DURBAN: Bakhresa(Azam) anashindana na wazungu sasa

Wazo la aliyeanzisha elimu ni wenye Elimu kuajiri kwa wasio na elimu
 
Watu wengi ni wa miaka ya 90's hapa.. hakuna mtu akawa tajiri km SSB bila mkono wa serikali. Pale ilipo SSB ndo ilipokua NMC.. Na mjue kipindi cha Mwinyi ndo alipotokea ikafka kipnd ch Jk yeye ni miongoni ya wafanyabiashara walio fanya biashara nyingii sn. In 10 yrs ametengeneza pesa nyingiii sn. So me sioni km miujiza hapo. Kuhusu swala la ajira linaukweli ukiona majina ya John au Ema ujue una uwezo wa ziada yani kichwa ndo unajiriwa. Ila km post za kawaida tuu hata watu wa chini ndo unakuta Athuman wakumwaga.. Pili SSB anapata sana pesa zaid kwny television ving'amuzi. Hebu tuwe wakweli zile package za AZAM TV na malipo yake zinaendana? Yan ni utapeli mkuubwa ujanja ujanja tuu chanel nyng ni za ku sample tu nani anashida y kuangalia mampira local. Wametoa Tv 1 ilikua smts inaonyesha EPL. Ikafika mda unalipa pesa nyngi lakini huoni hata channel y mana kuangalia. Ndomana bora nlipie package ndogo kbs y dstv naona vingi kiliko huko Azam.

bado anaakili kuanzisha biashara akiwa hana elimu... mjomba wako atu wanamabilion ya wizi hapa nyumbani hawana hata biashra ya nyanya mpaka zinaisha pesa zote watoto wanakuwa masikini
 
Jana naingia super market(cape town) naona unga wa ngano azam.
Watu wa rangi zote wananunua.

Nakumbuka nikiwa mdogo azamu inapoanziswa chumba kimoja pale Kariakoo leo tuna mtu ambaye hana diploma/degree/master, Phd lakini analisha Africa nzima kaajiri wafanyakazi wachina, weupe na weusi.

Kuna watanzania wana Phd's wamebakia kuiba, wapo walio na mabillion hawajui wafanye nazo nini. Mbaya zaidi wakifukuzwa kazi wanakufa masikini watoto wao wanatia aibu.

Napenda kumpongeza sana huyu mzee ambaye anahitaji kila sifa, na kutuonesha elimu sio makaratasi ni pamoja na kuelimika. Mzee wetu ana elimu ya pesa, hekima, busara, anafanya kazi kwa bidiii, hapendi makele na siasa, anajua anatoka wapi na anaenda wapi. Katengeneza kazi zaidi ya 120 hapa Durban.

Successful people do not blame a society, politics and community stop making noise wake up take responsibilities and change the global like sheak Said Bakhessa

Mungu akupe maisha marefu najisifu mbele ya marafiki zangu hapa nilipo kama natoka Tanzania ..Sio wanasiasa na wezi na wasio penda kazi wamebakia makelele kila siku..Tutakufa masikini na Mungu atatui motoni.
Umeongea vzr kamanda....
 
Elimu zetu kwa ujumla zinatoa mitaala itakayo kuwezesha kuajiriwa tu. Hata wanaojiita wamejiajiri lakini kiuhalisia wanafanya kazi za watu (mfano mkulima au mfugaji, bila wanunuzi wa mazao au mifugo hana ajira tena). Mfo mwingine utakuta wakili kwa kujitegemea. Huyu kwa haraka haraka utasema kajiajiri, lakini kiuhalisia kaajiriwa na wateja wake, kipato chake kinategemea wateja.
Basi kama hivi dunia nzima hakuna aliejiairi,wote wameajiriwa.
Mwenye mabasi,abiria wakiacha safiri hana ajira
Mwenye mgahawa raia wakiacha Kula ,hana ajira/kazi
Mwenye ufundi watu wakiacha kupeleka vitu vyao ,basi hana kazi
Bilgate nae, watu wakiacha kutumia windows ,basi nae hana ajira.
Sasa ipi ni maana ya kujiajiri kwako ..!???
 
Watu wengi ni wa miaka ya 90's hapa.. hakuna mtu akawa tajiri km SSB bila mkono wa serikali. Pale ilipo SSB ndo ilipokua NMC.. Na mjue kipindi cha Mwinyi ndo alipotokea ikafka kipnd ch Jk yeye ni miongoni ya wafanyabiashara walio fanya biashara nyingii sn. In 10 yrs ametengeneza pesa nyingiii sn. So me sioni km miujiza hapo. Kuhusu swala la ajira linaukweli ukiona majina ya John au Ema ujue una uwezo wa ziada yani kichwa ndo unajiriwa. Ila km post za kawaida tuu hata watu wa chini ndo unakuta Athuman wakumwaga.. Pili SSB anapata sana pesa zaid kwny television ving'amuzi. Hebu tuwe wakweli zile package za AZAM TV na malipo yake zinaendana? Yan ni utapeli mkuubwa ujanja ujanja tuu chanel nyng ni za ku sample tu nani anashida y kuangalia mampira local. Wametoa Tv 1 ilikua smts inaonyesha EPL. Ikafika mda unalipa pesa nyngi lakini huoni hata channel y mana kuangalia. Ndomana bora nlipie package ndogo kbs y dstv naona vingi kiliko huko Azam.

Wengi wanakurupuka tu hawajui chochote kuhusiana na matajiri wao mawazo yao kaanza na chumba kimoja hebu na wao wajaribu kama watamfikia hata robo! ,hata kina Abramovic,Dangote wote ni ujanja ujanja na usela katika serikali zao.
 
Basi kama hivi dunia nzima hakuna aliejiairi,wote wameajiriwa.
Mwenye mabasi,abiria wakiacha safiri hana ajira
Mwenye mgahawa raia wakiacha Kula ,hana ajira/kazi
Mwenye ufundi watu wakiacha kupeleka vitu vyao ,basi hana kazi
Bilgate nae, watu wakiacha kutumia windows ,basi nae hana ajira.
Sasa ipi ni maana ya kujiajiri kwako ..!???
kalime
 
Huyo mtu ni nani? I mean naomba historia ya mafankio yake kwenye biashara yani from zero to hero ili tupate kujifunza kama hutojali ndugu.
 
Wengi wanakurupuka tu hawajui chochote kuhusiana na matajiri wao mawazo yao kaanza na chumba kimoja hebu na wao wajaribu kama watamfikia hata robo! ,hata kina Abramovic,Dangote wote ni ujanja ujanja na usela katika serikali zao.

@msukuma fekero...you are a looser....the only failure in life is failing to try. We are all born naked without a cent. Go and ask your dad " dad why are you poor". I'm a looser like you my foolish son"
 
Acha upumbavu wewe inawezekana ni looser kuzidi mimi pamoja na uko wako wote swain
 
Back
Top Bottom