Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

Wanawake wengi wametanguliza pesa mbele hata akiliwa na kuachwa asione kapoteza mazima. Kuhusu kufurahia tendo mie sijui, watu wanaangalia pesa kwanza.
 
Ila "K" mnazi overrate sana na hapo ndipo wanawake wanapochukua huo udhaifu kuwakamua visenti vyenu.
 
Bodaboda wamefanya jambo zuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…