Duniani hakuna haki! Nimeibiwa simu na pesa na kupigwa chupa ila bado nikashitakiwa

Mpotezee tu huyo dada, ugomvi wa mwanaume na mwanamke always mshindi ni mwanamke. Ushindi wako ni kujifanya mjinga kwa kukaa kimya.
km kuna ukweli hapa mpaka sasa najiuliza ilikuwaje polisi kumuamini yule dada na kupuuza maelezo yangu
 
Pole kwa shambulio, ndio hivyo tena shukuru upo mzima. Ukasingiziwa umechana hadi sidiria wakati hujagusa hata kifua chake
jana ndio nimejua SHETANI NI MWANAMKE
LADIES ARE SOURCE OF EVILS BRO TRUT ME
Apa niepigiwa simu kuna jamaa yetu kafia gest huko morogoro tuko na mshangao
 
km kuna ukweli hapa mpaka sasa najiuliza ilikuwaje polisi kumuamini yule dada na kupuuza maelezo yangu
yaani we jamaa haupo sawa kichwani,,..unaenda eneo geni peke yako huna shahidi unaanzisha ugomvi(probably ulilewa)hata uelewi taratibu za kisheria unategemea kutetewa..halafu hapo uboya ukute ulianza leta mbwembwe za kujisifia kipato au cheo...bado unashangaa kwanini walikudunda?
 
Familia isiyo na maadili hiyo, wezi, matapeli na hawatadumu kwenye hiyo biashara.
 
Hahahaha me nna kazi mkoa flan niliwahi kuonewa hadi na polisi. Sema mm nilikuja kuibuka nimejipanga mbona wao ndo waliomba poo na simu zangu waliiba wakalipa. Ila bado nataka nikinukishe kiaina maana walinidhalilisha sana.
nipe mbinu yaani na hasira ninachokiwaza kichwan ungekijua daaah nataman k++a
 
Daaaah mwanangu ......manz alikuwa tu anajipigia vyupa kichwani.....

Anyway...demu akopeshwi pesa
yaan sikupata nafasi ya kufanya kitu nilishikwa mwanzo mwisho demu anarushwa chpa tu
Bro nataman k++a
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…