Maelezo shallow sanaHabari za mapepo tunazipata katika Biblia:
Mapepo ni malaika waliofanya uasi mbinguni pamoja na shetani aliyekuwa malaika mkuu. Mungu akawafukuza na kuwatupa duniani. Hawa ndio wanaodhuru watu, wanaoshawishi watu wasimwamini Mungu, wanashirikiana na wachawi na kufanya mambo mengi maovu. Wanajulikana pia kama pepo wachafu au roho waovu.
Majini kwa imani ya Waislamu ni viumbe wa kiroho walioumbwa kwa moto usio na moshi, kama inavyotajwa kwenye Qur’an (Sura ya 55:15). Wanaweza kuwa wema, waovu, au wasio na upande(neutral), na wana hiari kama wanadamu.
Umeiona tofauti Kinyungu ?
Points muhimu si umezipata? Kumbuka pia watu wengi humu ni wavivu kusoma, so kuandika uzi kwa mtindo wa gazeti ni kupoteza bure "wino."Maelezo shallow sana
😈Points muhimu si umezipata? Kumbuka pia watu wengi humu ni wavivu kusoma, so kuandika uzi kwa mtindo wa gazeti ni kupoteza bure "wino."
By the way, kwanini unajiita "EvilSpirit"? Evil spirit ni pepo mchafu au roho mbaya.
That name is not a good one. It carries a negative meaning and may give the wrong impression. Choosing a more positive name would be better. Alright?
Mapepo ni viumbe wa kishetani na waovu kweli kuna utofautiMajini ni kwa imani ya Waislamu. Kwenye Biblia jina "majini" halipo
Hapana, huyo Mchungaji anaombea watu bure. Ukisikia Mchungaji, Mtume au Nabii anakuambia ununue kwanza chumvi na mafuta ya upako ndio akuombee, hapo ujue utatapeliwa - shtuka!Mchungaji hapo Kisha pata mtaji wa kuwa tapeli kondoo
😁😁😁 Go and Learn, kuna mengi huu Upande.Unaota ndoto? Leta ushahidi wa Maandiko.
Mfano ktk Ezekiel 21:21. Unaweza dodosa nini alikuwa anafanya hapo??Huo ni upande wa kufikirika; siendi huko 🙂