Dunia yaendelea Kukoshwa na Uchapakazi Wa Rais Samia . Sasa Kutunukiwa Shahada Ya Heshima Nchini Urussi. Tukio kurushwa Live

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu watanzania,

Habari ndio hiyo. Rais wetu Mpendwa anaendelea kuiteka Dunia kwa uchapakazi wake, anaendelea kuwa Nyota ya Dunia, anaendelea kuwa kiongozi mwenye ushawishi zaidi Duniani kote , anaendelea kuwa Kiongozi mwenye mvuto na heshima kubwa sana Duniani kote.

Rais Samia ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu.

Sasa Dunia inakwenda kushuhudia tukio kubwa ambalo litarushwa live ama mubashara mpaka Ikulu ya Whitehouse Marekani pale ambapo Rais wetu Mpendwa atakuwa akitunukiwa shahada ya heshima kutoka Nchini Urussi katika Chuo cha Urafiki .

Hii ni katika kutambua mchango mkubwa wa Rais wetu Mpendwa katika Elimu , Diplomasia na kulipa hadhi na Heshima kubwa Taifa letu. Ni katika kutambua mchango mkubwa wa Rais wetu katika Mapinduzi katika secta mbalimbali.

Nashindwa Niandike nini juu ya Rais Samia maana unaweza kuandika mpaka asubuhi.

Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na Mungu na kupewa kibali na Mungu.

Rais Samia ni Mbarikiwa aliyebarikiwa na Mungu Mwenyewe.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ama kwa hakika,
ushupavu wa Dr Samia Suluhu Hassan uongozini, waendelea kuatambulika na kuwakosha jumuiya za kimataifa na taasisi za elimu duniani.

viwa Dr Samia Suluhu Hassan viva 🔥
 
Utashangaa Ma CHADEMA yananuna na kuanza kutukana matusi utafikiri wagonjwa wa akili Maana akili zao CHADEMA wanazijua wao wenyewe
 
Anaandaa pa kukimbilia siku ICC Wakirusha warrant ya kumsaka keshaona Uarabuni kwa wajomba hakuna uvungu anamfuata Assad ampe moja na mbili za kuanzia!
 
Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu
 
Ndugu zangu watanzania,

Habari ndio hiyo. Rais wetu Mpendwa anaendelea kuiteka Dunia kwa uchapakazi wake, anaendelea kuwa Nyota ya Dunia, anaendelea kuwa kiongozi mwenye ushawishi zaidi Duniani kote , anaendelea kuwa Kiongozi mwenye mvuto na heshima kubwa sana Duniani kote.

Rais Samia ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu.

Sasa Dunia inakwenda kushuhudia tukio kubwa ambalo litarushwa live ama mubashara mpaka Ikulu ya Whitehouse Marekani pale ambapo Rais wetu Mpendwa atakuwa akitunukiwa shahada ya heshima kutoka Nchini Urussi katika Chuo cha Urafiki .

Hii ni katika kutambua mchango mkubwa wa Rais wetu Mpendwa katika Elimu , Diplomasia na kulipa hadhi na Heshima kubwa Taifa letu. Ni katika kutambua mchango mkubwa wa Rais wetu katika Mapinduzi katika secta mbalimbali.

Nashindwa Niandike nini juu ya Rais Samia maana unaweza kuandika mpaka asubuhi.

Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na Mungu na kupewa kibali na Mungu.

Rais Samia ni Mbarikiwa aliyebarikiwa na Mungu Mwenyewe.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
We ni zaidi ya comedian
 
uzuri Lucas Mwashambwa nilifika dukani mwako nikakuta unapost
Screenshot_20260610-203218.png
 
Back
Top Bottom