Duniani hakuna haki! Nimeibiwa simu na pesa na kupigwa chupa ila bado nikashitakiwa

Cha kukushauri jifanye mjinga nenda kamuombe msamaha yule demu,Halafu jenga naye urafiki hadi mfikie kuwa wapenzi afu kula Hunduni yake na umuache siku hiyo.Afu umwambie we ni nyonyoma mi ndo mwaisa mtu mbadi unyama mwingi
Dah!
 
β€œHUNDUNI”
Naona kiswahili cha kitumbatu hikiπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole man
 
Duh.. We jamaa kwanza biblia inashauri kuwa "usimdai jirani yako kwenye kikao cha pombe, wala kumtaka akulipe deni"
Ulikosea sana kutaka kupigana na mwanamke na ulistahili kipigo kizuri tu.
Waliokuibia hawakufanya sawa kabisa.
Ila kwa sasa upate funzo. Siku zote unapotoa msaada au kuazima mtu pesa toa fedha unayojua hauna mahitaji nayo na inaweza kuwa sadaka. Ni ujinga sana kukopesha pesa unayohitaji kutumia mbeleni.
 
Aiseee
 
Cha kukushauri jifanye mjinga nenda kamuombe msamaha yule demu,Halafu jenga naye urafiki hadi mfikie kuwa wapenzi afu kula Hunduni yake na umuache siku hiyo.Afu umwambie we ni nyonyoma mi ndo mwaisa mtu mbadi unyama mwingi
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Unyama mwingi
 
Kosa hapo ni wewe kwenda mji wa mtu kufanya vurugu.

ila jua polisi hakuna haki labda mahakamani. na ukienda huko hakikisha una mashahidi.
sasa itakuwaje na ili hali polisi wamenifanya mm mshtakiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…