Sasa hivi zaidi ya asilimia 90 ya silaha zinazotumiwa na Ukraine zinatoka US na NATO, wanapata mpaka military technical assistance, na Mrusi anajua, je kuna kitu amefanya? Puttin watu wanamsifia bure tuu kwa sababu as a human being hawezi kuwa sahihi all the time. Huyu mtu anajiona yeye ni above all and he knows everything, hasikilizi hata washauri wake. Hata hivi vita walimtahadharisha kwamba it's not the right time but hakusikia, sasa vita aliyodhani itachukua few days is going into a year and possibly years. Vikwazo alivyowekewa vinatesa wananchi wake, na kwa kweli Warusi nadhani ndiyo wazungu wa ajabu mimi kuona kwa kukubali kuburuzwa na huyu jamaa just like what we see in Africa.