MM NA DEAL na niliye mkopesha sitaki kudeal na innocent peoples afu hawa mabasha wake sikuhitaji kabisa vita nao ila ilibid tu maana walishaanza kurusha ngumiUgomvi km huo we komaa na shingo tu ya huyo unaemdai yaani ungehakikisha mpaka anakunya hata upigwe vipi we ni mkasi tu kushoto kulia.
We ukapoteza lengo unaanza ugomvi na mabasha wake.
Ushauri mtafute kaka yake aliyekuintroduce kwake alipe hasara zote.
na kweli mm nshajiapiza ata nikute demu anakufa simuazimi helaKILA siku tunasema hapa.........kama huna ishu na demu usijaribu kumkopesha.........mkopeshe mama yako na dada zako...tena wa kuzaliwa.......wengine unajiongezea maadui tuu
soma uelewe bro mm kwenye account yangu nina more than 20 million hii kwangu haiondoi thaman ya 10k pale nilienda chukua changu nikakuta mwenzaangu njaa kaliBuku ten inamtesa dogo mpaka kuleta fujo kwa watu.
Mwaisa wa uyole twambombo tununuCha kukushauri jifanye mjinga nenda kamuombe msamaha yule demu,Halafu jenga naye urafiki hadi mfikie kuwa wapenzi afu kula Hunduni yake na umuache siku hiyo.Afu umwambie we ni nyonyoma mi ndo mwaisa mtu mbadi unyama mwingi
Hahaa punguza hadithi bwana mdogo. Acha kujilisha upepo na 20M.soma uelewe bro mm kwenye account yangu nina more than 20 million hii kwangu haiondoi thaman ya 10k pale nilienda chukua changu nikakuta mwenzaangu njaa kali
Anazingua afu ndo kawaida yake.Duh hhaha,umeua Leo,msaidie anataka kuukalia mpin
Sema mkuu, tumekuwa na mavijana majinga na mabwege mno nchi hii. Hivi unaanzaje kuwa na mazoea ya hovyo hovyo kiasi hicho?Humu duniani si kila binadamu wa kuongea naye na hata kuwa na ukaribu naye.......
Halafu tuache tabia za KIENYEJI za mazoea ya ajabu....inakuwaje mtu huna mazoea naye anakuomba SIMPLY 10,000 AJAZE BIDHAA ZAKE?!!!
Huu nao ni ubwege wa wanaume BETA MALES wasioishi kwa kanuni....
Ulitaka akusifu?!!
Ulitaka kulazimisha udugu?!!
Ulitaka kuomba mbususu?!!!
.....sifa za kijinga mkuu....Sema mkuu, tumekuwa na mavijana majinga na mabwege mno nchi hii. Hivi unaanzaje kuwa na mazoea ya hovyo hovyo kiasi hicho?
Mimi ni top nilikuwa najua wewe ni bottom, kama ndivyo please njoo PM! Kama ni mwanamke pia njoo PM .Inategemea.
Unataka kupigwa paipu?
Mkuu leo sina kisirani, we pita tu ukatafute wa kugombana naeMimi ni top nilikuwa najua wewe ni bottom, kama ndivyo please njoo PM! Kama ni mwanamke pia njoo PM .
NB: ukija jua kabisa mada kuu ni 07...., so nitakulipa hela nyingi unazohitaji ili nizibue taro hilo.
Mkuu leo sina kisirani, we pita tu ukatafute wa kugombana nae
For some reason nilihisi tu utapita hapa.
Yah nimefika..Ila Ila naumwa sn mamii,kifua kimebana,nakohoa,natoka jasho,mwili unauma,mafua yanatiririka,kichwa kinauma, najisikia vby sana Kwa kweliFor some reason nilihisi tu utapita hapa.
Ushafika mkoani?
Really sorry about that.Yah nimefika..Ila Ila naumwa sn mamii,kifua kimebana,nakohoa,natoka jasho,mwili unauma,mafua yanatiririka,kichwa kinauma, najisikia vby sana Kwa kweli
Mpaka dakika hii kungekuwa na matanga hapo mtaani
pale baa frame kapanga sio yake ivo analipa kodi km kawaidaMkuu nakupa ushauri mzuri sana umkomoe huyo dada kwa alichokufanyia. Nunua petrol litre 3, nenda kapige moto hapo. Usiwe na huruma hata chembe maana huyo dada ni muuaji
Mkuu atalipa yeye, choma tupale baa frame kapanga sio yake ivo analipa kodi km kawaida
Dawa ipo jikoni
wanasheria pia naomben mchango wenu