Duniani sheria, haki mbinguni

Duniani sheria, haki mbinguni

Mkandara

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2006
Posts
15,806
Reaction score
9,011
Katika harakati za kupiga vita Ushoga yanishangaza elimu ama akili inayotumika kisheria..

SHOGA anakamatwa na kuhukumiwa kwenda jela miaka 30, Jela ambayo kuna Wanaume njaa wasio na wake! Je, hii ni adhabu au starehe kwao.🤔🤔

Je, kumpeleka Shoga Magereza sio kama tunapandikiza mbegu ya kuzalisha MABASHA wengi zaidi huko gerezani?🫣🫣🫣 Wakisha maliza kifungo chao wakarudi huku mtaani, nami wa kulaumiwa?
 
Katika harakati za kupiga vita Ushoga yanishangaza elimu ama akili inayotumika kisheria..

SHOGA Anakamatwa na kuhukumiwa kwenda jela miaka 30, Jela ambayo kuna Wanaume njaa wasio na wake! Je, hii ni adhabu au starehe kwao.🤔🤔

Je, kumpeleka Shoga Magereza sio kama tunapandikiza mbegu ya kuzalisha MABASHA wengi zaidi huko gerezani?🫣🫣🫣 Wakisha maliza kifungo chao wakarudi huku mtaani, nami wa kulaumiwa?
Nashauri - Kwa nini tusifungue kwanza Rehabilitation centre kama zile za mateja wa ngada kuwasaidia hawa vijana kisaikolojia badala ya kuwapeleka magereza za wafungwa..
 
Umeongea vyema mkuu.. hii itakuwa suluhisho la kudumu. Na pia elimu zitolewe
 
Back
Top Bottom