Duniani hakuna haki! Nimeibiwa simu na pesa na kupigwa chupa ila bado nikashitakiwa

Aaah kubabake yani hiyo nisingekubali ikalala ushindi ukiwa kwao, kama wamenidhibiti kwasababu ya wingi hilo sio swala

Huku mtaani kuna wana ukiwapa 20k wanakichafua, hao mabaunsa wanapoteana na hicho kioski hapo kinakua mbuga

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuonee huruma hizi mvua zinazonyesha isiwe sababu ya kutuletea chai yenye Tangawizi, then joto kali bado lipo!
 
usirudie tena kukiwasha ehemu kama hio tena na mwanamke utakuja pewa kesi nzito zaidi ya hiyo achana na hiyo hela angalia maisha yako.....kijana tafuta pesa
 
Somo zuri kwako.
Shida hazitatuliwi kwa kujitutumua na ubabe.

Angalia sasa umepigwa simu, umechezea chupa za kutosha na bado unadaiwa laki sita.

Next time mbu akitua kwenye ile ngozi ya vitufe vinanvyoning'inia katikati ya miguu hatolewi kwa kupiga kibao.

Tumia akili next time
 
Yote yamekupata sababu ya kuendekeza Mazoea na Waswahili, yaani kwa kifupi Mswahili ni mtu wa kukaa nae mbali. Acha kabisa mazoea na watu. Wakati flani ni bora usieleweke kuliko kuzoeana hovyo na watu. Siku ya kwanza ulipokunywa kinywaji cha kwanza tu nakuona wanakusumbua chenji, usingeomgeza kinywaji zaidi ya kuchukua chenji yako na kuondoka zako.
Binafsi nimeepuka matatizo mengi sana sababu ya kutopenda mazoea na watu wa mtaani.
 
Manka muuza bia unamkopesha hela! Lazima siku ya kumdai akupige chupa, huyo ndiye Manka.
 
Aaah kubabake yani hiyo nisingekubali ikalala ushindi ukiwa kwao, kama wamenidhibiti kwasababu ya wingi hilo sio swala

Huku mtaani kuna wana ukiwapa 20k wanakichafua, hao mabaunsa wanapoteana na hicho kioski hapo kinakua mbuga
Hahahaha me nna kazi mkoa flan niliwahi kuonewa hadi na polisi. Sema mm nilikuja kuibuka nimejipanga mbona wao ndo waliomba poo na simu zangu waliiba wakalipa. Ila bado nataka nikinukishe kiaina maana walinidhalilisha sana.
 
daaaaah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Kumbe jamii forum kuna vibaka? Maana Kwa huo ugomvi wewe sikuelew!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…