DUNLOP: Sio tairi tu, ni uwekezaji wa usalama kwa chuma chako!

Kwa matumizi gani? Kwenda na kurudi kazini na kwenda Moshi mara moja kwa mwaka? Tumia tairi za kichina tu.
Uko sahihi kabisa mkuu. Kama matumizi ni ya 'nyumbani-kazini' na safari za mikoani ni mara chache sana, kununua tairi za bei mbaya sana ni kama kuvaa suti ya milioni 2 kwenda kununua mkaa."
"Lakini hapa ndipo watu wanapokosea; 'Tairi za Kichina' zipo za madaraja mengi. Kuna zile ambazo baada ya safari moja ya Moshi zinaanza kuvimba. kuna 'Chuma' kama Goodride ambazo zinakupa usalama ule ule wa Dunlop kwa bei ya Kichina. Yaani unatumia kidogo, lakini unapata amani ya moyo kama mtu aliyefunga brand kubwa.
 
Ni kweli kuna tairi za kichina tofauti. Good Goodride ni nzuri hata bei ziko juu kuliko akina Linglong.
 
Watu wengi wanapoulizia tairi, mara nyingi wanawaza bei kwanza. Lakini kama unajua thamani ya gari yako na usalama wa watu uliobeba, huwezi kuacha kuliwaza jina moja tu: DUNLOP.
Kwanini mimi nawashauri watu Dunlop? Hizi hapa ni sababu chache za kishkaji:
1. Hawa ndio mabingwa wa historia
Ukweli ni kwamba Dunlop ndio waligundua tairi la kwanza kabisa la upepo duniani zaidi ya miaka 130 iliyopita. Yaani hawa jamaa ndio waliofundisha wengine jinsi ya kutengeneza tairi. Ukifunga Dunlop, ujue gari yako imevaa "madini" ya asili kabisa.
2. Mshiko wa hatari barabarani (Super Grip)
Dunlop wameshiriki mashindano ya magari (Racing) kwa miaka mingi. Teknolojia wanayotumia huko ndio wameileta kwenye hizi tairi zetu za kawaida. Iwe ni kipindi cha mvua au jua kali la mchana, tairi inakupa uhakika wa breki na mshiko usioyumba.
3. Hutatua kero ya kelele.
Kuna zile tairi ukiwa unatembea barabarani unasikia kelele mpaka unahisi gari ina shida. Dunlop wana teknolojia inaitwa Noise Shield. Inapunguza kelele za tairi kwa asilimia kubwa, hivyo ndani ya gari kunakuwa na utulivu wa kutosha.
4. Usalama kwanza (RunOnFlat)
Hii ndio sehemu naipenda zaidi. Tairi nyingi za Dunlop zinakuwezesha kuendelea kutembea hata kama umepata pancha na upepo umeisha wote. Badala ya kushuka kubadilisha tairi katikati ya pori au usiku sehemu hatari, Dunlop inakufikisha mpaka sehemu salama.
Ushauri wangu:
Kununua tairi ya bei rahisi inaweza kuonekana ni kuokoa hela, lakini tairi inayodumu na kukulinda barabarani ndio inakuokoa kimaisha na kiuchumi kwa muda mrefu. Gari yako inastahili heshima ya Dunlop.
Hizo ni chuma sio Tairi.... endurable!
 
Uko sahihi kabisa mkuu. Kama matumizi ni ya 'nyumbani-kazini' na safari za mikoani ni mara chache sana, kununua tairi za bei mbaya sana ni kama kuvaa suti ya milioni 2 kwenda kununua mkaa."
"Lakini hapa ndipo watu wanapokosea; 'Tairi za Kichina' zipo za madaraja mengi. Kuna zile ambazo baada ya safari moja ya Moshi zinaanza kuvimba. kuna 'Chuma' kama Goodride ambazo zinakupa usalama ule ule wa Dunlop kwa bei ya Kichina. Yaani unatumia kidogo, lakini unapata amani ya moyo kama mtu aliyefunga brand kubwa.
Goodride fake kibao...
 
Unaposema muda mrefu ni kuanzia miaka mingapi?
Mpira hauna expire date moja kama tunavyodanganywa home tairi brand unaweza kutumia hata zaidi ya 5 yrs na pia tairi hata ipate joto kiasi gani ni ngumu kupasuka hicho kitu hakipo tofauti na hizi zetu..
Kuna ajali moja ya gari ilianza kupasuka tairi jamaa akiwa anakata kona gari nzuri na nzito tairi za uwongo na uzuri ilimtoa tu nje ya mtaro mimi nilishangaa kwa gari ile kuwa na zile tairi nilishangaa sana ila watu ndio maisha yao nikaamsha na kuendelea safari..
Shida ingine tairi brand bora zipo juu home mimi na ukurungwa wangu nazibeba hapo JHB kwa rand 2000 moja..
Changamoto ingine home ni Rim
 
Umejuaje kama ni fake? Ebu tuelekeze na sisi wengine
Mkuu labda sikuiz kama zipo OG peke yake...Mimi nilikuwa nafunga kwenye daladala miaka iyo 2005,kuna tyres zilikuwa zinaitwa BOLEX, lingLong, ila Goodride zilikuwa na afadhali kiasi,
Pileli ndio kiboko yao na hizo Dunlop & Michelin
 
Kumbe Goodride zipo tangu 2005 na hamsemi?
 
Mpira hauna expire date moja kama tunavyodanganywa home tairi brand unaweza kutumia hata zaidi ya 5 yrs na pia tairi hata ipate joto kiasi gani ni ngumu kupasuka hicho kitu hakipo tofauti na hizi zetu..
Kuna ajali moja ya gari ilianza kupasuka tairi jamaa akiwa anakata kona gari nzuri na nzito tairi za uwongo na uzuri ilimtoa tu nje ya mtaro mimi nilishangaa kwa gari ile kuwa na zile tairi nilishangaa sana ila watu ndio maisha yao nikaamsha na kuendelea safari..
Shida ingine tairi brand bora zipo juu home mimi na ukurungwa wangu nazibeba hapo JHB kwa rand 2000 moja..
Changamoto ingine home ni Rim
Mkuu ukinisoma vizuri nimezingatia matumizi ya gari. Mtu unatumia gari hapa mjini na unasafiri kwenda mkoa mara moja kwa mwaka sioni sababu ya kununua tairi za bei mbaya. Kwa wewe lazima uwe na tairi za quality ya juu maanake unatembea kutoka nusu ya bara mpaka mwisho wa bara mara kwa mara.
Natumia tairi za kichina safari za mkoa mimi hazizidi tatu kwa mwaka. Nakaa na tairi za kichina zaodi ya miaka mitatu na sijawahi kupasukiwa na tairi.
 
Ok sawa mkuu ila kwa mimi navyojua chanzo kikubwa cha ajali za bara barani ni tairi mbovu ikichangiwa na mwendokasi humu tunaongea ili ijulikane na si kuficha ugonjwa hata kama tunatumia tairi za mchina na hatujapata mambo ya kupasuka haimaanishi kuwa tairi zao ni bora hapana tuishie hapa tu mkuu..
Mimi ni Legend road nimetumia matakataka mengi nawasihi vijana wasituige sisi wakituona na mchina wakati wao wana uwezo waishi kwa kunyooka na vitu bora ili kupunguza ajali zisizo za lazima zinazosababishwa na matairi na uwezo wa kutumia tairi nzuri wanao ila wamekosa taarifa tu.
 
Tairi ya Kichina haina maana ni tairi mbaya. Zinauzwa dunia nzima. Ni cheaper option kwa premium brands. Watu wengi wanafikiri ukisema tairi ya kichina basi ni tairi mbovu si kweli. Zinafikia viwango vya usalama(mbovu zipo) sikatai. Mimi mwenyewe nimepunguza kusafiri na gari tu nimesafiri sana na natembea mwendo hasa hivyo najua tairi umubimu wake ni nini. Ila sioni sababu ya mtu wa kawaida kuhangaika na Bridgestone wakati ana matumizi ya kawaida sana ni waste of resources tu.
 
Back
Top Bottom