Duniani wachawi wanatutesa sana hii kitu tumeifukua nyumbani kwangu inasikitisha

Duniani wachawi wanatutesa sana hii kitu tumeifukua nyumbani kwangu inasikitisha

Ingependeza zaidi kama ungelituelezea kwa undani jinsi ambavyo ilitokea na ilikuwaje-kuwaje(Yaliyojiri) au mazingira gani yaliyopelekea hata ikatokea kwamba wewe na wenzako mliokuwepo mkaifukua hiyo kitu nyumbani kwako. Ni hayo tu.
 
Jina la Yesu Kristo ndilo suluhisho pekee.

Usiogope uchawi
Mmh! Huyu ndugu hajaomba msaada au namna ya kupata suluhisho. Yeye katoa Taarifa ya mambo yaliyotokea nyumbani kwake na akasema inasikitisha sana. Hajasema kitu kingine. Kwa mtizamo wangu hapo ingekuwa: Taarifa imepokelewa au kwa hiyo unashauri nini.
 
Hapa
JamiiForums-300558226.jpg
 
Mmh! Huyu ndugu hajaomba msaada au namna ya kupata suluhisho. Yeye katoa Taarifa ya mambo yaliyotokea nyumbani kwake na akasema inasikitisha sana. Hajasema kitu kingine. Kwa mtizamo wangu hapo ingekuwa: Taarifa imepokelewa au kwa hiyo unashauri nini.
Naona post yangu imekutikisa huko machimboni.

Iwe taarifa ama a bluff lakini jibu langu ni lile lile. Tegemea Jina la Yesu
 
Hilo jina tu lazima watu wakuloge[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom