Tairi ya Kichina haina maana ni tairi mbaya. Zinauzwa dunia nzima. Ni cheaper option kwa premium brands. Watu wengi wanafikiri ukisema tairi ya kichina basi ni tairi mbovu si kweli. Zinafikia viwango vya usalama(mbovu zipo) sikatai. Mimi mwenyewe nimepunguza kusafiri na gari tu nimesafiri sana na natembea mwendo hasa hivyo najua tairi umubimu wake ni nini. Ila sioni sababu ya mtu wa kawaida kuhangaika na Bridgestone wakati ana matumizi ya kawaida sana ni waste of resources tu.