DURBAN: Bakhresa(Azam) anashindana na wazungu sasa

Wazo la aliyeanzisha elimu ni wenye Elimu kuajiri kwa wasio na elimu
 
bado anaakili kuanzisha biashara akiwa hana elimu... mjomba wako atu wanamabilion ya wizi hapa nyumbani hawana hata biashra ya nyanya mpaka zinaisha pesa zote watoto wanakuwa masikini
 
Umeongea vzr kamanda....
 
Basi kama hivi dunia nzima hakuna aliejiairi,wote wameajiriwa.
Mwenye mabasi,abiria wakiacha safiri hana ajira
Mwenye mgahawa raia wakiacha Kula ,hana ajira/kazi
Mwenye ufundi watu wakiacha kupeleka vitu vyao ,basi hana kazi
Bilgate nae, watu wakiacha kutumia windows ,basi nae hana ajira.
Sasa ipi ni maana ya kujiajiri kwako ..!???
 
Wengi wanakurupuka tu hawajui chochote kuhusiana na matajiri wao mawazo yao kaanza na chumba kimoja hebu na wao wajaribu kama watamfikia hata robo! ,hata kina Abramovic,Dangote wote ni ujanja ujanja na usela katika serikali zao.
 
kalime
 
Huyo mtu ni nani? I mean naomba historia ya mafankio yake kwenye biashara yani from zero to hero ili tupate kujifunza kama hutojali ndugu.
 
Wengi wanakurupuka tu hawajui chochote kuhusiana na matajiri wao mawazo yao kaanza na chumba kimoja hebu na wao wajaribu kama watamfikia hata robo! ,hata kina Abramovic,Dangote wote ni ujanja ujanja na usela katika serikali zao.

@msukuma fekero...you are a looser....the only failure in life is failing to try. We are all born naked without a cent. Go and ask your dad " dad why are you poor". I'm a looser like you my foolish son"
 
Acha upumbavu wewe inawezekana ni looser kuzidi mimi pamoja na uko wako wote swain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…