujue wazi kuna wachezaji wazuri wapo kwenye timu ndogo ila hawaonekani kutokana na Timu zao kutopata mafanikio ya kutwaa mataji mbalimbali na laiti timu zao zingekuwa zinafanikiwa kupata mataji hayo kwenye michuano mbali mbali wangeonekana machoni mwa watu wengi na kuwa maarufu sana, MIMI NAONA KITENDO CHA YEYE KUANZISHWA KWENYE FIRST ELEVEN ZA REAL MADRID NI KUHESHIMIKA TOSHA...PIA AMESHAINGIA KWENYE VIKOSI VYA "FIFA WORLD PRO NA UEFA TEAM OF THE YEAR" MARA NYINGI HIVYO INATOSHA SANA KWA MIDFIELDERS, KAMA ULITAKA APEWE NA Ballon D'or utakuwa unakosea maana nadirki kusema walikuwepo akina XAVI HERNANDEZ NA HAWAKUPATA HIYO TUZO JAPO ALIKUWA MIDFIELDER MZURI KULIKO LUKA.
 
Mi najua kama akifata atapotea, sikupingi ulichosema ila kama huyo Modric anataka anga'e zaidi pale ni haita wezekana kutokana na mastar waliopo kwenye hiyo timu... Nafurahia kwa uwezo wake wa mfurulizo mzuri alio uonyesha ila hata pale alipo kuanzishwa kikosi cha kwanza ni ashukuru zaidi atapotea
 
Bila kumung'unya maneno wanazi na wazandiki wa soka duniani hawamtendei haki Luka Modric. Wamekuwa wakimu-underrate na kumuona mchezaji wa kawaida.

Lakini kwa misimu kama mitatu Luka yupo katika ubora wa kipekee aking'arisha vilivyo safu ya kiungo ya Real Madrid.

Ila bahati mbaya, wazandiki wa soka wanawasifia viungo wa kawaida kama Pogba, Fabregas, Kroos, na Rakitic.

kikosini Real Madrid, wachezaji wanaosujudikiwa ni Ronaldo, Marcelo, Sergio Ramos na Casemiro. Wanamsahau mtu ambaye yuko nyuma ya pazia ya mafanikio ya hao wengine.

Kwanini dunia ya soka haimpi heshima yake Luka?
Ni kawaida katika mpira, hata katka mziki anasifiwa aliyeimba, kumbe kuna producer,

Mmesahau ya gaucho,de lima,messi,pele,maradona,rivaldo,sukar,romario n.k

Hawa wote waling'arishwa na viungo,

LABDA FIFA itenganishe tuzo, kuwe na tuzo ya mchezi bora kwa washambuliaji,

Kuwe na kiungo bora wa dunia,

Kuwe na beki bora wa dunia,

Kipa bora wa dunia,

Lakini haita noga,

[emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47]
 
Leo modric amepewa tunzo, nahisi uefa wamesikia kilio chenu. Asante kwa kufatilia mpira kwa uangalifu na kujua nani yuko juu. Kwa sasa madrid wana balaa. Casemero, kroose akiungana na luka modric wanatengeneza combination moja matata sana. Wacha modric aitwe modric na tutashuhudia modric na bale wakicheza naspurse.
 
Ni Kama Andrea Pirlo wa Italy amevuma tu baada ya kuiwezesha Italy kuchukua Kombe la Dunia pale Ujerumani 2006.
Mkuu unaifahamu Ac Milan iliyoanza kunyanyasa soka la Ulaya mwaka 2003 Pirlo akiwa katika Injini ya Kiungo cha Rossoneri mpaka akipachikwa jina la " The Brain of Milan ". Sasa unapoanza kusema umaarufu wake ulikuja 2006 baada ya Italy kubeba World cup ni kumshushia hadhi na kumdhalilisha Andrea Pirlo.
 
Peak yake Na heshima aliyostaafu nayo ilihitimishwa Na ushindi wa Kombe la Dunia. Ni Kama Ronaldo Na umaarufu wote heshima yake ilipaa zaidi baada ya Ureno kuchukua Kombe la Ulaya. Lionel Messi naye atafikia heshima hiyo pale tu atakapoongeza kombe la dunia katika hazina yake. Sizungumzii upenzi wa mashabiki kwa mchezaji.
 
Am sorry to this...be serious...
 
Umaarufu wake ulipungua alipohama...pale Totenham alikuwa mchezaji wakutegemewa zaidi na alipewa heshimakubwa zaidi ya huku alipo sasa.
Huwa inatokea. Mpaka leo sielewi ALEXANDER SONG, ALEXANDER HLEB na Thomas Vermalin walifuata nini Barca, waliondoka The Gunnez wakiwa wafalme kila mmoja kwa muda wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kawaida katika mpira, hata katka mziki anasifiwa aliyeimba, kumbe kuna producer,

Mmesahau ya gaucho,de lima,messi,pele,maradona,rivaldo,sukar,romario n.k

Hawa wote waling'arishwa na viungo,

LABDA FIFA itenganishe tuzo, kuwe na tuzo ya mchezi bora kwa washambuliaji,

Kuwe na kiungo bora wa dunia,

Kuwe na beki bora wa dunia,

Kipa bora wa dunia,

Lakini haita noga,

[emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47]
Acha kumfananisha gaucho na upumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kumung'unya maneno wanazi na wazandiki wa soka duniani hawamtendei haki Luka Modric. Wamekuwa wakimu-underrate na kumuona mchezaji wa kawaida.

Lakini kwa misimu kama mitatu Luka yupo katika ubora wa kipekee aking'arisha vilivyo safu ya kiungo ya Real Madrid.

Ila bahati mbaya, wazandiki wa soka wanawasifia viungo wa kawaida kama Pogba, Fabregas, Kroos, na Rakitic.

kikosini Real Madrid, wachezaji wanaosujudikiwa ni Ronaldo, Marcelo, Sergio Ramos na Casemiro. Wanamsahau mtu ambaye yuko nyuma ya pazia ya mafanikio ya hao wengine.

Kwanini dunia ya soka haimpi heshima yake Luka?
Unashangaa nini, kwani Makelele ikikuwaje? .Hawa jamaa ndo walivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom