Duniani kuna mengi: Mwanamke aongea sauti tano tofauti, kwa wakati mmoja!

Maelezo shallow sana
 
Maelezo shallow sana
Points muhimu si umezipata? Kumbuka pia watu wengi humu ni wavivu kusoma, so kuandika uzi kwa mtindo wa gazeti ni kupoteza bure "wino."

By the way, kwanini unajiita "EvilSpirit"? Evil spirit ni pepo mchafu au roho mbaya.

That name is not a good one. It carries a negative meaning and may give the wrong impression. Choosing a more positive name would be better. Alright?
 
😈
 
Nilidhani wananiambia mimi, kumbe ni huyo! OK.
Mimi uongo nauchukia sana maana najua waongo hawataurithi ufalme wa Mungu. Kwa sababu hiyo nikikuletea habari yoyote hapa ujue nimejiridhisha kuwa haina chembechembe za uongo.
Ufunuo 21:8
Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
 
Mchungaji hapo Kisha pata mtaji wa kuwa tapeli kondoo
 
Mchungaji hapo Kisha pata mtaji wa kuwa tapeli kondoo
Hapana, huyo Mchungaji anaombea watu bure. Ukisikia Mchungaji, Mtume au Nabii anakuambia ununue kwanza chumvi na mafuta ya upako ndio akuombee, hapo ujue utatapeliwa - shtuka!
Yesu alipowapa wanafunzi wake mamlaka ya kuponya wagonjwa aliwaambia watoe huduma hiyo bure.
Mathayo 10:8
Ponyeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo wachafu. Mmepata bure, toeni bure.
 
Wapepo wachafu hawafai, jina la Yesu linapotajwa kwa imani humweka mtu huru na pepo wabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…