Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Habari zenu wana jukwaa.
Leo tuone wengi wetu wanapendelea nini inapokuja suala la kupelekana katika ulimwengu wa mahaba.
Nyimbo mbali mbali za slow jams zimekuwa kivutio kikubwa sana kama ingredient ya kufanya tendo hili kuwa more and more romantic ili kuleta ashki za kimahaba kati ya wapendanao.
Je, unapendelea wimbo gani hasa wa kimahaba, ambao ukiwa na mpenzi wako faragha, huwa unakupeleka katika dunia ya hisia na kukufanya ujisikie mwingine kabisa?
karibuni....!
Excel loves..how am i supposed to live without you.. on bed lakini!