During sex: What is your favorite song to hear?

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Habari zenu wana jukwaa.

Leo tuone wengi wetu wanapendelea nini inapokuja suala la kupelekana katika ulimwengu wa mahaba.

Nyimbo mbali mbali za slow jams zimekuwa kivutio kikubwa sana kama ingredient ya kufanya tendo hili kuwa more and more romantic ili kuleta ashki za kimahaba kati ya wapendanao.

Je, unapendelea wimbo gani hasa wa kimahaba, ambao ukiwa na mpenzi wako faragha, huwa unakupeleka katika dunia ya hisia na kukufanya ujisikie mwingine kabisa?

karibuni....!
Excel loves..how am i supposed to live without you.. on bed lakini!

 
mmmmmhhhh hii ngoja ntakujibu baada ya dakika chache..
 
Kuna zile za Marvin Gaye; Sexual Healing and Lets Get It On,pia ule wa Whitney Myheart will go on (instrumental)..kwa wale wapenda slow and romantic scene!!!

Ama kwa wale wapenda rough na fujo mnasikiza disco songs za zamani,ama Rock music instrumental!!

Lol mkimaliza mkishaoga mnadance blues.. Ya I will Always Love You kama mnanguvu bado ..teh teh
 
Kwetu Kuzuri wa Ambassadors of Christ.

Nikishapiga bao napenda kuliwazwa na wimbo wao wa Kwanini Umeyaruhusu.

Nikienda kuoga nafurahi kusikia kibao cha Tabata Mennonite Kidogokidogo Nikinyatanyata

Hahahahaaaa..... here comes ODM babu Asprin ...., thank you for making my day, nilikuwa nimeshatibuliwa asubuhiasubuhi na #Team KAPUYA and the rapers. Angalau sasa nimeondoa some stress...
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa

Babuuuu


Kwetu Kuzuri wa Ambassadors of Christ.

Nikishapiga bao napenda kuliwazwa na wimbo wao wa Kwanini Umeyaruhusu.

Nikienda kuoga nafurahi kusikia kibao cha Tabata Mennonite Kidogokidogo Nikinyatanyata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…